Kuweka android version 12 kwenye samsung S9; Inawezekanaje?

Kuweka inawezekana, kwa kuinstall Custom ROM(ambayo haitokuwa official kutoka Samsung).

Cons utakazo kutana nazo;
1. Utakua ume breach warranty ya simu yako.
2. Kwa maana hio utakua huwezi pokea security updates/patches kutoka Samsung.

Pros;
1. Kuweka Latest version ya Android
2. Kuweka latest version ya OneUI

Cha kuzingatia kikubwa ni specs za simu yako ziendane na ROM unayoenda weka. Maana ikiwa kubwa mno, itailemea hio simu yako.

Kingine ni usalama wa ROM husika. Hakikisha hata kama iko custom, haiko modified. Maana hizo Modified ziko rahisi kuwa na malware au kuwa hacked.

Zipo namna mbili unazoweka custom ROM;
1. Kutumia PC (+USB Debugging)
2. Kutumia Bootloader kwenye hio hio simu.
 
Back
Top Bottom