Kuwa Wakala wetu katika eneo ulilopo, tunauza simu na tablets

KingsStore

Member
Feb 22, 2023
74
105
Habar za wakati huu wakuu?

Nashkuru kwa wote ambao mmeendelea kutuamini na kufanya kazi na sisi nimeuza simu na tablet nyingi sana humu Asanteni kwa sapoti yenu kubwa

Fursa nilizo nazo kwenu wakuu

1. Unaweza kutengeneza kipato cha ziada kwa kufanya kazi na sisi yaani ukituunganisha na mteja unapata 5% ya mauzo mfano mfano mteja akinunua simu,laptop,Tv,tablet na Ipad utakuwa na 5% yako tayari.

2. Unaweza kuagiza simu na tablet za jumla gharama za usafiri ni juu yetu.

3. Kutengeneza connection mbalimbali za kibiashara ikiwemo upatikanaji wa bidhaa nje ya nchi pamoja na usafirishaji wake hiyo ni free.

4. Ukinunua simu kwanzia Iphone 11 mpak 14 Promax na SAMSUNG S 20 mpak S 23 Ultra zikiwa full boxed kuna offer ya vocha ya 20k ya kuanzia.

5. Kuwa Agent wetu katika eneo ulilopo na malipo ni commission pay.
Simu tulizo nazo
  • IPHONE
  • SAMSUNG
  • GOOGLE PIXEL
  • INFINIX
  • TABLET
  • IPAD
  • OPPO.
Mtaniwia radhi sijaweza kuweka bei maan bidhaa ni nyingi whats app au piga simu kuulizia bidhaa yoyote karibuni sana Mungu awabariki🤝

📍Tupo Kariakoo mtaa wa Aggrey Na Likoma
☎️0682400906
NB;ASILIMIA ZA MALIPO UKITUUNGANISHA NA MTEJA HUONGEZEKA MPAKA 20% KADRI TUTAKAVOENDELEA KUFANYA KAZI🙏
Insta @kings_st0re_
Twitter Alphabrandz
Tick-tock@Alphabrandz
 
Habar za wakati huu wakuu??,Nashkuru kwa wote ambao mmeendelea kutuamini na kufanya kazi na sisi nimeuza simu na tablet nyingi sana humu Asanteni kwa sapoti yenu kubwa
Fursa nilizo nazo kwenu wakuu
1;Unaweza kutengeneza kipato cha ziada kwa kufanya kazi na sisi yaani ukituunganisha na mteja unapata 5% ya mauzo mfano mfano mteja akinunua simu,laptop,Tv,tablet na Ipad utakuwa na 5% yako tayari.
2;Unaweza kuagiza simu na tablet za jumla gharama za usafiri ni juu yetu.
3;Kutengeneza connection mbalimbali za kibiashara ikiwemo upatikanaji wa bidhaa nje ya nchi pamoja na usafirishaji wake hiyo ni free.
4;Ukinunua simu kwanzia Iphone 11 mpak 14 Promax na SAMSUNG S 20 mpak S 23 Ultra zikiwa full boxed kuna offer ya vocha ya 20k ya kuanzia.
5; Kuwa Agent wetu katika eneo ulilopo na malipo ni commission pay.
Simu tulizo nazo
IPHONE
SAMSUNG
GOOGLE PIXEL
INFINIX
TABLET
IPAD
OPPO.
Mtaniwia radhi sijaweza kuweka bei maan bidhaa ni nyingi whats app au piga simu kuulizia bidhaa yoyote karibuni sana Mungu awabariki🤝

📍Tupo Kariakoo mtaa wa Aggrey Na Likoma
☎️0682400906
NB;ASILIMIA ZA MALIPO UKITUUNGANISHA NA MTEJA HUONGEZEKA MPAKA 20% KADRI TUTAKAVOENDELEA KUFANYA KAZI🙏
Insta @kings_st0re_
Twitter Alphabrandz
Tick-tock@Alphabrandz
Ukiona mtu anakuitia fursa akilini jua wew ndo fursa yenyewe .... haka ka msemo kana ingia sehem nyingi sana .... kwa maana hiyo ukiuza bidhaa let say ikapatikqn faida ya 100k then unachukua 5000 like serious
 
Asilimia 5% haina maan ya faida boss mauzo yote. Kwa ujumla na bidhaa zetu nyingi ni kwanzia 200k sidhan kam upo sahihi kusema 5000 en zingatia maelekezo ya mwisho
 
Asilimia 5% haina maan ya faida boss mauzo yote. Kwa ujumla na bidhaa zetu nyingi ni kwanzia 200k sidhan kam upo sahihi kusema 5000 en zingatia maelekezo ya mwisho
Kama anaona 5000 ni ndogo akatafute iliyo nyingi anakojua yeye
 
Ukiona mtu anakuitia fursa akilini jua wew ndo fursa yenyewe .... haka ka msemo kana ingia sehem nyingi sana .... kwa maana hiyo ukiuza bidhaa let say ikapatikqn faida ya 100k then unachukua 5000 like serious
Kwa hiyo unataka mgawane hiyo faida nusu kwa nusu??

You can't be serious.
 
Ukiona mtu anakuitia fursa akilini jua wew ndo fursa yenyewe .... haka ka msemo kana ingia sehem nyingi sana .... kwa maana hiyo ukiuza bidhaa let say ikapatikqn faida ya 100k then unachukua 5000 like serious
Mawazo ya kimaskini, huwezi kuwa fursa afu anayekupa fursa asipate kitu. Maisha yapo hivo
 
Back
Top Bottom