Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuwa wa kwanza kuiona KESHO- Video mpya ya Diamond Platnumz

Discussion in 'Entertainment' started by Bujibuji, Dec 19, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 24,913
  Likes Received: 1,350
  Trophy Points: 113
  Hii ni Video mpya kabisa .
  Na wewe ni wa kwanza kuiona.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,749
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 38
  Mkuu nimemsikia Diamond akisema hiyo video ni demo kutoka kwa watengenezaji huko Kenya ila official release baada ya amendments ni this friday.
  Source: ea radio
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Dec 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 24,913
  Likes Received: 1,350
  Trophy Points: 113
  huyu hana jipya asilete mbwembwe
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 24,913
  Likes Received: 1,350
  Trophy Points: 113
  Tunaisubiri Official Video itoke
   
 5. JICHO LA TATU

  JICHO LA TATU JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 307
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asisumbue vichwa vya watu huo wimbo hajacopy kweli? Maana kuchamba kwingi kutoka na ma..vi
   
 6. amu

  amu JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 7,932
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 48
  Aisee nimeiona wadada wasafiiiiiii.
  Sehemu safiiiiiiii.
  Kiukweli navutiwa sana na shooting safiiiiiiiii.
  Naona pale alikuwa anacheza pharaoh's fortune cassino.
  Pharaoh's gold au fortune ni iko juuu unaingia na 40,000 faida millioni
   

Share This Page