Mawaziri wengi katika hili baraza ni kama Mwijage tu.Ukimsikiliza Mwijage Kama humjui unaweza ukadhani kweli Tanzania ya Viwanda ni Kama suala la ku click button ya 'send' kwny sms
Kama utaudefine Uraisi Africa kwa kigezo cha kwenda Ikulu kupiga hela na kuiba,,.. then bora Uraisi. Lakini Ukiudefine kwa autumishi na kujitoa kizalendo then presidency is a shit.
dangote can buy presidency.
True...
Hahaa naona kama uliona Dangote akiongea leo..
umeona body language ya wanasiasa wetu ilivyo chekesha
Kwa hoja hiyo,, in African Perspective Urais haugusi kwa tajiri,.Kama ni uzalendo hata tajiri anaweza tumia pesa yake kwa charity tu
na kusaidia watu weengi zaidi....
Bill Gates anasaidia watu wengi mno kuna nchi anatumia pesa nyingi kuliko misaada ya USA kwa nchi hiyo
Aisee nimecheka sana.
Kwanza Magufuli mwenyewe alikuwa anamgusa gusa bega Dangote.
Halafu wakati Dangote anaongea Muhongo alikuwa kasimama pembeni yake akionekana mdogo kweli.
Jionee hapo kwenye video.
Aisee nimecheka sana.
Kwanza Magufuli mwenyewe alikuwa anamgusa gusa bega Dangote.
Halafu wakati Dangote anaongea Muhongo alikuwa kasimama pembeni yake akionekana mdogo kweli.
Jionee hapo kwenye video.
Ukiona watu wanaanza kufananisha urais wa nchi na utajiri, basi ujue taasisi za urais zimeanza kishuka thamani..
Mkuu wa nchi ni mtu asiyepaswa kumnyenyekea mtu yeyote yule awe maskini au tajiri!
Tena hata kuitwa ikulu au kupata fursa ya kwenda ikulu inapaswa kuwa jambo ambalo utasimulia vizazi vyako vyote.
Sijui watanzania wanaichukuliaje taasisi ya urais!

Kuwa Tajiri hanithi au Maskini Mkojoleshaji unachagua nini?
Nachagua kuwa tajiri mkojoleshajiKuwa Tajiri hanithi au Maskini Mkojoleshaji unachagua nini?
Nimeona,na pia nimeelewa msingi wa mada yako..kama umeona hiyo clip
na kama uliona hao mawaziri walivyokuwa wanaongea kiubabe na kimamlaka kabla ya leo
utagundua kitu.....hiko ndo kimeibua huu mjadala