Kuwa Tajiri au kuwa Rais Africa..kipi better?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,871
Nimeona leo mkutano wa Magufuli na Dangote Ikulu nikajikuta najiuliza hasa kutokana na body language tu za watu wote waliokuwepo pale nikajikuta najiuliza hili swali, Mtu kuwa tajiri mkubwa kama Dangote hapa Afrika na mtu kuwa Rais kwenye nchi kama yetu Tanzania.

Kama kungekuwa na choice ya kuchagua watu wengi wangechagua kuwa nani?

Ni kweli Rais ana nguvu sana anaweza kumfunga yeyote na kumteua yeyote na kumsaidia yeyote kuwa tajiri au yeye mwenyewe kuupat utajiri na nguvu ya kugusa mamilioni ya watu wake.

But Rais ana limitations hasa mwisho ni kwa nchi yake zaidi kwingine inategemeana.

Bilionea kama Dangote influence yakeni Africa yote pia nchi yeyote ya Afrika akiingia ana access na Ikulu yoyote ile Marais kwake ni kama 'washkaji' Africa yote ni 'his playground'

Ingawa na yeye ana limitations zake kuna maeneo inabidi 'mbinu atumie' ili tu kuweza kufanya biashara zake vizuri but still ana nguvu pia za kugusa watu wengi.

Ukipewa uchague, utachagua wapi?
 
Uranus uE="silent lion, post: 18819257, member: 72537"]Bora uwe Rais ndugu. Rais ana mamlaka na madaraka. Anapokwenda analindwa. hakai foleni. Anamueka mtu ndani. Anamtoa mtu ndani. Tajiri ni yeye na pesa zake tu.[/QUOTE]
Urais unaisha
 
Nimeona leo mkutano wa Magufuli na Dangote Ikulu...
nikajikuta najiuliza.....hasa kutokana na body language tu za watu wote waliokuwepo
pale......nikajikuta najiuliza hili swali

Mtu kuwa tajiri mkubwa kama Dangote hapa Africa
na mtu kuwa Rais kwenye nchi kama yetu Tanzania...

kama kungekuwa na choice ya kuchagua...watu wengi wangechagua
kuwa nani?

Ni kweli Rais ana nguvu sana..anaweza kumfunga yeyote
na kumteua yeyote ..na kumsaidia yeyote kuwa tajiri
au yeye mwenyewe kuupat utajiri....
na nguvu ya kugusa mamilioni ya watu wake..

but Rais ana limitations ...hasa mwisho ni kwa nchi yake zaidi..
kwingine inategemeana...

Bilionea kama Dangote influence yakeni Africa yote pia
nchi yeyote ya Africa akiingia ana access na Ikulu yoyote ile
Marais kwake ni kama 'washkaji'...Africa yote ni 'his playground'

ingawa na yeye ana limitations zake.....kuna maeneo inabidi
'mbinu atumie' ili tu kuweza kufanya biashara zake vizuri
but still ana nguvu pia za kugusa watu wengi.....

Ukipewa uchague.....utachagua wapi?
Tatizo lako ndugu thread zako zimekosa mvuto. Inabidi ubadili namna ya kutafakari. Huo uchadema chadema unakuondolea weledi na unaonekana kama mlozi fulani.
Maisha yamebadilika inakubidi ubadilike. Mawazo hayo ni ya watoto sio ya mtu mzima kama wewe.
 
Tajiri level ya Dangote si ya mchezo...urais ni ufala tu maana unaisha baada ya 5 yrz...baada ya hapo unakua nobody unaanza kuomba kura upya kabisa...

Utajiri wa 20bilion dollars wa Dangote anaweza inunua nchi ya Tanzania na vitu vilivyomo na watu wake kwa muda wa miaka 2.5 tukipima kwa GDP....

Hebu tuacheni utani....tuseme tu,mauzo ya mwaka mzima ya makampuni ya Dangote kwa muda wa mwaka mzima Im sure yanazidi GDP ya Tanzania kwa mwaka...Dangote is running virtually a bigger country with bigger GDP than Tanzania will ever have...

Tukisemea Bill Gates na Magufulu ni mbingu na ardhi,utajiri wake ni GDP ya half of African countries put together,do not put him even on this level at all.
 
Ila usisahau kazi ya Rais sio kujitajirisha
ana impact kwa wananchi wake wote hasa kama maamuzi yake
yatawanufaisha
 
Back
Top Bottom