Sasa kwanini kifurushi kisigome kuungwa kama hawataki dabodabo, au kwaninj pesa isirudi??Wewe tu inawezekana hukupata ujumbe mapema,walishatuma meseji kwamba hakuna kudabo kifurushi,
Nilikuwa nadownload mafaili makubwa...ndio maana nikaunga daboMkuu, huo wizi unatumika karibia na mitandao yote.
Nilishawahi sema humu usipende kujiunga vifurushi viwili double (hasa vya Internet) wizi unaanzia hapo.
Ungenunua vocha za mia tano mia tano ungejiunga moja halafu moja ungejiunga baada ya kifurushi cha kwanza kuisha.
Hapo napingana na wewe, mi ni mtumiaji mzur tu wa ttcl, kwanza hukuna kifurush cha mia 5 chenye mb 600, kifurushi cha mia tano unapata mb 300, pia unaweza kujiunga bila kusubili kingine kiishe, mfano mi naingiza buku najiunga kifurushi cha jiachie cha miatano cha kawaida napata mb 200 dk50 ttl-ttl fk 5 mitandao yote, na jero iliyobaki naunga internet is tupu mb300 kwahio vyote kwa pamoja natumia mpaka viishe. Pia Mb 600 ni kwa buku.Leo asubuhi nimeweka vocha ya sh 1000 ya ttcl, then nikajiunga vifurushi viwili vya sh 500 kila kimoja vya data MB 600, kwahiyo jumla ilitakiwa nipate GB1.2.
Mimi huwa nina tabia ya kuangalia salio la kawaida kabla sijawasha data kama wameshachukua pesa ili nisije nikaingia mkenge kwa kuwasha data pesa ikaliwa.
Sasa bana, wakati ninafanya matumizi ya bundle langu nikatumiwa ujumbe kuwa zimebakia MB50 na kucheki ika wa kweli. Hapo matumizi yangu hayakuwa yamefika hata GB1 na baada ya dakika chache nikatumiwa ujumbe mwingine kuwa data zimekwisha.
Ikanibidi niwapigie huduma kwa wateja kuulizia kulikoni nikaambiwa kuwa
1.Ukishajiunga na bundle moja lazima usubiri liishe ndipo ujiunge tena KWASABABU ZA KIUSALAMA
2.Pesa yako haitaweza kurudishwa, na wala hutapata kifirushi kingine.
3.Kwahiyo hatuna namna ya kukusaidia.
Hela yangu inaniuma mpaka sasa!
Ujumbe huu naomba umfikie
Jiwe
TCRA
TTCL
@Na wanaJF wote wataousoma.
Acha ubishi gillannaHapo napingana na wewe, mi ni mtumiaji mzur tu wa ttcl, kwanza hukuna kifurush cha mia 5 chenye mb 600, kifurushi cha mia tano unapata mb 300, pia unaweza kujiunga bila kusubili kingine kiishe, mfano mi naingiza buku najiunga kifurushi cha jiachie cha miatano cha kawaida napata mb 200 dk50 ttl-ttl fk 5 mitandao yote, na jero iliyobaki naunga internet is tupu mb300 kwahio vyote kwa pamoja natumia mpaka viishe. Pia Mb 600 ni kwa buku.
Leo asubuhi nimeweka vocha ya sh 1000 ya ttcl, then nikajiunga vifurushi viwili vya sh 500 kila kimoja vya data MB 600, kwahiyo jumla ilitakiwa nipate GB1.2.
Mimi huwa nina tabia ya kuangalia salio la kawaida kabla sijawasha data kama wameshachukua pesa ili nisije nikaingia mkenge kwa kuwasha data pesa ikaliwa.
Sasa bana, wakati ninafanya matumizi ya bundle langu nikatumiwa ujumbe kuwa zimebakia MB50 na kucheki ika wa kweli. Hapo matumizi yangu hayakuwa yamefika hata GB1 na baada ya dakika chache nikatumiwa ujumbe mwingine kuwa data zimekwisha.
Ikanibidi niwapigie huduma kwa wateja kuulizia kulikoni nikaambiwa kuwa
1.Ukishajiunga na bundle moja lazima usubiri liishe ndipo ujiunge tena KWASABABU ZA KIUSALAMA
2.Pesa yako haitaweza kurudishwa, na wala hutapata kifirushi kingine.
3.Kwahiyo hatuna namna ya kukusaidia.
Hela yangu inaniuma mpaka sasa!
Ujumbe huu naomba umfikie
Jiwe
TCRA
TTCL
@Na wanaJF wote wataousoma.
Kumbe unajiunga university, Mi nidhan vya kawaidaAcha ubishi gillannaView attachment 835972
Voda kuna uhuni kwenye vifurushi vyao vya data.Voda ndio usithubutu kabisaaa yani mtu kuunga Gb 1 na ikaisha ndani ya dakika 15 bila kucheki videp yoyote wala kufanya updates za apps ni kawaida yao kabisaaa.