kuuliza sio ujinga naombeni msaada

libent

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
382
84
wana jf naombeni kuuliza maana ya ku PM na inafanya vipi kazi naombeni msaada
 
kutuma Private Message ambayo ni kati yako wewe na member uliemtumia tu..member wengine hawaioni.kama unavyotuma email msg kwa mtu...
 
kutuma Private Message ambayo ni kati yako wewe na member uliemtumia tu..member wengine hawaioni.kama unavyotuma email msg kwa mtu...

hii inaaply hata kwa wanaotumia simu au mpaka utumie pc
 
Back
Top Bottom