Brightman Jr
JF-Expert Member
- Mar 22, 2009
- 1,225
- 232
Habari wakuu! Tafadhali naomba kuelimishwa jinsi ya kufungua na kusoma mafaili ya pdf kwa kutumia simu. Wataalam msaada tafadhali.
unatumia simu gani mkuu?
Unatakiwa kuwa na Android, symbion, Blackberry, au iphone operating system. Kwa lugha rahisi kuwa na smartphone
Symbion wanatengeneza umeme mkuu
Habari wakuu! Tafadhali naomba kuelimishwa jinsi ya kufungua na kusoma mafaili ya pdf kwa kutumia simu. Wataalam msaada tafadhali.