Kutumia majina ya waume zetu

Kwa nini unawaza divorce wakati umekubali kuolewa na unayempenda na yeye anakupenda..unless kama umelazimishia kama wadada wengi wanavyofanya siku hizi.. Stop being negative...

Mkuu....
Kwani kuachana hakupo au sio moja ya matokeo ya ndoa??
 
Ndoa za siku hizi hata haziaminiki, je ikitokea muda wa kutamaniana umeisha na mkaamua kuachana na hapo ulikuwa unatumia jina la mmeo, utaendelea kulitumia?.
The unseen is illustrated by the seen.
 
i will never change my name! period! kesho keshokutwa tumedivorce, nafuta tena majina ya mume wa zamani, naweka ya mume mpya YM! GOD FORBID!

Point Cacico, ndoa zenyewe za miaka hii. Utabaki unabadili madocuments kilasiku, ina huu, cha mno nini..
 
me con umuhimu wa kubadili, hapo ni km usumbufu flan. imagine una cert km 10 hv afu zinasoma majina yako ya ukoo wako.thn kitambulisho cha kura,nssf,bima,passport,card za bank km 3. vyote hvo vina majina ya ukoo wako.sasa hapo utabadili vingapi? we baki na majina yako ila utatambulika tu km mrs.flan.
 
Mnaogopa sana kuachana eeh? Mbona hamuwazi kifo?

of cos kifo pia kinahusika,me nafkri co vema kubadili make ikitokea mume katangulia mbele ya haki ndo uanze kubadik kutoka jina mume wa zaman marehemu kuja kwa mume mpya!
 
nabadili jina ili iweje?hakuna sehemu yeyote iliyoandikwa mwanamke akiolewa abadili jina la ukoo wake.TUNAPENDA KUINGA SISI ISH!!!Egeza egeza ilimshinda gereza ukimwingiza MUNGU hautomuweza kamwe.
 
Kijino ndoa yako changa nini? Je ukiachwa utabadirisha tena?? Hitwa jina lako hilo hilo.

wala co changa, tuna miaka 6, tatizo mr ananisumbua nikiandika jina langu kwa ubini wa baba, nimemwambia ctoweza badili majina, kwanza usumbufu, na mda sina.
 
Ubaki na jina lako bhana... utasumbuka hapo baadae kwenye mambo fulani, huwa vinasumbua. wewe mtaani jiite tu mama Mkumbukwa, lakini usibadili kwenye documents zako za kazi, nk.

ndio ninavyofanya, usumbufu wa kubadili majina siutaki
 
wala co changa, tuna miaka 6, tatizo mr ananisumbua nikiandika jina langu kwa ubini wa baba, nimemwambia ctoweza badili majina, kwanza usumbufu, na mda sina.

mwambie shemeji ajiamini, wewe ni mkewe jina halina issue kubwa.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom