Kutumia mafuta na magonjwa ya zinaa

Habari zenu Wakuu,

Kuna ukweli wowote kuwa ukitumia mafuta/lubricant unaweza kuzuia maambukizi ya magonjwa ya ngono?

NAOMBA MNIJIBU WAKUU
Haizuii. Ila lubricant inafanya mambo yasiwe mengi utelezi uwe kimo cha hanang.
ze more ze lubricant ze more ze utelezi. ze mo ze utelezi ze less ze friction. ze less ze friction ze less ze infection contact
 
Habari zenu Wakuu,

Kuna ukweli wowote kuwa ukitumia mafuta/lubricant unaweza kuzuia maambukizi ya magonjwa ya ngono?

NAOMBA MNIJIBU WAKUU
Nijuavyo kutumia mafuta hakuzuii STIs. Mfano ukijipaka vaseline yako baada ya kuoga kisha baadae ukaenda kufanya unprotected sex una uwezekanao mkubwa wa kuwa infected.

Hata usipojipaka mafuta pia unaweza kupata STIs.

So issue sio kutumia/kujipaka mafuta. Issue ni kuacha ngono. Oa ukae na mke wako mmoja ambae mmepimana afya zenu ziko okay.
 
Asante kwa ushauri Mkuu.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom