magonjwa ya zinaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kutumia mafuta na magonjwa ya zinaa

    Habari zenu Wakuu, Kuna ukweli wowote kuwa ukitumia mafuta/lubricant unaweza kuzuia maambukizi ya magonjwa ya ngono? NAOMBA MNIJIBU WAKUU
  2. V

    Nina muda sijapata gono

    Well Miaka ya nyuma kidogo nikiwa A level nilipata manzi wa kizigua kwenye ndinga wakati huo kuona simu ya rangi ilikuwa msala,manzi alikuwa nayo sonny, wakati huo. Sijui ilitokea nini tukaanza kuongea ila nakumbuka tulipofika kituo watu wkale na kuchimba dawa akasema nimsubiri anakuja...
  3. Wadiz

    Wadau ukiacha HIV, tujuzane dawa kiboko za kutibu magonjwa ya zinaa

    Wasalaam nyote, Ushiriki wa watu wa afya unahitajika sana hapa. Kutokana wimbi kubwa la pisi kali kuzagaa mitaani, majumbani na sehemu za kula bata, na wimbi la sisi wanaume kutaka kufaidi na kuendelea kufaidi ulaji wa shoo kavukavu kwa kusingizia kuzidiwa. Basi ni vema walau tuambiane...
  4. BARD AI

    WHO: Kila siku maambukizi Milioni 1 ya Magonjwa ya Zinaa yanatokea Duniani kote

    Zaidi ya Maambukizi Milioni 1 ya Magonjwa ya Zinaa (STIs) yanatokea duniani kote Kila Siku, mengi kati yake hayana Dalili za kuonekakana. Kwa mujibu wa Takwimu za Shirika la Afya Duniani, kila mwaka kuna wastani wa Maambukizi Mapya Milioni 374 ya Magonjwa ya Zinaa ikiwemo Klamidia, Kisonono na...
  5. Nyenyere

    Hivi hakuna tena wanaume?

    Ni aibu kubwa mno kuona jinsi gani mijitu na ndevu zao yanavyoanzisha mada kuonyesha kufurahishwa na tukio la zinaa la mke wa Masanja Mkandamizaji. Nasema tukio la zinaa kwa sababu hakuna mwanamume yeyote anayetazama upande wa pili wa marehemu mzinzi isipokuwa GENTAMYCIME pekee, bali wengine...
  6. Mr pianoman

    Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

    Wanawake sijui siku hizi wamekumbwa na nini aisee yaani UTI na magonjwa mengine haya ya zinaa kwao imekuwa kawaida. Yaani siku hizi ukilala na mwanamke peku bila kutumia kinga basi zikipita siku mbili bila kuona uchafu au kusikia tofauti wakati wa kukojoa basi unamshukuru Mungu. Wanaume hawa...
Back
Top Bottom