Kutongoza au kujitongozesha kwa wanaume ni kazi sanaaaa! Sikia tu kwa wenzio

Siku zote huwa namkazania Mdogo wangu wa kike ambaye yupo form six, ATUMIE KICHWA CHAKE KUPATA MAFANIKIO NA SI KIUNO. Kuna wanawake watumwa na wana hali ngumu, hawana furaha wala amani, kwa kuwang'ang'ania wanaume, eti kisa wana hela.
 
Ni mawazo yake jamani , mpeni mbinu sio kumchaji. Kwani kutongoza ni ajabu? lara 1 usikate tama mwaya ipo siku mambo yatatiki.
 
Daaaah... mm ukweli sijaelewa kitu , nimejitahidi sana lakin nimeshindwa mpaka sehem nyingine nilikua naruka
 
Ni mawazo yake jamani , mpeni mbinu sio kumchaji. Kwani kutongoza ni ajabu? lara 1 usikate tama mwaya ipo siku mambo yatatiki.

hahahaaaaaaaaaaaa! WE FIKIRIA LARA 1 NIMEKUJA KUOMBA USHAURI UJUE HILO TATIZO SIO DOGO WAJAMENI. Manake mwenyewe sio mwpesi ila nimeshidwaaa.

SKIO HALILALI NJAA NDO NIMEKUJA KUSIKIA HUKU.
 
Daaaah... mm ukweli sijaelewa kitu , nimejitahidi sana lakin nimeshindwa mpaka sehem nyingine nilikua naruka

Ndo uelewe kwamba hii probem ni complexxx hata kuielezeaaa. Ujue mi sio mtu wa kuomba omba ushauri, ila leo nimefikwa.
 
hahaha aisee Fanya research waulize baadhi ya wanaume ni vitu gan au matendo gan huvutiwa nayo wanayofanya wanawake ukizipata data zako zitumie kama silaha .ni mtazamo tu
 
Hii ishu kweli ni complicated, sasa watu wanamrushia maneno lara 1 , mbona hamuelewi mtu anaposema amevurugwa?
Haya ni maji ya shingo ndio maana kaja kuomba ushauri kwa waungwana....
 
ngoja nikupe ushauri ila niambie kwanza
unataka umchune tu au unataka akumege kabisa?
na upo in deep love na yeye unataka uweke kambi kabisa au unataka tu kupita?
 
  • Thanks
Reactions: MC7

Similar Discussions

Back
Top Bottom