Sergeant Stonebridge
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 460
- 4,862
Mbona unamtukana Lara 1?Tafuteni vya kwenu! Pumba*u!
Sio jambo la busara hata kidogo
Tafadhali wakati mwingine busara ni nzuri
Unakaa tu kimya mkuu au sio boss?
Mbona unamtukana Lara 1?Tafuteni vya kwenu! Pumba*u!
Ila jambo LA kujitongozesha ni LA mbolea etiMbona unamtukana Lara 1?
Sio jambo la busara hata kidogo
Tafadhali wakati mwingine busara ni nzuri
Unakaa tu kimya mkuu au sio boss?
Ni mawazo yake jamani , mpeni mbinu sio kumchaji. Kwani kutongoza ni ajabu? lara 1 usikate tama mwaya ipo siku mambo yatatiki.
bado tu na ujanja wako wa kukaa mjini miaka yote hujapata mwanaume wa kukulea?
Haya ni magumegume plus ya mjini, mme ampate wape?
Atapata. Mungu hamtupi mja wake.
Mkuu lara 1 abaki kusherehesha tu harusi za wenzake, sio kila mwanamke wa kuolewa.