Kutokana na kuripoti ukweli wa yaliyojiri Arusha, Radio One hatarini kufungiwa

Chadema tupeni mwongozo hapa. Kwani hakuna namana hata ya kupitisha referandum ya kimfanyia impigment huyu jamaa haijalishi atakufa na nani maadamu sisi walalhoi tunapona?

Mi nadhani tumuibulie suala la uraia, kuwa sio raiwa wa TZ na arudishwe India hata kwa nguvu. Potelea mbali, acha tuonekane wabaguzi but kwa MASLAHI YA UMMA!
 
Hivi Rostam anamtoto wa kike ? mi nataka kupunguza machungu
Yupo anasomea Nuclea Iran, atakulipua kabla ujamfikia, Radio One hawawezi kuifungia, labda Clauds walamba miguu wake, kama unajua Zenge la kuwaamisha wafanyakazi kutoka R1 kwenda Mawingu FM
 
Taarifa za "kiintelijensia" zilizonifikia punde zinadai kuwa RA hakufurahishwa kabisa na kitendo cha Radio ya Mzee Mengi kum-attribute baba wa Ismail na kuripoti ukweli.
Pamoja na kwamba taarifa ya radio one ilimuudhi RA na kuongeza uhasama kati yake na mzee Mengi, lakini inadaiwa taarifa hiyo ilidhalilisha gazeti la HabariLeo ambalo ni amana ya serikali. Hivyo kuna tetesi kuwa unasukwa mpango kabambe (kaka Imma mkuu wa wizara akihusishwa) wa kuitafutia kosa radio one ili waweze kuifungia na kumaliza hasira zao. Mwenye taarifa zaidi juu ya tetesi hizi atujuze.

:frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty: ......... !!!!!!!!!?????????????????? never ever, hii yote ni aftermath ya Dowans
 
But you great thinkers,
do u think mr.Mengi will stay quet as simple like that?

mengi is a two faced snake muthaf***,sina imani naye na redio yake ikifungwa nitatoast to the good life..coverage zake nyingi ni kuipamba ccm na kuwaponda wapinzani especially cdm!! fuatilieni kwa makini itv mtajua ninachokisema..afu nina wasiwasi naye kuhusu kodi...
 
Taarifa za "kiintelijensia" zilizonifikia punde zinadai kuwa RA hakufurahishwa kabisa na kitendo cha Radio ya Mzee Mengi kum-attribute baba wa Ismail na kuripoti ukweli.
Pamoja na kwamba taarifa ya radio one ilimuudhi RA na kuongeza uhasama kati yake na mzee Mengi, lakini inadaiwa taarifa hiyo ilidhalilisha gazeti la HabariLeo ambalo ni amana ya serikali. Hivyo kuna tetesi kuwa unasukwa mpango kabambe (kaka Imma mkuu wa wizara akihusishwa) wa kuitafutia kosa radio one ili waweze kuifungia na kumaliza hasira zao. Mwenye taarifa zaidi juu ya tetesi hizi atujuze.

HAIWEZEKANI ,ROSTAM HANA NGUVU KWA WAPINGA UFISADI ANA NGUVU KWA MAFISADI NA WAKUU WA NcHI KAMA JK
 
Naomba kuwasilisha. Samaki mkunje angali mbichi. Huyu RA walimlea watu na sasa anakuwa mwiba wa roho. Mambaya yanaweza kumkuta katika maisha yake ya baada ya duniani kwa kuwa hakujali walio wengi.
 
Naomba kuwasilisha. Samaki mkunje angali mbichi. Huyu RA walimlea watu na sasa anakuwa mwiba wa roho. Mambaya yanaweza kumkuta katika maisha yake ya baada ya duniani kwa kuwa hakujali walio wengi.

Mkuu.
Kabla hayajamkuta hayo mabaya huko Ahera, inapasa tumuoneshe mabaya hapahapa duniani coz huo ufisadi hajaitendea akhera bali ametutendea sisi.
We have to show the difficulties that we are also difficult.
 
mengi is a two faced snake muthaf***,sina imani naye na redio yake ikifungwa nitatoast to the good life..coverage zake nyingi ni kuipamba ccm na kuwaponda wapinzani especially cdm!! fuatilieni kwa makini itv mtajua ninachokisema..afu nina wasiwasi naye kuhusu kodi...

Mkuu,
you make me think big abt mr.Mengi.!
 
tHIS IS TOO MUCH GUYZ!!! ROSTAM ANAINGIA VIPI KWENYE SUALA LA ARUSHA?? RA HA DEAL NA ISSUE ISIYO LIPA KAMA VURUGU ZA ARUSHA YEYE YUKO KIMASIRAI ZAIDI
 
tHIS IS TOO MUCH GUYZ!!! ROSTAM ANAINGIA VIPI KWENYE SUALA LA ARUSHA?? RA HA DEAL NA ISSUE ISIYO LIPA KAMA VURUGU ZA ARUSHA YEYE YUKO KIMASIRAI ZAIDI

MKuu,
as a thinker you have to analyize things and think big. Watu kama RA hawako kwa ajili ya pesa tu, but sometimes kupambana na wabaya wao.

Can you think of Yusuph Manji kumfungulia Mzee Mengi charge ya faini eti "shilingi moja" kwa kumchafua kwny vyombo vyake vya habari. Do yo think Manji anatafuta maslahi hapo? The matter ni kuwa anafight na adui yake na anataka kumkomoa.

So kama we ni mtu wa kuhusisha mambo hutashangaa kumsikia RA kwny issue ya Arusha. Kumbuka Radio one was the only media to report the truth abnut funeral ceremony of Ismail.

So though Rostam hana maslahi ya kiuchumi kwny jambo hili but it can be true kama anataka kumkomoa mzee Mengi. Kumbuka hawa watu ni moshi na pua!
 
Back
Top Bottom