Kutokana na kuripoti ukweli wa yaliyojiri Arusha, Radio One hatarini kufungiwa

Alfu Lela Ulela

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
1,255
77
Taarifa za "kiintelijensia" zilizonifikia punde zinadai kuwa RA hakufurahishwa kabisa na kitendo cha Radio ya Mzee Mengi kum-attribute baba wa Ismail na kuripoti ukweli.
Pamoja na kwamba taarifa ya radio one ilimuudhi RA na kuongeza uhasama kati yake na mzee Mengi, lakini inadaiwa taarifa hiyo ilidhalilisha gazeti la HabariLeo ambalo ni amana ya serikali. Hivyo kuna tetesi kuwa unasukwa mpango kabambe (kaka Imma mkuu wa wizara akihusishwa) wa kuitafutia kosa radio one ili waweze kuifungia na kumaliza hasira zao. Mwenye taarifa zaidi juu ya tetesi hizi atujuze.
 
subutuuuuuuuuuuuuuu!!

wameshindwa kuwafunga mafisadi watapata wapi pumzi ya kufungia kituo cha redio?

tutawa-do!!
 
Sulphadoxine, RA anakuwa msumbufu kwa kuwa nchi ni yake. JK ni mshika kibendera tu!
 
Hivi huyu RA kwa nini anakua msumbufu sana?

mkuu, mi nadhani RA ni kama jinamizi. Hana adui mmoja (specific targeted enemy). Leo hii tukimpa nafasi ataje adui yake atashindwa maana kila mtu anamwona adui, nae anawaona watu wote kuwa maadui zake. Amewehuka!!
 
subutuuuuuuuuuuuuuu!!

wameshindwa kuwafunga mafisadi watapata wapi pumzi ya kufungia kituo cha redio?

tutawa-do!!

Uko sahihi mkuu, bt tujiulize kwanza ni nani huyo.? Kama angekuwa mtu mwingine ningehisi tetesi hizi ni matishio tu. Lakini kama ni RA hajali kitu yule. Hana uchungu na nchi yetu. Haogopi yeyote. Hakuna wa kuthubutu kumnyorhea kidole. Kama anaweza kumshinikiza JK na JK akatii his orders, sembuse bro.Emma pale wizara ya habari!??
 
Ukisikia watu wasiogusika na Serikali wala CCM ni huyu RA
Wanamwogopa kuliko mfano kuanzia JK mwenyewe
Huwezi ukasikia mtu Serikalini anamuongelea huyu jamaa
 
Taarifa za "kiintelijensia" zilizonifikia punde zinadai kuwa RA hakufurahishwa kabisa na kitendo cha Radio ya Mzee Mengi kum-attribute baba wa Ismail na kuripoti ukweli.
Pamoja na kwamba taarifa ya radio one ilimuudhi RA na kuongeza uhasama kati yake na mzee Mengi, lakini inadaiwa taarifa hiyo ilidhalilisha gazeti la HabariLeo ambalo ni amana ya serikali. Hivyo kuna tetesi kuwa unasukwa mpango kabambe (kaka Imma mkuu wa wizara akihusishwa) wa kuitafutia kosa radio one ili waweze kuifungia na kumaliza hasira zao. Mwenye taarifa zaidi juu ya tetesi hizi atujuze.

Trying to connect them dots here
 
But you great thinkers,
do u think mr.Mengi will stay quet as simple like that?
Inakuaje mtu mmoja anaogopwa na serokali? Sidhani kama anaogopwa balo serikali inaogopa kuumbuliwa madude yao. Hapa ni kuondoa wote ili kumaliza hili jinamizi. Hakuna namana ya kuutenganisha uovu wa serikali ya jk na RA. Ili tupumua ni lazima wote tuwafagie bora kuanza upya kuliko kuunedelea na hili zimwi. Wazee kazi toeni mwelekeo sisi tuko tayaro maana tumeshapigika vya kutosha hatunahaja ya kuendelea kutomasa tomasa hizi issue zaa RA it is too much let it go hatakama nchi itayumba kama wanavyodai mafisadi wa serikali yetu.
 
You are right brother, but nani amfunge paka kengele?? Kila aliye kwny system analiogopa hili jitu.
 
Inakuaje mtu mmoja anaogopwa na serokali? Sidhani kama anaogopwa balo serikali inaogopa kuumbuliwa madude yao. Hapa ni kuondoa wote ili kumaliza hili jinamizi. Hakuna namana ya kuutenganisha uovu wa serikali ya jk na RA. Ili tupumua ni lazima wote tuwafagie bora kuanza upya kuliko kuunedelea na hili zimwi. Wazee kazi toeni mwelekeo sisi tuko tayaro maana tumeshapigika vya kutosha hatunahaja ya kuendelea kutomasa tomasa hizi issue zaa RA it is too much let it go hatakama nchi itayumba kama wanavyodai mafisadi wa serikali yetu.
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba RA ni mtu hatari sana yani ni sawa na wapiganaji wa Hamas au raia wa Afghanistan na Iraq wanaojitoa mhanga bila kujali madhara yatakayojitokeza, na ukiangalia wakubwa kibao serikalini wameshaingia mtegoni kwa jamaa kwa hiyo haoni hatari kujilipua nao, tena nasikia jamaa kila dili anayopiga nao inakua recorded kwenye video, ndio maana JK,Ngereja,EL,Makamba,Ridhiwani,Masha n.k hawawezi hata kumchafua huyu jamaa, ni nguvu ya umma na maskini waliopigika kimaisha kama sisi at least tunamsakama
 
Chadema tupeni mwongozo hapa. Kwani hakuna namana hata ya kupitisha referandum ya kimfanyia impigment huyu jamaa haijalishi atakufa na nani maadamu sisi walalhoi tunapona?
 
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba RA ni mtu hatari sana yani ni sawa na wapiganaji wa Hamas au raia wa Afghanistan na Iraq wanaojitoa mhanga bila kujali madhara yatakayojitokeza, na ukiangalia wakubwa kibao serikalini wameshaingia mtegoni kwa jamaa kwa hiyo haoni hatari kujilipua nao, tena nasikia jamaa kila dili anayopiga nao inakua recorded kwenye video, ndio maana JK,Ngereja,EL,Makamba,Ridhiwani,Masha n.k hawawezi hata kumchafua huyu jamaa, ni nguvu ya umma na maskini waliopigika kimaisha kama sisi at least tunamsakama

naunga mkonn hoja.
 
Back
Top Bottom