Kutoka Zanzibar: CHADEMA yawa agenda ndani ya CC ya CCM

Deka D

Senior Member
Feb 8, 2013
115
62
Hello wana janvi..! Habari nilizozipata nikuwa cc ya chama cha mapinduzi wako katika wakati mgumu wa maamuzi juu ya kumvua uwanachama mzee wa monduli.

Katika kuonyesha kuwa hilo linawezekana mjumbe mmoja alijenga hoja ya kumvua uwanachama mzee huyo kwa kutumia mfano wa CDM kumvua uwanachama Mh.Zitto kabwe. Mjumbe huyo alitete hoja kuwa kuwa ni wakati wa kumtosa Lowassa kwa sababu ata kama anaushawish hawezi kukiua chama.. akatoa mfano mbona chadema walimtosa zittobna bado wameendelea kushinda kwenye serikali za mitaa tena wamechukua mitaa yetu. Baadhi ya wajumbe kapiga makofi.

Mmoja wa watu walio support wazo hilo ni katibu wa ngazi fulan yeye akatoa mfano wa hamad Rashid wa CUF kuwa mbona nao walimfukuza na chama chao bado ni tishio zanzibar.

Mtoa taarifa anasema kuwa wajumbe wengi wanaonekana kutumia mfano wa Zitto kabwe hasa licha yakuwa Mh.Zitto hakuwa fisadi na mtu safi kabsa.

Ata hvyo kuna baadhi ya wajumbe hawahaifiki hilo suala kwa sababu mh.mzee wa mondul mtandao wake ni mkubwa sana. Tena kuna mtu ambae yeye amemtetea mzee lowasa kwa kutumia hotuba ya Nyerere ya mwaka fulan kuwa nchi itatawaliwa mpinzani atakae hama CCM.. kwa hyo huwenda hyo kauli ya za Nyerere ikatimia 2015 kama cc haitakuwa makini.

Hitimisho tusubili tuone mwisho wa siku nini kinatokea. Lakin inaonekana Lowassa ana nguvu sana mpaka wanapendekeza kupiga kura ili watakao mtosa wasijulikane.

Kutoka kwa

Mzee wa kinondoni

12/01/2015
 
Ngoja tusubiri tuone maamuzi watakayochukua kama yatakuwa hasi au chanya kwa chama chao.
 
Wamtose laigwenan kwa kosa gani? Kwanza siamini hiyo habari, na kama ni kweli ni yaleyale mambo ya kumtia ngwara au kabali mgombea imara.
 
CCM wakimfukuza Lowassa ndani ya ccm mwisho wa ccm utakuwa umefika .UKAWA tusiposhinda uraisi mwaka huu basi tena
 
Wamtose laigwenan kwa kosa gani? Kwanza siamini hiyo habari, na kama ni kweli ni yaleyale mambo ya kumtia ngwara au kabali mgombea imara.

mwizi unamwita mgombea imara tukuulize hela anazogawa kila kona ametoa na akiwa rais atairudishaje tafakar chukua hatua
 
Nazani mgombea urais wa ccm na hizi habar za Lowasa ndo mtihani mkubwa sana CCM hiki, ukiona wanafika hadi wakati hu na mwelekeo wa aliyeko madarakani kutokuwa na picha au ushawishi wa anayemtaka ni ishara mbaya sana.
 
Uongo mtupu.

Ukoo wa panya = 1421067904409.jpg
 
Back
Top Bottom