Kutoka Ukumbi wa Chuo Kikuu Huria Musoma: Prof. Muhongo atangaza nia ya Kugombea Urais

muhongo ameweza kueleza jinsi ya kutuondoa kwenye umaskini kwa kutumia rasilimali tulizo nazo.anafaa kuwa raisi wa watanzania
 
Tatizo dharau na kujiona anajua kila kitu anaweza hapo ndio hatataka hata mambo ya sheria afanye yeye wakati kuna mwanasheria mkuu au mambo ya uchumi afanye yeye wakati yeye mtaalamu Wa miamba sasa miamba na uchumi wapi na wapi kusema akuna mbadala ccm zaidi Yake labda Kwa dharau na majigambo
 
Heshima Mbele;

Ukiweka siasa pembeni ukamsikiliza kwa makini Prof.Muhongo utadadavua kwamba kwa wana wa ugambani hakuna mtu size yake anajidhalilisha sana kupambana na watu the likes of Edward Lowassa hawana hadhi ya kushindania nyadhifa yoyote nchini na duniani na Prof.Muhongo.

Huyu jamaa ni shida kafanya kazi Africa peke ake nchi 52 kati ya 54 wakati Lowassa Africa kafanya kazi Monduli,Arusha,Lumumba na Dodoma.

Its a shame kwamba kutokana na siasa maandazi za wana wa Ugambani anaonekana mtu wa kawaida ila huyu kiumbe ni mashine nyingine...

Hata kama alifanya kazi nchi nyingi afrika hakufanya kazi ya uraisi. Ninaamini 100 percent, Muhongo atakuwa ni msindikizaji kati ya watangaza nia.
 
Ama kweli Watanzania tutafutiwe mtaalamu aje atupime akili zetu. Hivi kweli mtu mwenye akili timamu unaweza kuwaza Profesa Muhongo anaweza kuwa Rais kwa zile tabia zake kweli? Hey people! Let's be serious! This is not only our country, but the country of the future generations.
 
Watz wenye akili watakubaliana na ukweli kuwa Muhongo ana uwezo mkubwa sana kiakili.Utajitambua kuwa hauna akili hata ya kawaida kama hauwezi kubaini ukweli.Mmepumbazwa na Escrow kwa sababu ya ujinga wenu.Ingelikuwa kuna şayansi ya kuongoza maamuzi ndani ya taasisi na vikao, nadhani yuko mbalı sana ya Watz wengne wote.
 
Mi nadhani tufanye tathmini, tujue yafuatayo:-

1. Lowasa alitumia bei gani
2. Mwigulu
3. Wassira
4. Makongoro
5. Prof. Mhongo
6. yule wakusoma wa mzumbe
6. Sumaye
7. Prof Mwandosya
8. na wengine wote

Kweli mkuu naomba wajuzi na wafuatiliaji watuambie matumizi ya kiongozi mmoja mmoja kati hao wanaotangaza nia. Ila nilisikia Lowassa ametumia billion 1.5
 
ANAzingua huyuu anajisifia uongo..mara WAfaransa sijui nilifanya nao utafiti...nimepanda ngazi ya juu..uongo tu

Sema labda hafai tu...ila anayoyaongea ni kweli,huyu jamaa kwa elimu na uzoefu wa kimataifa hakuna anaemfikia
 
thank God leo baadhi ya wameona na kuelewa uwezo wa Prof Muhongo.this dude is smart na visionary ata madalali wanalijua hilo. Kamwaga data mda wote hamna mda wa ngom, vichekesho wala ngonjera. Watu mara ccm oye ccm oye yeye hana hilo na ata mda wa kuwaeleza watanzania matatizo yetu na jinsi atakavyo yatatua haukutosha.

Prof Muhongo hama sanaa. Yeye kazi tu kulinda mali za watanzania na kuimarisha uchumi .CCM mpeni ridhaa na mmshirikishe katika kuandaa ilani aiokoe nchi.
 
Anapita kwenye mistari ile ile ya Joseph Haule mtu wa mitulinga.Mpaka biti linanijia kichwani...."..ntajenga barabara tanotano juu na chini...."

NASEMA CCM HAPANA
 
Dharau hizo acheni ninyi mbaojaribu kumdhihaki Professor Muhongo.ninyi mliungana na waliomzushia pia? CCM yenyewe imeshaona atafaa sasa nyie wengine mnatoa mitazamo tu...mie nasibiria Rais Muhongo wa awamu ya tano...Nabii hatambuliki kwao...wayahudi hawakumwamini yesu hadi alipoondoka....mliomtoa Muhongo ofisini sasa tungeni sentensi zingine....
 
Huyu mzee alitaka kufa bungeni wakati wa maswali ya tegeta escrow,alijilamba mdomo acha,lile koti likawa kama blanket maskini,mpaka nilimwonea huruma.
 
Back
Top Bottom