Kutoka tcu leo leo

gbrother

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
408
51
Wale wote ambao wamechaguliwa vyuo/course ambazo hawajaomba kwa mujibu wa afisa wa tcu akitutangazia baadhi ya wanafunzi tuliofika tcu makao makuu, leo jioni watatoa taarifa kwa watu hao ili waconfirm kama wanataka course na chuo walichopangwa, kama hawataki watapewa maelekezo ya kufanya.
Kuna watu wengi sana tumepelekwa ifm accounting wakati sio chaguo letu.
Ikitoka jamani tupeane taarifa.
 
Ni kweli kwenye web ya TCU wameweka hayo majina ya watu waliopangiwa vyuo/course wasizoziomba,
Wanataka ucheki jina lako kama lipo ucomfirm kama utaikubali course au chuo walichokupangia.
 
Ni kweli kwenye web ya TCU wameweka hayo majina ya watu waliopangiwa vyuo/course wasizoziomba,
Wanataka ucheki jina lako kama lipo ucomfirm kama utaikubali course au chuo walichokupangia.

kaka utata unakuja jinsi ya kuconfirm, maana majina yameolezeshwa tu, yapo 4097, namna ya kuconfirm hawajasema,
na % kubwa ni ifm.
 
Back
Top Bottom