samweli mwandelema
Senior Member
- Feb 17, 2014
- 117
- 41
Nchi ya ajabu badala ya kuhangaikia njaa wanaweka watu lupango, ajira hamna.wacha tuisome namba
Mkuu, Yan balaaaa balaaaaaI cant Imagine Arusha ikoje muda huu
Huyo siyo kaka unamkosea. Anaitwa aunt yehodaya
Hapafai hapa
Mkuu, Yan balaaaa balaaaaa
Mandelaaaaaaaa kaaachiwa njoo kamanda njoo kamanda uje ututooee DAUD BASHITE Anafanya watu wafeli huku mjini wapate zero hata wadogo zetu
......Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imempa dhamana Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema.
Kwa nn ukwenda kumwona Akiwa maabusuSasa naenda mjini kumwona shujaa Lema..
Pikipiki 200 za waziri mkuu alizogawa zitatumika kumpokea Kamanda Lema. Shujaa wa Tanzania
....
People'ssssssssss. Mungu ni mwemaMahakama Kuu Kanda ya Arusha imempa dhamana Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema.