Kutoka Mahakamani: Hukumu ya kesi ya Zitto dhidi ya CHADEMA!

Status
Not open for further replies.
Mkuu wangu Invisible , hamjatuma watu Mahakamani?....Maana hakuna updates zozote zinazoendelea hapa tofauti na kwenye mitandao na forums nyingine....

Sasa mnataka UPDATES GANI WAKATI GAME IS OVER HIYO NA LEKATUTIGITE INARINDIMAAAA....!!!


KIGOMAAAAA AEE KIGOMAAA MAMA WEEEEE,,,,LEKATUTIGITEEEE MMMMMMHHHH MMMMHHH MHHHH,,

KIGOMAAAA AEEEE KIGOMAAA MAMA WEWEEE WACHAGA WAMENYWEAAA OOOH OOOOH OHHHH


:majani7::majani7: :sad::horn: ZITTO GOGO LA UDIII KIBOKO YAOO WACHAGA WABAGUZI,WADINI NA WAKABILA,,,KWISHA HABARI YAO
 
BREAKING NEWZ............

NIKO hapa mahakamani ndani HUKUMU bado haijasomwa mpaka muda huu saa 4:25 wapuuzeni WAHAFIDHINI wanatengeneza MAZINGILA ya kujipa ushindi kwa UONGO:-

" Mungu mbariki Zitto, Mungu ibariki Tanzania" HAKI LAZIMA ISHINDE

Asanteni!!

mungu gani anaweza kumbariki msaliti wa mageuzi tanzania.na alaaniwe kabisa huyo
 
Hii hapa muendelezo kwa Hisani ya Mtu wa Tanganyika aliyeko Mahakamani;

Pingamizi la Msando kuhusu counter affidavit.Jaji anasema Kibatala hakuthibitisha kuwepo kwenye kikao hivyo hivyo mahakama ina mashaka maana kitendo cha kusema hivyo tu haithibitishi

Sio salama kwa mahakama kuzingatia ushahidi wa Kibatala tu kwa ufahamu wake

Ananunukuu Circus code 11 edition kwenye civil case za INdia.
Anasema kwenye hati ya viapo (counter affidavit) maneno tu hayatoshelezi .Kwenye kesi ya Ernest vs Attorney General ya Mahakama kuu iliamua kuwa mazingira pia yanaweza kusababisha ushahidi wa mdomo kupokelewa.
-Kibatala ameonyesha kupata taarifa kwa vyanzo viwili tofauti.
Hivyo hajaonyesha kuwa ni ipi aliishuhudia kati ya taarifa hizo.
-Kitabu cha Circus page 1508 kinataka verification kwenye affidavit isiwe vague kwa hiyo identical facts haiwezi kuwa both true and to the best of my knowledge.
Anatoa mfano wa kesi ya TBal Vs Robert Chacha ya mwaka 1986 ambayo mahakama iliamua kuwa source ya taarifa ni lazima iwe moja

Kama ni tuhuma(allegations) ni sawa maana inahusisha record au kuwepo mahali

Kwa hiyo kwa swala hili halipo inorder na ni kinyume cha sheria kutumia aya aliyoitumia kibatala.

-ingekua sahihi kama Kibatala angezingatia matakwa ya kisheria kuwa ni lazima apate taarifa mwenyewe ili ale kiapo.
-Pia Kibatala hawezi kula kiapo kama wakili wakati huo huo akatoa oral submission kwa niaba ya mteja wake.
Kanuni 36(e) na 37(3) ya sheria za mwenendo wa kesi za kiraia inazuia hearsay kutumika katika affidavit.
Pia kesi ya Uganda VS Prison commissioner ilionyesha kuwa wakili hawezi kuwa Shahidi wakati huo huo.

Counter Affidavit imetupwa.

Sasa ni merits of the application.
-Balance of convinience is in his favor .Anajenga ground kwa kesi ya Agustine Lyatonga Mrema ya mahakama ya Rufaa ya mwaka 1999.
Ametupa counter affidavit na annextures na kwa kuwa kazingatia affidavit basi hatazingatia vipengele vya pembeni.
 
taarifa za kuaminika nilizonazo kutoka HQ ya Jf ni kuwa,ili uanzishe uzi na usizimwe ni lazima uwe mwanachama wao katika vilabu vyao vya gongo vilivyosambaa nchi nzima,kama pale manzese,arusa ni kule sombetini na matejooo,songea ni kule bomba mbili kwa mama peter,moshi ndo balaa,karatu ni karibu na kwa mzee wao ambaye wanamwita katibu mkuu.
Wanywa gongo utawajuwa tu... yaani kwa kuzijuwa sehemu inakopatikana hawajambo..

 
BREAKING NEWZ............

NIKO hapa mahakamani ndani HUKUMU bado haijasomwa mpaka muda huu saa 4:25 wapuuzeni WAHAFIDHINI wanatengeneza MAZINGILA ya kujipa ushindi kwa UONGO:-

" Mungu mbariki Zitto, Mungu ibariki Tanzania" HAKI LAZIMA ISHINDE

Asanteni!!

Mkuu nipe mahana ya wahafidhina nikuunge mkono coz isiwe kama wale jamaa wanaowaita wenzao kafili
 
kusini gani??

Huku kusini haipendwi chadema,isipokuwa anapendwa zito tuh,,

michaga mikabila,midini huku haina nafasi

labda huko huko tengeru

Acha uongo wewe unaongelea kusini ipi wanayomkubali zitto unadhani uko mtwara peke yako?tatizo ww ni mdini sana nikikuona pale kiyangu msikitini ntakushtua, unakumbuka alipokuja slaa ule umati kuanzia eapot ulikuwaje?
 
Hivi ni Yericko kweli anayeripoti...au Account yake imeingiliwa na hackers...mbona huwa hacheliwi..kuripoti kinachojiri namna hii ....huku maeneo mingine update zina zidi kufumuka?

Mkuu wewe unapata wapi updates zingine ?. Tuambie basi nasi tuende huko maana huku jf leo kunazingua sana
 
BREAKING NEWZ............

NIKO hapa mahakamani ndani HUKUMU bado haijasomwa mpaka muda huu saa 4:25 wapuuzeni WAHAFIDHINI wanatengeneza MAZINGILA ya kujipa ushindi kwa UONGO:-

" Mungu mbariki Zitto, Mungu ibariki Tanzania" HAKI LAZIMA ISHINDE

Asanteni!!

mungu hawezi kuhangaika na nyoka huyo labda umuombe lucifer ndio mahala pake.
 
Swali la msingi, tuchukulie ZZK kwa bahati mbaya mahakama ikakosea na kumpa ushindi ;Je atamuongoza nani?; In short this guy must go and this will mark the end of his populality in politics; politically he is finished kwa upepo wa siasa za Tanzania.
Mkuu,au mimi ndo sielewi.Kwani kesi iliyopo ni Zitto kupinga CHADEMA Wasijadili chochote kwakua amekata rufaa BARAZA KUU? Hivyo maamuzi tunayosubiri ni iwapo Mahakama itaridhia Zitto asichukuliwe hatua yoyote Au CHADEMA Waendelee kuchukua hatua dhidi yake,Kesi haimanishi Zitto akishinda iwe ndo karudishiwa nyadhifa zake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom