Kutoka mahakamani Arusha ~ Kesi ya CHADEMA

Ngurati mbona unavamia kazi za watu mwenyekazi hii anajulikana.

Wadau, nipo Kwenye chumba cha mahakama arusha ambapo ksi ya maandamano ya arusha inayo wakabili viongozi waandamizi wa CDM inaendelea.
Katika Hali isiyo ya kawaida, wakati wakili mkuu wa srikali akiendelea kusoma mashtaka ya washtakiwa ghafla wananchi waliopo ndani na nje ya mahakama wakashanhilia kwa makofi, vifijo, na klele pale msoma mashtaka alipsema
"mshtakiwa wa nne lema, aliendela kunishana na polisi akiwaambia kazi Yao sio kuzuia maandamano Bali ya kuyaongoza na kuyalinda"

mshtakiwa wa tatu philemoni ndesamburo akihutubia, aliwaambia polisi, kikwete anaanza kuandika historia ya vurugu nchini, kikwete huna baba? Unatupiga mabomu wakati mkoloni hakutupiga mabomu? Unataka kushindana na ndesamburo kwa hivi vipolisi ambavyo maisha Yao yamechakachuliwa? Kikwete hutaziweza vurugu za ndesamburo"

ghafla vifijo vikaamka tena, wananchi wakashangilia wakisma ....kweli..... Kweli....

Hii picha tamu sana. Nitawajuza.
 
Ujamalizia maneno ya Ndensamburo..tutafanya nchi isitawalike tena

yeyote mwenye fikra thabiti hakika angetamka hivyo, ritz unazani kutamka hivyo ni kosa: w'have reached at the point of no return.
 
Wadau, nipo Kwenye chumba cha mahakama arusha ambapo ksi ya maandamano ya arusha inayo wakabili viongozi waandamizi wa CDM inaendelea.
Katika Hali isiyo ya kawaida, wakati wakili mkuu wa srikali akiendelea kusoma mashtaka ya washtakiwa ghafla wananchi waliopo ndani na nje ya mahakama wakashanhilia kwa makofi, vifijo, na klele pale msoma mashtaka alipsema
"mshtakiwa wa nne lema, aliendela kunishana na polisi akiwaambia kazi Yao sio kuzuia maandamano Bali ya kuyaongoza na kuyalinda"

mshtakiwa wa tatu philemoni ndesamburo akihutubia, aliwaambia polisi, kikwete anaanza kuandika historia ya vurugu nchini, kikwete huna baba? Unatupiga mabomu wakati mkoloni hakutupiga mabomu? Unataka kushindana na ndesamburo kwa hivi vipolisi ambavyo maisha Yao yamechakachuliwa? Kikwete hutaziweza vurugu za ndesamburo"

ghafla vifijo vikaamka tena, wananchi wakashangilia wakisma ....kweli..... Kweli....

Hii picha tamu sana. Nitawajuza.
Hii hotuba ya ndesamburo ilikuwa nzuri sana. Naitafuta sana. mwenye video aibandike hapa!
 
Wanaharakati makini walio ndani ya CDM, Zitto na Mnyika, huwezi kuwasikia kwenye mambo ya kipuuzi. Wanajua wanachokifanya.
Ndio maana huwa nasema na nitaendelea kusema, CDM ina watu wawili tu wenye akili. Hebu CDM jipangeni tena.
 
wewe wala hauko Arusha, uko lumumba unajiandaa kwenda kula ubwabwa

Mimi nipo Arusha na saizi nipo mahakamani tukutane Kibo Palace Hotel nimefika hapo..

Hukitoka simama hapo mnara wa saa nakuja hapo
 
Wanaharakati makini walio ndani ya CDM, Zitto na Mnyika, huwezi kuwasikia kwenye mambo ya kipuuzi. Wanajua wanachokifanya.
Ndio maana huwa nasema na nitaendelea kusema, CDM ina watu wawili tu wenye akili. Hebu CDM jipangeni tena.

mmmh! haya kama ni kweli.... lakini nijuavyo mie ndege mjanja ukimbiza mbawa zake zisipigwe manati
 
Wanaharakati makini walio ndani ya CDM, Zitto na Mnyika, huwezi kuwasikia kwenye mambo ya kipuuzi. Wanajua wanachokifanya.
Ndio maana huwa nasema na nitaendelea kusema, CDM ina watu wawili tu wenye akili. Hebu CDM jipangeni tena.

Rejeo kumbe na wewe ni Kiwasi?
 
Wanaharakati makini walio ndani ya CDM, Zitto na Mnyika, huwezi kuwasikia kwenye mambo ya kipuuzi. Wanajua wanachokifanya.
Ndio maana huwa nasema na nitaendelea kusema, CDM ina watu wawili tu wenye akili. Hebu CDM jipangeni tena.
Bora CHADEMA kuna wawil. CCM hakunaga!
 
Tumerudi ndani, kwa kigupi mawakili wa serikali walishindwa kuelewa tafsiri ya washtakiwa kukubali kwa kutamka na kusaini ya kuwa yaliyosemwa na wakili wa utetezi ni sawa. Wameeleweshwa na mawakili wa utetezi wameelewa. Hakuna kilichobadilishwa:
bado hakimu hajaingia.
 
Wadau, nipo Kwenye chumba cha mahakama arusha ambapo ksi ya maandamano ya arusha inayo wakabili viongozi waandamizi wa CDM inaendelea.
Katika Hali isiyo ya kawaida, wakati wakili mkuu wa srikali akiendelea kusoma mashtaka ya washtakiwa ghafla wananchi waliopo ndani na nje ya mahakama wakashanhilia kwa makofi, vifijo, na klele pale msoma mashtaka alipsema
"mshtakiwa wa nne lema, aliendela kunishana na polisi akiwaambia kazi Yao sio kuzuia maandamano Bali ya kuyaongoza na kuyalinda"

mshtakiwa wa tatu philemoni ndesamburo akihutubia, aliwaambia polisi, kikwete anaanza kuandika historia ya vurugu nchini, kikwete huna baba? Unatupiga mabomu wakati mkoloni hakutupiga mabomu? Unataka kushindana na ndesamburo kwa hivi vipolisi ambavyo maisha Yao yamechakachuliwa? Kikwete hutaziweza vurugu za ndesamburo"

ghafla vifijo vikaamka tena, wananchi wakashangilia wakisma ....kweli..... Kweli....

Hii picha tamu sana. Nitawajuza.

Hivi hawa mawakili wetu wa serikali wajuwa kuandaa kesi au kuandaa umbeya!!! Halafu jamaa kama hawa wakatuwakilishe kwenye kesi za Dowans ICC!!!
 
NI KWELI NCHI HAITAWALIKI NA HAITATAWALIKA MPAKA NGUVU YA UMMA ITIMIZIWE YALE INAYOSTAHILI
umeme
maji
shule
bei
unyanyasaji
nk
 
Wanaharakati makini walio ndani ya CDM, Zitto na Mnyika, huwezi kuwasikia kwenye mambo ya kipuuzi. Wanajua wanachokifanya.
Ndio maana huwa nasema na nitaendelea kusema, CDM ina watu wawili tu wenye akili. Hebu CDM jipangeni tena.

Kichaa siku zote humtambua kichaa mwezake. Hawezi kumtambua mwenye akili timamu. Kwa sababu hii, siwezi kukulaumu
 
Back
Top Bottom