Kutoka facebook fanpage ya Jumuia ya Uamsho

Status
Not open for further replies.
Ivi kuna mungu ambaye yuko tayari kuona kiumbe chake kikiuwawa kinyama!

Ndio, Mungu huyu ambaye ameumbwa na mwanadamu kupitia kitabu kinaitwa Msahafu wa Kiislam na Biblia kwa wakristo. Vitabu vyote vimeandikwa na mwanadamu. Kupitia maandiko hayo hayo ya binadamu, binadamu anayatumia vile anaona kwake ni sawa. Hivi vitabu vinajidhirisha vyenyewe kuwa ni vitakatifu na havitaki viguswe kwa marekebisho. Hapa ndio naona shida ya IMANI. Kuamini eti kuna kitu kinaitwa Mungu ndicho kiliumba kila kitu. Mbona hakikuumba na Biblia kama mwongozo wa alivyoviumba? Mimi ninajua kwamba hivi vitabu vimeundwa na wanadamu kwa malengo yao ya kuweka kumbukumbu za matukio na Wanadamu wengine wakaja kukusanya na kupanga vile wanataka iwe.
 
INTELIJINSIA kajificha wapi?? huu ndio muda muafaka kwa intelijensia kufanya kazi zake.
Sitaki kuamini Intelijensia kageuka Abunuwasi.
 
Wote humu waoga wa kufa! this time u r going to watch a realy movei not a trller!
 
Ndungu zanguni, waswahili walisema adui yako muombee njaa lkn naona hawa hutakiwi kuwaombe njaa maana kinachowasumbua tayari ni njaa na umaskini wa rohoni. Maana kama mtu angekuwa tajiri angalau akaweza kumiliki kuku wa kienyeji basi angekuwa na uchungu na kuku wake hata asingetamani kuanzisha fujo wala kutamani vita iwepo karibu yake. lakini hawa wanaojiita waislam safi wengi wanaishi kwenye nyumba za nhc au chumba kimoja watu kumi. kama kuna tajiri basi jua huyo anapata misaada toka uarabuni au semu nyingineyo.

angalieni wenzetu wakristo wanajenga makanisa kwa mishahara yao hawategemei misaada toka nje ndio maana wanakuwa na uchungu na mali zao hawataki vita, wana mashule, hospital, vyuo vikuu lkn sie mhhh.

sasa tumejua nyie mnaojifanya waislam wakati mmeva ngozi ya kondoo mkome kabisa sie wengine tunampenda mungu hata kama hatuna chakujivunia lkn mungu ametupa watoto, wake wazuri, na kikubwa mno tuna afya njema hilo latosha kumshukuru mwenyezi mungu.

kumbukeni mtume aliishi na wakristo, na wapagani hata walipokufa aliwatungia ushairi mzuri kulinga na matendo yao mema kwake na jamii. alipotaka kurudi makka aliyempa kibali cha kurudi hakuwa muislam sijui nyie hilo mnalijua sasa iweje mfanye fujo kwa watu wasio na hatia. Mwenyezi mungu ameamulisha kuwa kama mtaishi na watu wasio amini ile khari hawakuwadhuiria kuabudu basi msipingane nao nyie mmesoma wapi.

Mungu ibariki TANZANIA
 
NingegongaLIKE mara kumi, big up we ni muislamu wa kwanza kuongea maneno ya busara
 
Watauana wwnyeww

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ndio, Mungu huyu ambaye ameumbwa na mwanadamu kupitia kitabu kinaitwa Msahafu wa Kiislam na Biblia kwa wakristo. Vitabu vyote vimeandikwa na mwanadamu. Kupitia maandiko hayo hayo ya binadamu, binadamu anayatumia vile anaona kwake ni sawa. Hivi vitabu vinajidhirisha vyenyewe kuwa ni vitakatifu na havitaki viguswe kwa marekebisho. Hapa ndio naona shida ya IMANI. Kuamini eti kuna kitu kinaitwa Mungu ndicho kiliumba kila kitu. Mbona hakikuumba na Biblia kama mwongozo wa alivyoviumba? Mimi ninajua kwamba hivi vitabu vimeundwa na wanadamu kwa malengo yao ya kuweka kumbukumbu za matukio na Wanadamu wengine wakaja kukusanya na kupanga vile wanataka iwe.

Mazee umeongea point tupu. Lakini nakukuhakikishia ni wachache sana watakuelewa. Pamoja na nia yako njema ya kuelimisha, jiandae tu kupokea mijitusi ya kufa mtu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom