Kutoka facebook fanpage ya Jumuia ya Uamsho

Status
Not open for further replies.

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Jumuiya Ya Uamsho na Mihadhara Ya Kiislamu Zanzibar
TAMKO LA JUMUIYA LITATOLEWA LEO.

Mpaka sasa hakuna dalili yoyote kama Amir Farid ataonekanwa.
Lakini wajue hapatakalika tena hapa tutawachinja Mapadri na Polisi wote kama kuku.
Bububu wapnesha mfano baada ya kumchinja na kumua polisi moja kwa jina anatambulika Said.
Tunatakiwa tuwe makini na askari kanzu kwani wamenza kumagwa.
Tunaiambia Serikali hatukubaliani na tamko lao walotoa jana wao ndio wanahusika moja kwa moja..
Tunataka Amir achiwe kabla ya adhuhuri.
Tuachiwe Tupumuwe.
 
Upele umefika kwa mkunaji dini wameleta wengine wanauana wengine
ujinga bana mmmh...Nisiongee mengi wakanipiga na albadir.
 
Hawa wanacheza tu! Hawana sumu hata kidogo!

Ngoja na hiyo adhuhuri itafika na itapita!
 
Wanajisikia sifa kumchinja binadamu mwenzao!!! Halafu wanasema ni dini ya amani...... Mungu awasamehe tu.
 
Ivi kuna mungu ambaye yuko tayari kuona kiumbe chake kikiuwawa kinyama!
 
Hawa wanaotaka fujo wanaishi kwenye korido za maduka, wanamiliki mikeka ya kulalia na makobasi tu. Wenye uchungu na kesho yao wapo wanaiombea AMANI ya nchi.
 
hawa hata siwaelewi..huyo said walomchinja mkristo? sheikh wao kajiteka wao wanua watu...akili zingine sijui za wapi.
 
Sasa kama serikali ndo mbaya wao, hao mapadri wamewafanya nini? au hata serikali ya znz inaendeshwa kwa mfumo kristo??

Hawa jamaa akili zao zipo powered by viazi mbatata

Tunaiambia Serikali hatukubaliani na tamko lao walotoa jana wao ndio wanahusika moja kwa moja..
Tunataka Amir achiwe kabla ya adhuhuri.
 
Kuna watu wamenukuu vibaya maandiko kwenye Kuran. Ukitaka ujue hao wanaodai ni watu wa namna gani angalia maisha yao ya kawaida, sehemu wanazoishi, na hoja zao na wanachokipigania kwa mujibu wa hoja zao!

1. Watu hao wanaajira za kueleweka?
2. Wanaishi wapi?
3. Watoto wao wanasoma wapi?
4. unaweza kuongezea maswali
 
Sasa kama serikali ndo mbaya wao, hao mapadri wamewafanya nini? au hata serikali ya znz inaendeshwa kwa mfumo kristo??

Hawa jamaa akili zao zipo powered by viazi mbatata

Ndo maana baadae huwa mambo yao hayafanikiwi. Kama una mgogoro na nguruwe, halafu tukakukuta unapigana na kuku lazima tu question akili yako. Sasa hapa wanasema serikali imemteka mtu wao, halafu wanaenda kuchinja mapadre. Kwani serikali ya zanzibar inaongozwa na mapadre?
 
Jumuiya Ya Uamsho na Mihadhara Ya Kiislamu Zanzibar
TAMKO LA JUMUIYA LITATOLEWA LEO.

Mpaka sasa hakuna dalili yoyote kama Amir Farid ataonekanwa.
Lakini wajue hapatakalika tena hapa tutawachinja Mapadri na Polisi wote kama kuku.
Bububu wapnesha mfano baada ya kumchinja na kumua polisi moja kwa jina anatambulika Said.
Tunatakiwa tuwe makini na askari kanzu kwani wamenza kumagwa.
Tunaiambia Serikali hatukubaliani na tamko lao walotoa jana wao ndio wanahusika moja kwa moja..
Tunataka Amir achiwe kabla ya adhuhuri.
Tuachiwe Tupumuwe.
الثناء يسوع المسيح! أنا لا أتفق مع المسلمين الذين جلبوا العنف الديني! الحكومة تأخذ مني استجابة قوية
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom