Kutoka CUF Buguruni: Kikao na waandishi chaahirishwa, Lipumba akanusha fununu za kujiuzulu

DSC09216.jpg
 
Hilo gazeti analoripotia linawezekana ndilo limemsababishia majanga!! Pole mwandishi.

LIP5.jpg
 
Manyerere wewe huijui CUF acha hoja za kitoto aliyekwambia Lipumba hana Athari ni nani?Tumia akili ulizopewa kutafakari je ule umati uliokuwa pale Buguruni hauna athari?
 
hii taarifa ina ukweli wowote? ni tweet kutoka kwa millard inasema prof kaachia uenyekiti CuF.
 
Attachments

  • 1438849240815.jpg
    1438849240815.jpg
    30.9 KB · Views: 169
Walisema 'penye udhia penyeza rupia', kwa nini tunajiumauma wana UKAWA hatutaki kusema ukweli? Au mnaona aibu? Rupia ishapenyezwa hapo na ndio inaiua UKAWA hivyo, nyie endeleeni tu kufanya ni siri hamjui "mficha maradhi ..... humuumbua" Wala Oktoba 25 haifiki UKAWA watakuwa washagawana mbao, kila mtu ataondoka na kipande chake.
 
Watu muelewe kuwa ningumu AKILI NDOGO KUMUONGOZA MWENYE AKILINYINGI, Huwezi kulazimisha et MBOWE amuongozi P.LIPUMBA!! simaajabu MBOWE kuendelea kuongoza cdm ni kwasababu wengi wanaogopa kutimuliwa endapo watapinga jambo na ukizinga tia wafuasi wengi ni FUATA UPEPO unategemea kunakitu hapo! TEAM WAZALENDO
 
Walisema 'penye udhia penyeza rupia', kwa nini tunajiumauma wana UKAWA hatutaki kusema ukweli? Au mnaona aibu? Rupia ishapenyezwa hapo na ndio inaiua UKAWA hivyo, nyie endeleeni tu kufanya ni siri hamjui "mficha maradhi ..... humuumbua" Wala Oktoba 25 haifiki UKAWA watakuwa washagawana mbao, kila mtu ataondoka na kipande chake.
Wanaweza fika octoba lakini si kwauimala unaotakiwa na mm nisha jisemea kushika nch sikutoka chooni bas mojakwa moja uwerais, kunamipango na utaratibu wa muda mlefu tatizo watu hawataki kuelewa kuwa MBOWE hana akili ya kisomi zaid analindwa na uzezeta wa FUATA UPEPO, na watakubari oktoba maccm yatawapiga kama yamesimama urais
 
Kweli kabisa mkuu hata mm siwapendi CCM lkn siridhiki kuwarithisha UKAWA, hawana uwezo wa kuendesha hii nchi tunavyotaka na inaweza ikawa mbaya kabisa tukajasema bora ccm. Tuwe makini hiki kipindi cha mpito, tusifanye majaribio, tufanye kitu tulicho na uhakika nacho!
 
Tanzania ilikuwa inakombolewa na Dr Slaa na Lipumba Good man of high moral and integrity. Sadly Kwa tamaa za kijinga wamekwa pembeni na sasa two power hunger wako center stage. hakuna ukombozi tena in umekuwa upuzzi.
 
Na wewe punguza uzushi, ona sasa umeumbuka, Lipumba amekanusha. Njaa itawaua nyie waandishi mnaotanguliza matumbo

Wewe mchumia kichwa uko wapi sasa!! Hizi kazi za uandishi, tena wa uchunguzi zina wenyewe. Tuachie. Wewe kaa pembeni tuwe tunakupatia za ukweli. Umeumbuka sasa.
 
Back
Top Bottom