Kutoka Checkpoint, Pugu: Aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Ilala 2015 kupitia CHADEMA, Muslim Hassanali ajiunga na CCM

Ushamba ni mzigo, hivi kuna kiongozi aliye kuwa na toting kama JK? Lakini hazikusambaa mitandaoni kama hili
 
"Nimekosoa Serikali vya kutosha ila sasa ni muda wa kushirikiana nayo, sio wakati wa kuikosoa serikali na kuichafulia jina"
 
"Nimekosoa Serikali vya kutosha ila sasa ni muda wa kushirikiana nayo, sio wakati wa kuikosoa serikali na kuichafulia jina"
 
Wahame tu,ili ikifika2020 tuwetumebaki na wapinzani waukweli hawa wasio na misimamo waondoke wote asibaki mtu.
 
Huyu ndiye kiongozi mkubwa wa upinzani aliyemsema Polepole?

Mi nikajua Lowassa anarudi CCM.
 
Kama una madudu yako katika maisha yako ni ngumu kuwa mpinzani....

Wanahama kulinda biashara zao na mali zao baada ya vitisho vingi.
 
Mmh! Ni huyu mpinzani aliyeanziwa kupigiwa kelele na promo nyingi na Polepole tangu jana au kuna mwingine wa maana anahamia ccm leo?
16c04ae636ea3db512ed1e73fda74a11.jpg
 
Back
Top Bottom