CCM imevuliwa nguo na Makonda leo imechutama

Matulanya Mputa

Senior Member
Aug 14, 2023
105
203
Chama cha mapinduzi CCM toka kimeanzishwa hakina utamaduni wa kuvuliwa nguo, hata babu zetu waliotangulia katika makaburi ya uko ginigi wanalijua ilo.

Ukumbi wa Chimwaga Dodoma una historia ungekuwa unasema ungesema. Lakini kwakuwa hauna historia ya kusema hauwezi sema.

Leo Makonda kijana toka kwa mashemeji zangu wasukuma, nawapa kongole sana, lakini pia poleni sana kwakua Makonda ameenda kuwavua nguo wazee, ambao ni CCM ,kamvua nguo raisi Samia Suluhu Hassani, na viongozi wengi wa CCM hasa awamu ya sita kuwa wameshindwa kufanya kazi .

Viongozi na Serikali ya awamu ya sita imeshindwa kutatua shida za watanzania.

Hivyo basi leo CCM wamechutama uku wakitafakari je Makonda ndiyo CCM huyu au CCM nyingine.

Mambo ni mengi ila Makonda atavuka salama? Manake nimepita kwenye Corido za njia ya kuelekea Ginigi wazee wa sharubu na Itifaki wanasema Makonda anaenda vuka mstari, wa chama,na chama hakina Itikadi za kukosoana, kusema ukweli, wala kunyosheana vidole.

Wazee wa sharubu wanasema huu ujasiri katoa wapi, haoni leo anaenda kukiua chama, katoa siri nje na nani ataenda kuziba.

Ni mimi Mbumbe wa jimbo la Lulindi
2025 .
MATULANYA MATULANYA
Tusubiri jarida dogo la hatma ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu 2025
 
Chama cha mapinduzi CCM ,toka kimeanzishwa hakina utamaduni wa kuvuliwa nguo, ata babu zetu waliotangulia katika makaburi ya uko ginigi wanalijua ilo.
Ukumbi wa chimwaga Dodoma una historia ungekua unasema ungesema.
Lakini kwakua hauna historia ya kusema hauwezi sema.
Leo Makonda kijana toka kwa mashemeji zangu wasukuma, nawapa kongole sana, lakini pia poleni sana kwakua Makonda ameenda kuwavua nguo wazee, ambao ni CCM ,kamvua nguo raisi Samia Suluhu Hassani, na viongozi wengi wa CCM hasa awamu ya sita kuwa wameshindwa kufanya kazi .
Viongozi na serikali ya awamu ya sita imeshindwa kutatua shida za watanzania.
Hivyo basi leo CCM wamechutama uku wakitafakari je Makonda ndiyo CCM huyu au CCM nyingine.
Mambo ni mengi ila Makonda atavuka salama?
Manake nimepita kwenye Corido za njia ya kuelekea Ginigi wazee wa sharubu na Itifaki wanasema Makonda anaenda vuka mstari, wa chama,na chama hakina Itikadi za kukosoana, kusema ukweli, wala kunyosheana vidole.
Wazee wa sharubu wanasema huu ujasiri katoa wapi, haoni leo anaenda kukiua chama, katoa siri nje na nani ataenda kuziba.

Ni mimi Mbumbe wa jimbo la Lulindi
2025 .
MATULANYA MATULANYA
Tusubiri jarida dogo la hatma ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu 2025
 
Chama cha mapinduzi CCM toka kimeanzishwa hakina utamaduni wa kuvuliwa nguo, hata babu zetu waliotangulia katika makaburi ya uko ginigi wanalijua ilo.

Ukumbi wa Chimwaga Dodoma una historia ungekuwa unasema ungesema. Lakini kwakuwa hauna historia ya kusema hauwezi sema.

Leo Makonda kijana toka kwa mashemeji zangu wasukuma, nawapa kongole sana, lakini pia poleni sana kwakua Makonda ameenda kuwavua nguo wazee, ambao ni CCM ,kamvua nguo raisi Samia Suluhu Hassani, na viongozi wengi wa CCM hasa awamu ya sita kuwa wameshindwa kufanya kazi .

Viongozi na Serikali ya awamu ya sita imeshindwa kutatua shida za watanzania.

Hivyo basi leo CCM wamechutama uku wakitafakari je Makonda ndiyo CCM huyu au CCM nyingine.

Mambo ni mengi ila Makonda atavuka salama? Manake nimepita kwenye Corido za njia ya kuelekea Ginigi wazee wa sharubu na Itifaki wanasema Makonda anaenda vuka mstari, wa chama,na chama hakina Itikadi za kukosoana, kusema ukweli, wala kunyosheana vidole.

Wazee wa sharubu wanasema huu ujasiri katoa wapi, haoni leo anaenda kukiua chama, katoa siri nje na nani ataenda kuziba.

Ni mimi Mbumbe wa jimbo la Lulindi
2025 .
MATULANYA MATULANYA
Tusubiri jarida dogo la hatma ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu 2025
haina haja ya kuweweseka na huyu mjamaa,
kijana anafanya kazi vizur sana tena kwa bidii na weledi wa viwango vya juu sana,
na ile muzuri zaidi hababaiki wala kubabaishwa na wenye hofu juu yake ati atakwama mahali 🐒

kwa Neema na Baraka za Mungu yote yanawezekana...

Viva comrade Makonda viva 💪
 
Jamaa ata mimi sikuwahi kumkubali lakini sasa namkubali, azidi kuwasha moto, na kuwapelekea uko waliko, manake ukweli mchungu.
Leo viongozi wamegeuka kusifia badala ya kutatua changamoto za wananchi, Leo viongozi wameungana na Kina mwijaku kusifia
Wanasema milusi mingi umkimbiza mbwa.
Hivyo hawa viongozi ndio wanampoteza raisi Samia Makonda songa mbela na tupo pamoja.
 
Yaan title na content zinatofautiana kabisa. Yaan hiyo yote inatokana na sindano za, makonda. Tulia tu mzee.
Chama cha mapinduzi CCM toka kimeanzishwa hakina utamaduni wa kuvuliwa nguo, hata babu zetu waliotangulia katika makaburi ya uko ginigi wanalijua ilo.

Ukumbi wa Chimwaga Dodoma una historia ungekuwa unasema ungesema. Lakini kwakuwa hauna historia ya kusema hauwezi sema.

Leo Makonda kijana toka kwa mashemeji zangu wasukuma, nawapa kongole sana, lakini pia poleni sana kwakua Makonda ameenda kuwavua nguo wazee, ambao ni CCM ,kamvua nguo raisi Samia Suluhu Hassani, na viongozi wengi wa CCM hasa awamu ya sita kuwa wameshindwa kufanya kazi .

Viongozi na Serikali ya awamu ya sita imeshindwa kutatua shida za watanzania.

Hivyo basi leo CCM wamechutama uku wakitafakari je Makonda ndiyo CCM huyu au CCM nyingine.

Mambo ni mengi ila Makonda atavuka salama? Manake nimepita kwenye Corido za njia ya kuelekea Ginigi wazee wa sharubu na Itifaki wanasema Makonda anaenda vuka mstari, wa chama,na chama hakina Itikadi za kukosoana, kusema ukweli, wala kunyosheana vidole.

Wazee wa sharubu wanasema huu ujasiri katoa wapi, haoni leo anaenda kukiua chama, katoa siri nje na nani ataenda kuziba.

Ni mimi Mbumbe wa jimbo la Lulindi
2025 .
MATULANYA MATULANYA
Tusubiri jarida dogo la hatma ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu 2025
N
 
Jamaa ata mimi sikuwahi kumkubali lakini sasa namkubali, azidi kuwasha moto, na kuwapelekea uko waliko, manake ukweli mchungu.
Leo viongozi wamegeuka kusifia badala ya kutatua changamoto za wananchi, Leo viongozi wameungana na Kina mwijaku kusifia
Wanasema milusi mingi umkimbiza mbwa.
Hivyo hawa viongozi ndio wanampoteza raisi Samia Makonda songa mbela na tupo pamoja.
sasa hivi ndani ya chama na ndani ya Serikali wote wako mguu sawa kujiweka sawa,
coz huyu mjamaa hatabiriki akikuotea na ujae vizuri kwenye 18zake unapoteza kazi na unatokomea kabisaa kusiko julikana kwenye medani 🐒

Hata hivyo wateule kadhaa tayari confirmed watatemwa muda usio kua mrefu ujao kwenye mabadiliko madogo kuelekea uchaguzi wa Serikali za mtaa mapema mweshoni mwa mwaka huu 🐒
 
CCM ni wajanja sana hio yote ni kutaka wapinzani wakose hoja mana matitizo yote mwenezi ameshayasema na kukemea.
Sasa hapo wapinzani wataongea kipi kipya itakua ni marudio tu hawa jamaa hii ni mbinu.
 
Chama cha mapinduzi CCM toka kimeanzishwa hakina utamaduni wa kuvuliwa nguo, hata babu zetu waliotangulia katika makaburi ya uko ginigi wanalijua ilo.

Ukumbi wa Chimwaga Dodoma una historia ungekuwa unasema ungesema. Lakini kwakuwa hauna historia ya kusema hauwezi sema.

Leo Makonda kijana toka kwa mashemeji zangu wasukuma, nawapa kongole sana, lakini pia poleni sana kwakua Makonda ameenda kuwavua nguo wazee, ambao ni CCM ,kamvua nguo raisi Samia Suluhu Hassani, na viongozi wengi wa CCM hasa awamu ya sita kuwa wameshindwa kufanya kazi .

Viongozi na Serikali ya awamu ya sita imeshindwa kutatua shida za watanzania.

Hivyo basi leo CCM wamechutama uku wakitafakari je Makonda ndiyo CCM huyu au CCM nyingine.

Mambo ni mengi ila Makonda atavuka salama? Manake nimepita kwenye Corido za njia ya kuelekea Ginigi wazee wa sharubu na Itifaki wanasema Makonda anaenda vuka mstari, wa chama,na chama hakina Itikadi za kukosoana, kusema ukweli, wala kunyosheana vidole.

Wazee wa sharubu wanasema huu ujasiri katoa wapi, haoni leo anaenda kukiua chama, katoa siri nje na nani ataenda kuziba.

Ni mimi Mbumbe wa jimbo la Lulindi
2025 .
MATULANYA MATULANYA
Tusubiri jarida dogo la hatma ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu 2025
Mawaziri na wote hawapendi hiki anachokifanya lkn kwa vile Samia hajamkemea, meaning amemruhusu , amempa go ahead, basi inabidi waweke mikia yao kama mbwa anavyoweka mkia waki akikaripiwa na tajiri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom