Kutoka Butiama: Exclusive news

MUSOMA HOYEEEEEEEEEE.Wadumu watu wa musoma kwa kweli hawa wanastahili pongezi sana na huyo Mathayo ajue kabisa watu wamemchoka sana na hawataki hata kumuona .huyu nae yupo kwenye orodha ya hao mia watakaoachwa.endeleeni kuwazomea sana hata wakiwa na mwenyekiti wao na mikoa mingine ifuate nyayo za musoma
 
mzee asante sana maana naona tunavijana wetu kadhaa mitaa hiyo kwani na mimi natarajia kuwa na matangazo live siku ya Jumapili kutoka huko Butiama..
 
Mkuu halisi

Angalia Wengine wasije wakakuambukiza maana nasikia UFISADI unaambukizwa. Inawezekana kila mtu wakipita 10 wane watano hivi ni MAFISADI
 
Mkuu Halisi,

Naona tutafaidi sana kama mkuu tayari uko Butiama. Wacha tukae mkao wa kula sasa. Idumu JF.
 
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, imeanza kikao chake mchana huu hapa Butiama. Salaam kutoka kijijini Butiama.

Ohh Halisi,

how we missed you our dear brother.

Mungu akuongoze na kukuonesha njia.Jitahidi kivuli cha Mwalimu kikufunike upitwe mbali na kikombe kile walichokunnywa kina Lowassa,Mkapa,Rostam,Mramba,Mgonja,Chenge,Balali mmhh majina hayaishi tu...sijui na Kiwete?

Kwa kifupi wasikuambukize ufisadi.
 
Ohh Halisi,

how we missed you our dear brother.

Mungu akuongoze na kukuonesha njia.Jitahidi kivuli cha Mwalimu kikufunike upitwe mbali na kikombe kile walichokunnywa kina Lowassa,Mkapa,Rostam,Mramba,Mgonja,Chenge,Balali mmhh majina hayaishi tu...sijui na Kiwete?

Kwa kifupi wasikuambukize ufisadi.

taratibu ulijuaje kama halisi brother?

naam mambo yameanza na mara hii tena ccm imewapa kitendawili watanzania hakuna anaweza kutabiri nn kitatokea.


ccm ni chama pekee mpaka sasa kilichoonesha demokrasia ya kweli]
chama ambacho viongozi wao wako tayari kuwajibika kwa wanayoyafanya na kuwajibishana.

ni chama ambacho kiko tayari kukosolewa, kusoma kutoka kwa wengine,kwenda na wakati na kujipanga upya kuendana na mahitaji ya jamii.


ccm chama changu na daima nitakipenda

kidumu chama cha mapinduzi
 
taratibu ulijuaje kama halisi brother?

naam mambo yameanza na mara hii tena ccm imewapa kitendawili watanzania hakuna anaweza kutabiri nn kitatokea.


ccm ni chama pekee mpaka sasa kilichoonesha demokrasia ya kweli]
chama ambacho viongozi wao wako tayari kuwajibika kwa wanayoyafanya na kuwajibishana.

ni chama ambacho kiko tayari kukosolewa, kusoma kutoka kwa wengine,kwenda na wakati na kujipanga upya kuendana na mahitaji ya jamii.


ccm chama changu na daima nitakipenda

kidumu chama cha mapinduzi

Tupo pamoja Mtu wa Pwani!! Chama chetu ndicho kilichotufikisha hapa, wanafunzi hawana madawati na mahospitalini hakuna dawa, bara bara mbofu mbofu, miundo mbinu hakuna, mkulima ameendelea kuwa maskini hahahah kidumu chama chetu cha mafisadi....vile vile ni chama gani Tanzania kinachonuka kwa rushwa zaidi ya chama chetu CCM

Zidumu fikra sahihi za mwenyekiti na katibu wake
 
Naona Chama Cha Majambazi(CCM) kimeanza kikao sio, tusitegemee jipya hasa kutokana na sera zao za Maisha Bora Kwa Kila Fisadi.
 
True that, kiache kiendelee kudumu hivyo hivyo maana kubadilika ni kazi!

mapinduzi daima

mkuu hii maana ni chama ambacho dynamic kiko tayari kubadilika na sio rigid kama vyengine.

ss hatukatai kuwa ndani ya ccm kuna wala rushwa au mafisadi au viongozi wasiofaa.

ni ccm pekee ambayo husema yale yaliomo ndani ya chama na kutouma maneno na kuchukua hatua ya kujisafisha.

suala la watoto kukaa chini liko wazi watoto walikaa chini muda mrefu na ccm inafanya juhudi kila uchao ktk kutatua matatizo haya na mengine kama mtakumbuka kuna mpango memm na mes kwa ajili ya elimu na jitihada zinafanyika.

tunawapa pole wenzetu wanaohubiri uzalendo kwenye majukwaa halafu huwachochea wananchi wasichangie maendeleo wasijenge mashule wakati wao weshasoma na watoto wao wanasoma shule nzuri za kulipia.

tunawapa pole wenzetu kutwa haweshi kukesha kwenye mabalozi kutia fitna nchi yao inyimwe misaada ambayo ndio inayopeleka maendeleo kwa wananchi.

tunawapa pole ambao hupenda wananchi wawachague bila ya kufanya lolote zaidi ya kubwatuka kama mbwa koko bila faida yeyote.

tunawapa pole wale ambao huwachoma mambo yetu kiwa mema.


tunawapa moyo wale ambao huomba dua kutokee mabalaa na mashida kwa wananchi ili wapate kuosha vinywa kuwa mabaya hayo ni ya ccm.


hata mvua ikinyesha sana ikavunja nyumba ccm, jua likiwa kali ccm.

lkn mazuri kimya hawasemi
 
Wana maadili hawa au ni usanii mwingine

Ethics to dominate NEC meet
KILASA MTAMBALIKE
Daily News; Friday,March 28, 2008 @00:01

THE Chama Cha Mapinduzi (CCM) National Executive Committee (NEC) two-day meeting at Butiama will take time to reflect on the teachings of the Father of the Nation, Mwalimu Julius Nyerere, including the Arusha Declaration.

The CCM Vice-Chairman (Mainland), Mr Pius Msekwa, said in a statement issued in Dar es Salaam yesterday that the meeting tomorrow and on Saturday will also discuss Mwalimu Nyerere’s deep commitment to the observance of leadership ethics.

“The reflections would also touch on the necessary policy changes that were made in subsequent years and the need to restate the reasons for those changes for the better understanding of the current younger generation”, he said.

Mr Msekwa also clarified that the NEC meeting was an ordinary one, was not extraordinary and therefore had also no extraordinary agenda. NEC, he said, sits three times a year at the end of every four months and the agenda usually included a review of the political situation during the period.

“This is the point at which a discussion of the so-called ‘ufisadi’ issue could appropriately be fitted in,” said the statement in apparent reply to whether high level corruption and embezzlement of public funds would also be discussed.

“In view of that, it can be reasonably expected that the recent events which led to the resignation of the former prime minister, followed by the dissolution of the cabinet, will be discussed,” the statement said. He said the decision to take the meeting to Butiama, Mwalimu Nyerere’s birth village, was made on November 5, last year at a NEC meeting held in Dodoma.

It was also part of the normal practice for NEC sessions to decide on the next venue, the statement clarified. Mr Msekwa refuted claims that NEC had decided to meet at Butiama as a ritualistic soul searching in view of the ‘many problems’ that seemed to assail the party, which Mwalimu Nyerere founded and led under a strong socialist ideology, basically seeking to make Tanzania a welfare state.

But the occasion, he agreed, would accord top party leaders, the opportunity to pay collective homage at the grave of Mwalimu Nyerere, one of Africa’s most respected leaders throughout the world. The opposition claims CCM was trying to personalise Mwalimu Nyerere’s legacy.

From Butiama, Chabby Barasa reports that the NEC meeting will be preceded by the party’s Central Committee (CC) meeting under the chairmanship of President Jakaya Kikwete. Most of the 192 delegates to the meeting had arrived here by yesterday and the party’s chairman, Mr Kikwete, was expected to jet in today.
 
Mkuu wangu, kwanza ninataka kuamini kuwa wewe ni mbongo mwenzangu, maana haiwezekani ukawa mbongo ukashindwa kujua kuwa kustaafu mapema kwa Mahita, ex-Police Chief, hoja ilianzia NEC na baadaye CC, kwamba Mbilinyi waziri wa zamani wa hazina hoja ya kumpuzisha ilianzia NEC, kwamba majuzi kujiuzulu kwa Lowassa na mawaziri watatu, hoja zimetokea NEC na CC, I mean kamati ya CCM ya ulinzi na usalama kazi yake ni nini? kamati ya uchumi ya CCM kazi yake ni nini?

Ni pamoja na kufuatilia ishus za uchumi za taifa, kukutana na gavana na waziri at their call, kwa hiyo kama kuna ishu wanatakiwa kuifikisha kwenye NEC, ni lazima wawaite waziri na gavana, ili kuwasilisha their side of the professional story inayowakilishwa na kamati kwa NEC, bunge hufanya hivyo pia kumbuka kuwa hiyo professional Nduulu ameipata baada ya kuchaguliwa na rais, ambaye ni mwenyekiti wa CCM, ambaye taifa tumempa nafasi kisheria kutekeleza sera za CCM, ikiwa ni pamoja na sekta ya uchumi,

Hivi kweli haya yanahitaji kuwa professor kuelewa, hivi mkuu kweli unaaamini kuwa mkuu wa majeshi na wa polisi sasa hivi hawako Butiama tayari!

Pamoja na kuendeleza juhudi kubwa za kutetea chama chako bado mnachemsha BIG TIME.

Katiba ya nchi imempa madaraka makubwa sana Rais. Na kwa madaraka haya yenye ndio CEO wa nchi na maamuzi yake yana impact kubwa kwa nchi.

Kinachosumbua ni kuwa Rais anashindwa kufanya kazi kwa kutumia madaraka aliyopewa kikatiba. Na anachofanya ni kuwa na mikutano ambayo inatoa collective decisions ambazo zinamuondoa yeye kwenye lawama.

Hivyo akiulizwa atajitetea kuwa ni maamuzi ya NEC au CC. Na hii yote inatokana na ukweli kuwa anaowachagua ni watu wanaomfahamu, waliomdhamini au anaogopa kulogwa.

Watendaji wanaoteuliwa na rais wanafanyakazi kwa ridhaa yake na yeye anaweza kuwaondoa madarakani bila kusubiri vikao vya NEC au CC.

Na mtindo wa kutumia NEC, CC tuliiga kutoka katika nchi za Ulaya mashariki na sasa hivi mtindo huo ni PRE-HISTORIC. Nendeni na wakati.
 
Go east,Go West ;Nyerere was the best ever.Hta mafisadi wanajua hilo

Maadili ama sijaelewa maneno yenu ya kizungu haya ? Nani mwenye maadil pale katika wote walioko Butiama labda Makamu wa rais pekee na hakuna zaidi ya hapo
 
Pamoja na kuendeleza juhudi kubwa za kutetea chama chako bado mnachemsha BIG TIME.

Katiba ya nchi imempa madaraka makubwa sana Rais. Na kwa madaraka haya yenye ndio CEO wa nchi na maamuzi yake yana impact kubwa kwa nchi.

Kinachosumbua ni kuwa Rais anashindwa kufanya kazi kwa kutumia madaraka aliyopewa kikatiba. Na anachofanya ni kuwa na mikutano ambayo inatoa collective decisions ambazo zinamuondoa yeye kwenye lawama.

Hivyo akiulizwa atajitetea kuwa ni maamuzi ya NEC au CC. Na hii yote inatokana na ukweli kuwa anaowachagua ni watu wanaomfahamu, waliomdhamini au anaogopa kulogwa.

Watendaji wanaoteuliwa na rais wanafanyakazi kwa ridhaa yake na yeye anaweza kuwaondoa madarakani bila kusubiri vikao vya NEC au CC.

Na mtindo wa kutumia NEC, CC tuliiga kutoka katika nchi za Ulaya mashariki na sasa hivi mtindo huo ni PRE-HISTORIC. Nendeni na wakati.

Si unajua hata CEO naye kuna board of directors ambao ndio wanahusika na strategic decisions za shirika?

Muhimu ni kuangalia kama system inafanya kazi au la. Haya mambo ya hii imetoka East Europe au wapi sidhani kama yanasaidia kitu. Naamini NEC ni kubwa sana na ni gharama bure kwa CCM. Wangweza kubakiza CC ndio ikawa inatoa mwongozo juu ya mwelekeo wa chama.

Mfano UK, mwenyekiti wa chama ni mjumbe wa baraza la mawaziri. Imagine
kama Msekwa anakuwa pia mjumbe wa baraza la mawaziri akiwa na kazi kuwa kiungo kati ya CCM na serikali, je ungesemaje? Hapo anapata maslahi yote kama wajumbe wengine wa baraza la mawaziri wakati kazi anayofanya ni kulinda maslahi ya chama chake tu.

Kama chama kina utaratibu mbovu, njia ya kuondoa utaratibu huo ni kuwanyima kura.
 
Back
Top Bottom