Mkuu Ndulu, ni mtendaji wa serikali ya CCM, ambayo rais wake aliyempa kazi alichaguliwa kwanza ndani ya vikao vya CCM, kabla ya kuwa rais wa serikali ya CCM.
Wakuu ninawasikia, point mnayojaribu kuisema iliyotufikisha hapa wabongo ni ile tabia ya kuwa na meneja na mwenyekiti wa CCM kiwandani na kuwa na almost nguvu sawa, enzi zile za awamu ya kwanza, that is not the case here,
NEC wamemuita gavana kwenye kikao chao, hatujui sababu waliyomuitia, isipokuwa ninaweza ku-specualte kuwa wanataka kusikia kutoka kwa gavana mwenyewe, hasa baada ya mchanganyiko wa Meghji na Balali, kwamba hawataki kuona makosa yale yale yanarudiwa, na besdies wao kama vyama vingine vyote vya siasa wanayo haki ya kumuita, now ninaona attempts kujaribu kuugeuza huu mjadala uwe as you want, lakini haiwezekani wakuu the fact ni kwamba NEC watengenezaji wa sera za serikali yao ya CCM wamemuita mmoja wa watekelezaji wa sera zao, binafsi sioni tatizo liko wapi?
Maneno mengi mnayosema sasa, hayahusiani kabisa na Ndulu kwenda huko Butiama, Ndulu ni responsible kwa serikali ya CCM, na anatekeleza sera za serikali ya CCM, sasa watengenezaji sera wa CCM, yaaani NEC kwa nini iwe tatizo kumuita kwenye kikako chao muhimu cha taifa cha kutengeneza sera hizo zinazotekelezwa na Ndulu kama gavana? I do not get it? Off course kumuita Ndulu huko kama Ndulu, yes it could be a problem, lakini kama gavana mtekelezaji wa sera za uchumi za serikali ya CCM, ambazo zinatengenezwa na NEC,
guys unless kuna something else kwenye hii ishu I am misssing, kumuomba gavana kwenda kuhudhuria kikako cha NEC ni tatizo, I am lost wakuu!
baada ya kuwa na vyama vingi utamaduni huo ulifutika na haupo tena.
Mageuzi huanzia North kwa kawaida.
Hapa USA North ndo walipambana mpaka USA tunayoijua leo ikaundwa.
Museven alianzia mapambano yake North akatwaa nchi.
Vietnam waliwatwanga USA kutokea North.
Mao alishinda vita China na kutwa nchi akitokea North.
Wazungu nao walikuja kutoka North kututawala.
Msumbiji walipambana na mreno wakitokea North.
Kabila naye alianzia North kule Goma na kuitwa nchi.
Mageuzi ya North yatatiririka taratibuna na kusambaa nchi nzima.
Mambo yose North
north ukigeuka ni south una habari hiyo?
mkoloni aleondolewa kupitia dar jee ni north?
lkn umejitahidi kuunda hoja bravo
na bado..mpaka kieleweke
Mkuu wangu, kwanza ninataka kuamini kuwa wewe ni mbongo mwenzangu, maana haiwezekani ukawa mbongo ukashindwa kujua kuwa kustaafu mapema kwa Mahita, ex-Police Chief, hoja ilianzia NEC na baadaye CC, kwamba Mbilinyi waziri wa zamani wa hazina hoja ya kumpuzisha ilianzia NEC, kwamba majuzi kujiuzulu kwa Lowassa na mawaziri watatu, hoja zimetokea NEC na CC, I mean kamati ya CCM ya ulinzi na usalama kazi yake ni nini? kamati ya uchumi ya CCM kazi yake ni nini?
Ni pamoja na kufuatilia ishus za uchumi za taifa, kukutana na gavana na waziri at their call, kwa hiyo kama kuna ishu wanatakiwa kuifikisha kwenye NEC, ni lazima wawaite waziri na gavana, ili kuwasilisha their side of the professional story inayowakilishwa na kamati kwa NEC, bunge hufanya hivyo pia kumbuka kuwa hiyo professional Nduulu ameipata baada ya kuchaguliwa na rais, ambaye ni mwenyekiti wa CCM, ambaye taifa tumempa nafasi kisheria kutekeleza sera za CCM, ikiwa ni pamoja na sekta ya uchumi,
Hivi kweli haya yanahitaji kuwa professor kuelewa, hivi mkuu kweli unaaamini kuwa mkuu wa majeshi na wa polisi sasa hivi hawako Butiama tayari!
Napata habari kwamba hali ni tete na Mkapa hawezi kuwatizama watu wa Butiana machoni kwa aibu maana alilazimisha maji toka bwawa la mwalimu Nyerer kutumika katika kiwacha chao ambacho leo kina utata.Wana hoji kwamba hata Mwalimu kalala katika eneo lake la utawala lakini watu wanachukua dhahabu na kuwaacha watu wa Zanaki nk wanakufa njaa na hawana matumaini.Bwana Mwalimu alijengewa watu wamekuwa wakivua sakamu humo na kujipa maisha lakini Mkapa na kundi hawakujali .Musoma watakao washangalia ni wale wapambe lakini watu real wakiwemo akina Musuguri wana hasira na wako kimya .Muulize general Kiaro juu ya uongozi wa sasa utamsikia anavyo waeleza ukweli .
Mkuu Ndulu, ni mtendaji wa serikali ya CCM, ambayo rais wake aliyempa kazi alichaguliwa kwanza ndani ya vikao vya CCM, kabla ya kuwa rais wa serikali ya CCM.
Nimeipenda sana hoja hii,kweli wasoma wanaakili na hoja.Huyu fisadi Mkapa acha kabisa roho na dhamira imsute.Hakuna adhabu mbaya sana kama kuteswa na dhamira.Huo utajiri aliojilimbkizia sijui unamfaidisha nini sasa katika hali kama hii.