Kutoka Bungeni: Sugu ajibu tuhuma za kupora mtoto kutoka kwa mzazi mwenzake

Status
Not open for further replies.
A.jpg

hivi huyu unaweza sema sio responsible parent kweli

1345464260_890105_1345464499_noticia_normal.jpg

samantha cameron at beach.

Kila kitu kina mahala pake na muda wake, anapokuwa mzazi atakuwa anafanya yanoyo husu malezi; na atakapo kuwa na muda wake she entitled for her Faiza time to express herself nguo anazo vaa mida ya usiku zina husiana vipi na malezi ya mtoto tena sehemu za watu wazima.

Ukute kuna watu awajui daftari la mtoto linafananaje wao tuition tu, mtu anayepiga picha kila mara na mtoto wake mwenye furaha na katika mazingira ya malezi bora kama ajengi nae sand castles ufukweni basi anafanya nae homework; sasa nguo anazovaa katika muda na sehemu za utu uzima zina ingiliana vipi na ulezi wake wa mwanawe.

Mahakama ikubali tu makosa, maadili amvalishi mtoto kama anavo vaa yeye wala hakuna hata picha kampaka mtoto sijui wanja wala make up how responsible does one need to get.
 
A.jpg

hivi huyu unaweza sema sio responsible parent kweli

1345464260_890105_1345464499_noticia_normal.jpg

samantha cameron at beach.

Kila kitu kina mahala pake na muda wake, anapokuwa mzazi atakuwa anafanya yanoyo husu malezi; na atakapo kuwa na muda wake she entitled for her Faiza time to express herself nguo anazo vaa mida ya usiku zina husiana vipi na malezi ya mtoto tena sehemu za watu wazima.

Ukute kuna watu awajui daftari la mtoto linafananaje wao tuition tu, mtu anayepiga picha kila mara na mtoto wake mwenye furaha na katika mazingira ya malezi bure nguo anazovaa katika muda na sehemu za utu uzima zina ingiliana vipi na ulezi.

unajiaibisha futa post yako mtanzania mwenzangu
 
Yaani utoe laki tano kila mwezi kwa ajili ya mtoto wa miaka 2, mtu bado hatosheki. Huyo mtoto anakula tanzanite? Anataka umlipie na kodi ya nyumba, nyumba ya kulala na wapenzi wake wapya anapokuwa ametoka kumbi za starehe anakokesha kama Popo. Wakati huohuo yuko bize kufanya mambo ya aibu ambayo yanawafanya wote muonekane hamna maana ijapokuwa mmeachana.

Kuepuka bughudha, Sugu anaweza kwenda ustawi wa jamii. Huko watakubaliana kuhusiana na pesa ya matunzo ya mtoto kwa mwezi na huo ndo utakuwa mwisho wa Faiza kudai hela zaidi kila anapojisikia. Tena kwa yeye, kiasi anachotoa mpaka sasa ni kikubwa kiliko kima cha chini cha mshahara wa serikali, so aende tu akaahidi kuendelea kutoa kiasi hicho hicho. Hatasumbuliwa tena na huyu 'freeloader'!

Kwa upande wa Faiza, huu ndo msimu wa mavuno. Bila shaka CCM watakufuata, watakutumia kwenye kampeni na hata kukusaidia kuchapisha kitabu chako ambacho umeahidi kitatoka karibuni na kwamba utaanika kilakitu. Ni kweli, ukianika kila kitu utamuaibisha sana Sugu. Lakini, kuaibika kwa Sugu haina maana kuwa lazima atashindwa kwenye uchaguzi. Na hata akishindwa na kuvuliwa ubunge, huo utakuwa ni mwisho wa hizo laki tano unazopewa. Kitabu chako kitakuwa tayari kimeshadoda sokoni na CCM wakakukimbia maana watakuwa bize wanashangilia ushindi. CCM wana kiu sana na Jimbo la Sugu, linawauma sana, wanaona hastahili kuwapo pale. Wako radhi wakose hata majimbo matatu mapya, lakini walipate la Sugu. Sitashangaa wakigaragazwa tena na Sugu.

Angelina Mrema ..mzazi mwenzake na Augustine Mrema wa 95 ..alitumiwa na ccm Hadi kwenda kuvua nguo nje ya nyumba yake Masaki kwa Madai ya kutelekezwa na Mrema wakati Mzee wa Watu alikuwa anamsomesha mtoto International School ....
Ccm walimtumia sana Yule mama ...lakini baadaye wakamtelekeza ....na Laana ya kutumika na kumtumia mtoto Kama Njia ya kumuadhiri mzazi mwenzako Tena aliyeshea naye damu ..kupata Kiumbe ...

Anjelina Mrema alikufa Kifo cha Aibu ...hakua na makazi maalum zaidi ya kutanga tanga nyumba za wageni ..ccm waliomtuma wakamtekeleza ....akafa kwa Aibu kwenye guest house moja maeneo ya Mbezi Salasala

Wanawake wawe wanajifunza ....na ujuwe hata ukivumilia mwisho wa Siku mtoto ni wenu
 
Ndiyo kawaida ya CCM kwakukosa hoja huwa wanakimbilia mambo binafi kama walivyofanya kwa Mrema wakati ule 1995 akigombea urais wakaenda kumtafuta Angelina aliyekuwa amezaa naye kitambo wakafikia hadi hatua ya kumfanya akae uchi nyumbani kwa Mrema. Baada ya uchaguzi alitupwa kama kondomu iliyotumika mpaka kifo chake hakuna aliyemkumbuka. 2010 walikwenda kumtafuta aliyekuwa mume wa Josephine na kumtumia ili kudai kuwa kaibiwa mkewe na Dr. Slaa na magazeti wakachapisha na kuyagawa bure kule Arusha. Baada ya uchaguzi wako kimya. Sasa na kwa ujinga mwingine wanataka kuifanya issue ya Sugu na mzazi mwenzie kuwa ni kete ya kampeni wakati hiyo imeshaamuliwa na mahakama. Itakapofika wapinzani nao wakaamua kufanya mashambulizi binafsi sijui nani atapona katika CCM. Sema tu wapinzani wanabusara wasingependa kumfukuza uchi kichaa aliyekwapua nguo wakati wao wanaoga. Usibishane na mjinga watu watashindwa kuwatofautisha. Huyo mama sasa asubiri kuvuna aibu.
 
unajiaibisha futa post yako mtanzania mwenzangu
Naji aibisha kivipi ujawahi kwenda ata sehemu yenye swimming pool ukaona watu wanavyo vyaa? Kwa taarifa tu ukifika umemvalisha binti yako gauni hakuna guard atakae mwacha aogelee linaweza mfunika akiingia majini na kumpotezea maisha.

Kila mtu ana haki sawa na huyo Faiza ana haki hizo hizo ya kuwa mzazi nimemsikiliza sugu he is very responsible towards his daughter, lakini hana haki ya kumwita mzazi mwenzie hafai kisa maadili mabovu. Hayo maadili mabovu yako wapi ajapigwa picha kaanguka kalewa, ajapigwa picha anabwiya unga, ajapigwa picha mtoto mchafu, Sugu ajalalamikia hela anayo pelekewa mwanawe na baba yake aitumiki sahihi.

Sasa huo uzazi mmbaya huko wapi.

Tatizo ni kuwa hili swala limechukua sura ya siasa, lakini ilitakiwa kufungua pandora box ya maadili, haki za wazazi na parenting as as a social case study maana kuna wengi nyuma watakuwa wanaonewa.

Na ndio makosa tunayofanya hili si swala la siasa kazi ya sugu si kulea kwenye siasa, bali issue parental rights.
 
Halafu ilidaiwa eti Sugu hatoi hela za matunzo na hajui hata mwanae anasoma wapi.

Mbona sasa yeye kasema anamlipia mwanae shilingi milioni tatu za ada.

Hao waliodai hajui hata mwanae anasoma shule gani wana lipi la kusema kuhusu hilo?

Wanaweza kuthibitisha kuwa kweli Sugu hamtunzi mwanae?

Mkuu unajua kuna kimdada kimoja kinaitwa Mange sijui kilisaidiwa na jamaa mmoja hivi anaitwa ally khanah, mtu mzima na mindevu kebwe kebwe kidevuni kushabikia umbea wa midada iliyokimbia nchi na kukimbilia huko nje kwasababu ya umbea na uchonganishi uliotukuka..!!!

Ngoja niwaite Ma-celebrity waje waone Kimambi alivyoaibika hapa..!! cute b Ms.Lincoln atoto warumi geniveros Evelyn Salt nifah Dinazerd Avemaria Diva Beyonce kimberly na wengine.. njooni muone yule mnafki alivyoumbuka hapa..!!!

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Kwa majibu haya yaliyojaa busara na ukomavu wa hali ya juu yatamfanya Martha Mlata ajione mjinga sana katika kundi la wajinga.Inauma sana!

Mama ameumbuka na siyo hilo tu kazidi kumchafua na kumpaka matope huyo aliyedhani anamtetea.
 
Nimeona wakati anatoa maelezo yake. Japo simuungi mkono kisiasa ila ni sahabiki wake kwenye game ya Hip Hop. Kiukweli imeniuma kushambuliwa kiasi kile na Martha (au alitumwa na akaingia kichwakichwa?) Faiza amekuwa si mstaarabu na yawezekana ana stress au depression akafikia hapo kuwa na vituko vinavyotia kinyaa na kumfedhehesha mwanae. Kumbukumbu za anayoyafanya zitabaki daima na huenda zikaharibu mahusiano baina ya Mama na Mwana hapo baadae. Shime muokoeni mwanamke mwenzenu kabla hajawa chizi
 
Mkuu unajua kuna kimdada kimoja kinaitwa Mange sijui kilisaidiwa na jamaa mmoja hivi anaitwa ally khanah, mtu mzima na mindevu kebwe kebwe kidevuni kushabikia umbea wa midada iliyokimbia nchi na kukimbilia huko nje kwasababu ya umbea na uchonganishi uliotukuka..!!!

Ngoja niwaite Ma-celebrity waje waone Kimambi alivyoaibika hapa..!! cute b Ms.Lincoln atoto warumi geniveros Evelyn Salt nifah Dinazerd Avemaria Diva Beyonce kimberly na wengine.. njooni muone yule mnafki alivyoumbuka hapa..!!!

BACK TANGANYIKA

Kama Sugu analipa ada basi lazima ushahidi utakuwepo tu.

Sasa hao walioshadadia eti hamtunzi mwanae sijui walikuwa wanashadadia kwa misingi ipi tu.
 
Angelina Mrema ..mzazi mwenzake na Augustine Mrema wa 95 ..alitumiwa na ccm Hadi kwenda kuvua nguo nje ya nyumba yake Masaki kwa Madai ya kutelekezwa na Mrema wakati Mzee wa Watu alikuwa anamsomesha mtoto International School ....
Ccm walimtumia sana Yule mama ...lakini baadaye wakamtelekeza ....na Laana ya kutumika na kumtumia mtoto Kama Njia ya kumuadhiri mzazi mwenzako Tena aliyeshea naye damu ..kupata Kiumbe ...

Anjelina Mrema alikufa Kifo cha Aibu ...hakua na makazi maalum zaidi ya kutanga tanga nyumba za wageni ..ccm waliomtuma wakamtekeleza ....akafa kwa Aibu kwenye guest house moja maeneo ya Mbezi Salasala

Wanawake wawe wanajifunza ....na ujuwe hata ukivumilia mwisho wa Siku mtoto ni wenu
Aisee kumbukumbu nzuri sana hii.
 
Huyu Martha Mlata aliwahi sema Bungeni kuwa mbwa ana thamani kuliko mwanaume. Toka siku hiyo namchukia sana. Kumbe hasira kwa wanaume ni kwa vile ndoa yake ilisambaratika!
 
Sugu huwa nakuona kama mlopokaji tu bungeni.Kumbe unazo busara sana wakati mwingne.Umefanya kitu kizuri sana sio sahihi pekee bali kwa wakati sahihi.Hongera SUGU.
 
sugu-300x300.jpg

Baada ya jana Martha Mlata kumtuhumu Sugu kumpora mtoto toka kwa mama yake amemuomba Spika kutoa maelezo binafsi. Kwanza anakiri mtoto ni wake, na anasema watu wazima hawzungumzii mambo ya ndoa za wenzake na anasema ni mambo binafsi.

Anasema binti yake ameishi Dar tangu mwaka 2012 na amekuwa akilipa laki tano kila mwezi na mi 3 kwa mwaka kama karo.

Anasema mzazi mwenzake amekuwa akivaa nusu uchi na kuacha sehemu za siri nje.

Anasema Mlata anayejiita mlokole hawezi kutetea maovu kama hayo, na yeye hasemi kwa nini ndoa yake ilivunjika .

Anasema kile kinachodaiwa kuwa kumpora mtoto ni hukumu ya mahakama na Mlata hakuwa shaidi wala hana uhakika kama hata mtoto mwenyewe anamjua.

Anasema kwa kuwa ni mambo ni ya faragha hata Mlata asingetaka mambo yake na mabwana zake wa sasa yajulikane.

Anasema hata mtoto hajamchukua na ameacha maswala ya kifamilia yachukue mkondo wake.

Ndugai anasema suala hili liachwe maana linaweza kumuathiri kisaikolojia hata shule.

Anawataka waandishi wa habari kuliacha suala hili.
Sugu anatokwa na machozi kwa uchungu.

Bonye HAPA Kumsikiliza Mh. Joseph Mbilinyi

mnazipenda namba lakini hamjui hesabu Matha mlatha ulisahau kama Na wewe unascando?ndomana sugu alishashauri kwa namba
 
Sugu alimpenda sababu ya huo u changudoa wake. Kama ya Kapuya na kale kabint katapeli yalijadiliwa bungeni kwa nini isiwe ya Sugu. Ukiwa kiongozi jifunze kujijeshimu. Sugu amejistukia baada ya kuandamwa humu jf baada ya like tamasha la 'All in White' lakini tabia ya huyu bint ndiyo ilikuwa kivutio chake. Ile Picha ya Kitonga akitoka Mbeya alimpiga yeye ili hali tatoo za makalioni zipo nje ndio raha yake.

Hawa kukutana kanisani hawa, walikutana disco, sasa anachokifanya Sugu ni aina ya njia ya kukwepa majukumu kama baba.
 
Wanawake wa Mbeya sio kama hao wakaa uchi, ni watu wa kazi na akili zao zimekaa kama za 'mbeya city fc' wanawaza maendeleo. Sio ajabu ndio wamemshauri mbunge wao mpendwa aachane naye!

Mkuu lukindo nimepanda hapo ulipo wafananisha akili za wanawake wa mbeya na chama lao mbeya city fc
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom