Jamani Hynes Kiwia mbunge wa Ilemela anaongea sasa hivi bungeni ila Star TV hawajaonesha sura yake tangu alivyoanza kuongea. Ikumbukwe Star TV inamilikiwa na Anton Dialo aliyekuwa mbunge wa Ilemela. Je hii ni sawa??
Sawa sawa tu, hata mimi niko nymbani tv iko sitting room, ninachohitaji ni sauti tu sina haja na sura ya mtu. inaonekana wewe ni miongoni mwa wale waliompigia kura kura JK kwa kigenzo eti ni handsome! ujinga mtupu.Jamani Hynes Kiwia mbunge wa Ilemela anaongea sasa hivi bungeni ila Star TV hawajaonesha sura yake tangu alivyoanza kuongea. Ikumbukwe Star TV inamilikiwa na Anton Dialo aliyekuwa mbunge wa Ilemela. Je hii ni sawa??
Kwani wamekuita ili mzungumzie nini?.....ndio maana huwa simsikii kabisa huyu Mh Kiwia, kumbe alishapigwa BAN!Ndiyo tunarudi kule kule kwamba tujiulize,je wamiliki wa vyombo vya habari hawana influence katika kile wanachoripoti vyombo vya habari? Anyaways,Jumapili asubuhi nimeitwa kwenye kipindi star TV sidhani kama watanikatili