Kwani kaongea kuhusu nini tupeni kwa kirefu wengine hatupo jirani na TV.
kaongea point...tatizo utekelezaji wa ushauri wake je utapokelewa na kutekelezwa?
Tunakosa uhondo umeme umekwenda zake mgao wa kimya kimya Arusha kuanzia jana.Lol!
Kweli ww unafikiria?
Cha ajabu nini?
Si imeamua kubadilisha mawazo!
Tunakosa uhondo umeme umekwenda zake mgao wa kimya kimya Arusha kuanzia jana.Lol![/
mgao uko rasmi,bado kutangazwa tu!eti ni shinikizo la kuitaka serikali idhamini ule mkopo wa TANESCO
huu ni ukweli mtupu..serikali inayotoa hati ya ujenzi wa nyumba hiyo hiyo ndiyo inayobomoa nyumba
Ivi ndo sababu ya ban?
Watu wengi mmefurahi sna kuvunjiwa magorofa na nyumba mbl mbl za vigogo na watu wengine wengi... Hivi karibuni Magufuli alisema jengo la Tanesco Ubungo lazma livunjwe.. okay fine lakini Wenje hpa anahoji: WALIOTOA VIBALI VYA MAJENGO HAYO KUJENGWA NI NANI.! NA WANACHUKULIWA HATUA GANI KMA SIO VISASI NDANI YA CHICHIEMU..??
Nakubaliana na Wenje 100% kwasababu kubwa 1;
1. Ni Wizara ya ardhi iliyotoa hati za majengo hayo kujengwa na hzi bomoa bomoa ni visasi tu.
Kma dhamira ya dhati ya kubomoa ingekuepo basi ata wale wahusika wakutoa hati na vibali hvy lazma wafikishwe kwenye vyombo vya sheria ikiwemo serikali kwa kujipa Hati na kujenga jengo la Tanesco sehemu isiyohusika.
Pesa za walipa kodi sasa kuchezea chezea itakua mwiko bila kufanya hvy ni UNAFKI tu utaendelea.........
nawakilisha...