Kutoka bungeni... nimemsikiliza wenje hadi nikasisimka.

Aaron

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,019
4,693
huu ni ukweli mtupu..serikali inayotoa hati ya ujenzi wa nyumba hiyo hiyo ndiyo inayobomoa nyumba
 
Watu wengi mmefurahi sna kuvunjiwa magorofa na nyumba mbl mbl za vigogo na watu wengine wengi... Hivi karibuni Magufuli alisema jengo la Tanesco Ubungo lazma livunjwe.. okay fine lakini Wenje hpa anahoji: WALIOTOA VIBALI VYA MAJENGO HAYO KUJENGWA NI NANI.! NA WANACHUKULIWA HATUA GANI KMA SIO VISASI NDANI YA CHICHIEMU..??

Nakubaliana na Wenje 100% kwasababu kubwa 1;

1. Ni Wizara ya ardhi iliyotoa hati za majengo hayo kujengwa na hzi bomoa bomoa ni visasi tu.

Kma dhamira ya dhati ya kubomoa ingekuepo basi ata wale wahusika wakutoa hati na vibali hvy lazma wafikishwe kwenye vyombo vya sheria ikiwemo serikali kwa kujipa Hati na kujenga jengo la Tanesco sehemu isiyohusika.

Pesa za walipa kodi sasa kuchezea chezea itakua mwiko bila kufanya hvy ni UNAFKI tu utaendelea.........

nawakilisha...
 
Wenje ni Jembe la ukweli wewe! Amebomoa ile mbaya.Ila apunguze jazba kwani kidogo tu angetoka kwenye mstari, yaani hata kale ka mic alikazima kibabe kwa hasira za serikali kuwavizia raia watumie mamilioni kisha wabomoe mahekalu.
 
African! We always like to make mistakes. But the results are matching around development ideas. Hatutafika unapobomoa nyumba uliyotoa kibali matokeo yake kulipa hela za waTz. Mipango ya serikali kama hii haiwezi kuwa endelevu.

Wenje! Wenje! Wenje.
 
African! We always like to make mistakes. But the results are matching around development ideas. Hatutafika unapobomoa nyumba uliyotoa kibali matokeo yake kulipa hela za waTz. Mipango ya serikali kama hii haiwezi kuwa endelevu.

Wenje! Wenje! Wenje.

namshukuru wenje.
Kura yangu haikuharibika bure!!
 
Kwani kaongea kuhusu nini tupeni kwa kirefu wengine hatupo jirani na TV.
 
Back
Top Bottom