....Kuthubutu!

The first time I saw her,something TOLD me that she is the one.I felt a very different FEELING which was very extreme. The third day I went to meet her and told her that am INTERESTED in her and that eventually my interest would develop LOVE! She told me that she just came to TZ to visit her uncle and in three days time she will be departing back home...I said to her its OK! I asked her to give me her postal address and she responded...the same night when I got home I wrote to her a ten-page letter to the address she gave me,aiming the letter to reach her when she arrives to her country!By then TZ hatuna cellulars wala internet (emails).

She was 19yrs and I was 25yrs.Both of us are first born(s) to our families. When I got employed,my first annual leave I went visiting her but we did not officialize it to her parents. I just booked a hotel and everyday before she went home from college she would pass there and spent with me some hours.After 10 solid years of distant friendship (country to country),my INTEREST resulted into love and we got married.You write a letter and you wait for a month or so get a reply.You see each other after a year or two. We did not commit sex until the day of our honeymoon.(Ila mimi huku nilikuwa nachapa kama kawaida kwa wengine-But now I regret it sana).

I thank God coz am one of the FEW people who are enjoying NDOA! We are blessed with three kids...Darlene (2000),Junior (2003) and Warren (2006). It is difficult but I encourage you folks out there if possible maintaine your emotions mpaka muoane,kuna raha yake! Na ukiona kijana anataka ngono kabla ya ndoa ujue kabisa HAKUPENDI coz kama kweli ana nia ya kukuoa, haraka ya nini??! Si asubiri mpaka ndoa...STUKA!!! Wanasema akikupenda atakulinda!

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu wabariki vijana wa Tanzania,
Mungu walaani mafisadi na JK wao!
 
Kuna pahala leo nimeikuta thread

1. Kosa la kwanza, unaolewa na mtu ambaye unajua kabisa ni dhaifu na mkorofi, ukitarajia kwamba ataondoa kasoro zake akiwa ndani ya ndoa. Hili ni kosa kubwa. Kama huna furaha sasa na mtu kabla hujaoana naye, usikubali kuingia huo mkenge. Huwezi kutegemea mtu kuadilika aiwa ndani ya ndoa.

2. Kosa la pili, unaolewa na mtu asiye sahihi kwa sababu ya msisimko wa mwili kimapenzi lakini si kwa sababu ya tabia zake. Kuwa mwangalifu na neno “Nakupenda” neno hili mara nyingi maana yake ni “Nina uchu nawe.” Ndiyo amevutiwa nawekimaumbile, lakini undani wa tabia yake unaujua? Hapa kuna mambo manne… Kwanza, Je anapenda kutomfanyia binadamu mwenzie mabaya kama mabavyo yeye hataki kufanyiwa? Pili, anaishi vipi na watu wengine? Anaishi vipi na watu ambao ana uadui nao, Anawasamehe au analipiza visasi? Je anatoa misaada kwa masikini? Tatu, je ni mkweli, anachokisema ndicho anachokifanya? Je anaaminika? Majukumu anayoahidi kuyafanya anayatimiza? Nne, je anajipenda? Je ni mtu ambaye yuko imara kimapenzi au ni mtu wa kuyumbayumba na asiye na msimamo? Sio mtu akishauriwa na marafiki zake au ndugu zake huko, anakuja na maamuzi yasiyo na kichwa wala miguu

3. Kosa la tatu, unaolewa na mtu ambaye hamna malengo na vipaumbele vya aina moja vya maisha. Je mna utashi wa aina moja? Kwa mfano ni vyema mwanamuziki akaolewa na mwanamuziki mwenzie kwa kuwa anajua mzingira ya kazi ya mwenzie ili kupunguza wivu wa kupindukia usio wa lazima

4. Kosa la nne, unaolewa na mtu asiye sahihi kwa sababu mnakutana kimwili mapema mno. Kukutana kimwili kabla ya ndoa kunaweza kuleta matatizo makubwa mno. Tendo la ndoa kabla ya ndoa hufunika uwezo wa mtu kufikiri. Mtu anabaki kufaidi na kubaki kujali mapenzi ya kimwili na kusahau kukuna ubongo juu ya mambo mengine. Ni lazima mwanamke akune ubongo ili kujua kama huyo mpenzi anakidhi vigezo vyote vya mume mtarajiwa.

5. Kosa la tano, unaolewa na mtu ambaye huna msisimko wa kimwili umwonapo. Kuna uwezekano mkubwa mwanamke akavutiwa na mwanaume kwa sababu ya aina ya gari analomiliki. Hapa hakuna msisimko wa kimwili bali mwanamke kavutwa na gari au rasilimali alizo nazo mwanaume huyo.

6. Kosa la sita, unaolewa na mwanaume anayependa kudhibiti. kuwa na tabia ya kudhibiti wenzako ni ya dalili za mtu jeuri na mwenye kujisikia na mfujaji. Naomba kutofautisha kati ya “kudhibiti” na “kutoa mawazo.” Mtu anayekupa mawazo ni kwa faida yako, lakini anayekudhibiti ni kwa faida yake.

7. Kosa la saba, unaolewa na mtu asiye sahihi kwa sababu unakimbia matatizo uliyo nayo. Unaweza kuwa hujaolewa na huna raha wala amani na ukataka kuolewa. Ndo haiwezi kukutatulia matatizo yako binafsi ya kisaikolojia nay a kimapenzi. Badala a kuyapunguza matatizo hayo, ndoa itayaoneza. Kama huna amani na huyafuahii maisha, chukua jukumu la kurekebisha matatizo hayo sasa kabla hujaolewa. Itakuwa ni faida kwako na kwa mmeo mtarajiwa.

8. Kosa la nane, unaolewa na mtu asiya sahihi kwa kuwa yuko ndani ya pembe tatu. Mtu ambaye anaishi na wazazi wake ni moja ya mfano wa mtu anayeishi katika pembe tatu. Watu wengine wanaoweza wakawa wanaishi ndani ya pembe tatu ni kama wanaofanya kazi saa 24! Huyu mtu halali? Watu wengine walio katika pembe tatu ni watu wanaotumia madawa ya kulevya, mtu anayetawaliwa na “hobbie” zake, anapenda sana michezo (Mpira), kuperuzi mitandao ya kijamii na anapenda sana fedha. Hakikisha kwamba wewe na mpenzi wako , nyote hamtawaliwi na pembe tatu. Mtu ambaye anatawaliwa na pembe tatu hawezi kumtimizia mpenzi wake haja ya upendo atakapokuwa anahitaji. Kama mpenzi wako anatawaliwa na pembe tatu kwa kiasi kikubwa, wewe huwezi kuwa kipaumbele chake.

Chanzo: utambuzi na kujitambua

inahusu uchaguzi wa mke/mme....
Je, uliwahi THUBUTU kuolewa/kuoa na Mtu wa namna hiyo?
 
Mie nna hangover banaa, naomba niwe excused!
Ila nahisi nilipiga ana-ana-doo, unaijua moskwito? Manake nilikuwa na wachumba thelathini (source: john mjema)
....kila mtu anakwepa swali, duhh? Au mlitaka niwaulize mmewapendea "SIFA" gani kuu hao wenza wenu, (waliokuwa wenza wenu---kabla ya 'ujane'...iwe mwanaume/mwanamke)

...mwanajamiiOne, Chauro, king'asti....fungukeni!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Alikuwa anamendewa sana na limjamaa lenye fedha zake. Alivolipiga chini mbele yangu na kunitambulisha kwake kuwa mi ni fiancee wake (japo haikuwa kweli) nilipata mhemko. Haikupita muda sana nikapropose marriage unajua nlijibiwaje?

Duuuhh, mkuu tiririka! :D ....enhe?
Wewe ulithubutu sababu ya "kukupaisha mtaani?" Haha...

ulijibiwaje???????

Tupe majibu hayo mkuu,tunayasubiria! Am smelling a wonderful and lovely story out of those answers...!

"ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE 'MME' WANGU?" Vikao vya arusi vikaanza na haukupita muda akawa mai wife. Ndo huyu nayeringa naye mpaka leo na vibinti vyetu viwili vizuri kama mama yao.
 
Mie nna hangover banaa, naomba niwe excused!
Ila nahisi nilipiga ana-ana-doo, unaijua moskwito? Manake nilikuwa na wachumba thelathini (source: john mjema)

♪...sandakarawe, Amina
mwenye kupata, apate
kipapatio, cha kuku... ♪

....umesameheka bana, don't confess
:A S-baby:
 
The first time I saw her,something TOLD me that she is the one.I felt a very different FEELING which was very extreme. The third day I went to meet her and told her that am INTERESTED in her and that eventually my interest would develop LOVE! She told me that she just came to TZ to visit her uncle and in three days time she will be departing back home...I said to her its OK! I asked her to give me her postal address and she responded...the same night when I got home I wrote to her a ten-page letter to the address she gave me,aiming the letter to reach her when she arrives to her country!By then TZ hatuna cellulars wala internet (emails).

She was 19yrs and I was 25yrs.Both of us are first born(s) to our families. When I got employed,my first annual leave I went visiting her but we did not officialize it to her parents. I just booked a hotel and everyday before she went home from college she would pass there and spent with me some hours.After 10 solid years of distant friendship (country to country),my INTEREST resulted into love and we got married.You write a letter and you wait for a month or so get a reply.You see each other after a year or two. We did not commit sex until the day of our honeymoon.(Ila mimi huku nilikuwa nachapa kama kawaida kwa wengine-But now I regret it sana).

I thank God coz am one of the FEW people who are enjoying NDOA! We are blessed with three kids...Darlene (2000),Junior (2003) and Warren (2006). It is difficult but I encourage you folks out there if possible maintaine your emotions mpaka muoane,kuna raha yake! Na ukiona kijana anataka ngono kabla ya ndoa ujue kabisa HAKUPENDI coz kama kweli ana nia ya kukuoa, haraka ya nini??! Si asubiri mpaka ndoa...STUKA!!! Wanasema akikupenda atakulinda!

Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu wabariki vijana wa Tanzania,
Mungu walaani mafisadi na JK wao!

...thanks for sharing bana, pheewww...God bless ndoa na maisha yenu sana tu.
MLITHUBUTU, mkaweza. Nice one!
 
...thanks for sharing bana, pheewww...God bless ndoa na maisha yenu sana tu.
MLITHUBUTU, mkaweza. Nice one!

Nimecheka eti mlithubutu,mkaweza! Duh...! Misemo ya akina Job Ndugai hiyo tena na leo nimemsikia kausema.
Mkuu it was very tempting ila with God all things are possible. Uzi wako umenikumbusha mbali sana ndo maana
nikaona ni bora ku-share na wadau.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nimestuka sana baada ya kusoma post za watu hapa!Ngoja niendelee kusoma!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nimecheka eti mlithubutu,mkaweza! Duh...! Misemo ya akina Job Ndugai hiyo tena na leo nimemsikia kausema.
Mkuu it was very tempting ila with God all things are possible. Uzi wako umenikumbusha mbali sana ndo maana
nikaona ni bora ku-share na wadau.

....upo sawa kabisa mkuu, haya mambo uki reflect mlipotokea, wallahi siku nzima unaweza bakia na tabasamu tamu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom