...ni wakati gani? katika mapenzi ulipo thubutu na kujiaminisha 99.9% 'nanihii...' wako... er..I mean - (incl. ex-wife/husband, current spouse, widow, etc) alistahiki "HASWA" kuoana na wewe!
Angalizo;...nalenga mdahalo huu kwenye "matakwa na uchaguzi wako" uliyojitoshelezea wapi mpaka ukaona; -'huyu ndiye kabisa, hakuna kuliko kama yeye aisee!'-
....kila mtu anakwepa swali, duhh? Au mlitaka niwaulize mmewapendea "SIFA" gani kuu hao wenza wenu, (waliokuwa wenza wenu---kabla ya 'ujane'...iwe mwanaume/mwanamke)
...mwanajamiiOne, Chauro, king'asti....fungukeni!

Alikuwa anamendewa sana na limjamaa lenye fedha zake. Alivolipiga chini mbele yangu na kunitambulisha kwake kuwa mi ni fiancee wake (japo haikuwa kweli) nilipata mhemko. Haikupita muda sana nikapropose marriage unajua nlijibiwaje?
Hahahaha....mwanajamiiOne ewe soulmate, ndio wataka nambia wewe ulithubutu kwakuwa tu alikuwa the 1st to propose?
Aisee....hebu funguka bana. Unaposema kwa simu, ulichovutiwa ni lile bass, au sauti ya kubembeleza?...
Mbu mie nilimpenda sababu aliikuwa very smart yaani nikimuona tu roho kwatu na sura alikuwa nayo ha ha ha usiniulize zaidi bana kha!!!!!
hivi boss wafikiri ni kwanini hiyo doubt inakuwepo? jamani hapa tusimsingizie shetani kabisa tatizo ni letu wenyewe wanandoa.
hivi kama ulitamani hiyo ndoa ili na wewe uvae pete za dhahabu kidoleni na ndoa ipite baharini wafikir hutokuwa na wsiwasi?hivi kama ulipenda niolewee mfano na boss ili niingie kwenye jumba kubwa la kifahari, nendeshe toyota progress wafikir ntaacha kuwa na wasiwasi? hvi kama nilitaka niolewe kwasababu shost wangu cacico kaolewa na ndoa yake ikafana sana so nataka nijibu mapigo nitaaacha kuwa na wasiwasi? hivi kama naolewa kisa ndugu zangu, marafiki,majirani wamezidi kunisema na umri umekwenda ntaacha kuwa na hofu? hivi kama naolewa kisa mama ni mchangaji mzuri wa kwenye harusi za wengine na mimi nimekuwa mtu maarufu kwa kwenda kwenye minuso ya watu so leo nataka na mimi niwaite waje kwangu nitaacha kuwa na hofu? hivi kama naolewa sina malengo yeyote ya ndoa wala upendo, uvuumilivu, uwajibikaji, nia njema na wito wa kindoa sina nitaacha kuwa na wasiwasi?
yani asikufiche mtu kaka mkubwa ishu ni unaolewa kwasababu gani ndicho kinachomata, ndoa mbona hata jogoo anazo nyingi tu au fahali anazo nyingi sana?
yawapasa mabinti kukaa chini na kuplan kwa kumaanisha na kufikiri kwa umakini ausifumbie macho makosa ya mwenzi wako yapime kabla ya kuingia angalia kama waweza kuyavumilia na kama hutamchukia bali utayachukulia kama changamoto kwako. mbona maisha ya ndoa ni mazuri sana jamani kama tu utu wa ndani utaiona ndoa kama ibada kwako?
Lol kuna dada yangu alinisimulia kuwa ile siku ya arusi, pale kanisani alipoulizwa kama anakubali kuolewa na Mr yule, alipatwa na kigugumizi kiasi cha kujikuta anamforce Padri kuuliza zaidi ya mara moja. Akanambia si kwamba alifanya kusudi amrushe roho mumewela bali alikuwa anajiuliza kama anafanya uamuzi sahihi au la! Na akakiri kuwa lilimjia wazo la kujiangusha ili ajizimishishe kwani alijua anafanya makosa................ ingawa bado wako wote lakini cha moto anakiona!
....kila mtu anakwepa swali, duhh? Au mlitaka niwaulize mmewapendea "SIFA" gani kuu hao wenza wenu, (waliokuwa wenza wenu---kabla ya 'ujane'...iwe mwanaume/mwanamke)
...mwanajamiiOne, Chauro, king'asti....fungukeni!
King'asti my dada....mi nakuunga mkono, sasa kimila kwetu mi ndo ntajitolea kuchinja, tuwaombe wazee aisee! kha!