....Kuthubutu!

loh.........
mbu unajua swali gumu sana hilo?
hivi nilithubutuje??????????
nakumbuka nilikuwa nimejaa mapenzi....
nikimuona napata faraja....
natamani kuwa nae karibu siku zote....
tabia zake niliridhia nazo..
matendo yake yalinifanya nikaridhika kwamba huyu atakuwa baba bora kwa wanangu
niliridhika kwamba ni mume mwema kwangu...
bila kusahau tabia...
alivyokuwa mwema kwangu, akinijali na kunithamini....akiheshimu wazazi wangu
body language yake na familia yangu(bros n sisters)

malove
mapenzi
makopakopa....

uwiiiiiiiiiiiiiiii sijui kama nimeelezea......

ila mapenzi ndo yalitoa msukumo, mapenzi ndiyo yalinifanya/yananifanya kumuona kuwa "ndiye"
mapenzi ndiyo yaliyonipa/yanayonipa ujasiri wa kuwa nae.....
ni mapenzi tu.....
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
teh ndo maana mimi nikasema huwa naachika kila siku mtu asie utamjua tu immediately haitaji wiki wala miezi mkuu...huwa nashangaa watu wamekaa miaka 3 eti wachumba then wanaachana...uchumba gani wa miaka 3? wa kujenga ghorofa ama?....huwa sielewi

Uchumba unaokaa muda mrefu huwa ni ubabaishaji tuuu
 
...:) H-Baba bana, sio AK. Bila kuchakachua mada iliyopo mbele yetu kwa mfano niloutoa baina ya HBB na binti Uwoya, maana jamaa sijui ndio uchungu, au chuki.. maana alifikia kumponda binti ati si lolote si chochote kwa 6"6 live on air....kwanini hatutaki sifia mazuri yalotuvutia kwa ex-wetu?

Back to the topik. Umegusia pwenti nzuri kwamba wengine wengi hawana vifua kuhimili kusikia Ex-wanasifiwa. Kwakuwa wewe umethubutu, at what point "exactly" au nini kilikusukuma ukaweza kuchukua maamuzi magumu?

basi naomba nirudi nyuma anifute sifa zote nilizo kuwa nimemwagia huyu HBB, BUT PIA NYIE AKINA DADA jamani mnapotaka kuanza mahusiano just think deep usikurupuke kwa maamuzi via kuvutiwa tu??? jamani laabda sijui miye ni mzee sana, lol! yaani unatoka na mwanaume ambaye hata busara tu hana? sasa huyu hayo ya chumbani kuyaweka hadharani ndo nini? halafu waweza kukuta yeye ndo hajui matumiz na kabamia kake kamuholonjo tu hakan lolote.sipend kabisa tabia mbaya kama hizi akina dada jamani angalien masharobaro siyo watu wazuri kabisa.

narudi kwenye swali lako mimi nilisukumwa na mambo mengi sana ila kubwa zaid lilikuwa ni upendo ambao nliupata kutoka kwa right person. katka kupita pita kwangu kote hakuna aliyekuwa ana meet viwango vyake so na sijawah kuona hata anayemkaribia ama sijawah kufikir kuna anayeweza kumkaribia kwa lolote na hili ndilo lililo nifanya nidumu hadi leo.
Mbu sikufichi ukiingia kwenye ndoa with mawazo ya kwamba mwenzangu anaweakness hizi lazima itakushinda bali ingia ukiwa na napata changamoto hizi, so utafikiri namna ya kuzifanyia kazi..ukishauona udhiafu wa mwenzio kama kosa basi ndipo pale unapoanza kufanya comparisons ambazo mwishowe ni kwa wewe kuingia kwenye multiple relationships. tena usipende kuona kama kuna anayemzidi uliye naye kwa vigezo vyake ingawa kuna vitu ambavyo waweza kuvisifia kwa mtu mwingine na hivi huwa ni vile ambavyo ni key kwenye maswala tofauti ya kijamii.

mfano naweza kumsifia sana Dr Hameer kama dr mzuri sana wa watoto ama nkamsifia Dr kamugisha kama dr mzuri wa wanawake ama hata kusema Mnyika ni kijana mzuri kisiasa haya hua nayasema sana na hayana effect kwangu kwan mwenzi wangu huko hayupo kabisa na yeye huwa anasaidia kuchangia, ila haitatokea labda naanza kuangalia eti sijui nani anasura nzuri, ama eti fulan ni hand some to me hilo halipo and to hell with those qualities kwani the most handsome man na mposess mimi.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Soulmate nadhani ni wachache sana hubahatika kufanya changanuzi ya aina hii. Kwa wanawake wengi hupofushwa na maamuzi ya mwanaume. Kwamba mradi tu amepropose webgi tunajikuta tukisema Yes, Yes bila kujiuliza kama ndie sahihi au lah! Na pia unakuta muda umekwenda mmekaa pamoja kwa muda then tunayafumbia macho yale mabaya kwa mwamvuli wa nitambadilisha akishanioa!

Wana kheri wanaobahatika kutafakari kabla ya kuingia.

jamani kuna jmbo hapa ila nataka nilieke sawa kwa wale ambao wako kwenye process za kuingia kundini. kuna vitu ambavyo siamini kama waweza kuviona ni vya kurekebisha ukisha ingia ndoani.

niliwah kupata bf enzi hizo na tulipendana sana ila kila nikimueka kwenye mizani ya akili yangu namuona haibalance na tabia aliyokuwa nayo nikaippima nikaona siwez kuivumilia hata kidogo myself i just quieted na b4 nilimwambia bana hii tabia ni mbaya badilika mwez unapita tabia inajirudia nikaona lol siwez kuendelea pasi kuwa na amani nilidrop kwa amania tena kwa kumwambia ukweli na hakujirekebisha alioa mwanamke mwingine but ndoa haijadumu siku nilipokutana nilimweleza maneno yale yale.

Huwa naamin Mungu anakupa wenzi wa kufanana na wewe. ukiona anatabia mbaya basi usimchukie. Jamani kuna watu ambao wanajikuta wanawachukia wapenzi wao kwasababu ya tabia zao, to me hata kama anakojoa kitandani ama anapiga na nilimpenda kweli sitomchukia bali naifanya hii kuwa changamoto, hadi abadilike jifungien ndani msali jamani hivi saa nane usiku humo vyumbani mnalala kwa nini? amkeni msali kwa ajili ya ndoa zenu Mungu huwa wanabadilisha wapendwa. huwaga naumia sana kuona mwanamke mwenzangu anaumia kwenye ndoa, siyo kwamba mimi naish mbinguni la hasha ila nimejifunza kushtaki kwa mungu saa nane usiku na pia kuvumilia.
 
Nilithubutu kujiaminisha once kua huyu ndiye kutokana na upendo alioninyesha but later on yakanitokea puani! From there mpaka death do me apart sitathubutu kujiaminisha kwa yoyote yule hata kwa 50%
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Swali gumu kwakel kuna dada nilimpropose kama miezi 5 imepita mwanzon alileta kausumbufu kakike nataka sitaki nikawa nishachoka bembeleza mwanaume ghafla nilijiuliza huyu msichana anastahili kuwa my wife 1day nikapata jibu hapana kutoka moyoni.nilianza kupunguza kumtafuta matokeo yake yeye ndo ananitafuta nimempa ukwel kwa alivyonisumbua ilifika wakat nikawa nishapoteza kujiamin kumpenda.mtoto wawatu ananiita muhuni nacheza na hisia za wanawake ila ndo ivyo siwez tena kumpa moyo.wakati namtokea aliweka radhau,jeuri na ufahari wa kabila lake mbele na kuhuliza maswal ya kipumbav utazan anataka kuniajir UN. Mimefikiria umuhim wake kwangu nimeona hakuna

wengi wakitokewa mapoz mengi hatakama unamalengo naye unakata tamaa,huyu ananisumbua hv baadae ndo anajuta kumbe jamb alikuwa serious.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Ahaa swali hili limenifanya nifikirie kwa kina maana ya zile 'engagement rings' zinazotolewaga kama surprise! hivi mdada si anaruhusiwa kuikataa na kuomba muda wa kufikiria kwanza au ?? Lol saa ingine zile nazo zinaactigi kama viwamba sauti ati mtu mwingine anaona kabisa huyu bwana huyu hata, but akisapraiziwa anaishia kusahau mapungufu hah

Mi staki
 
MJ1 umesahau saa ngapi utatingisha vidole kuonyesha wenzio umepata bwana huyu mbu huyu kaamua kuchokoza watu leo humu!

Ahaa swali hili limenifanya nifikirie kwa kina maana ya zile 'engagement rings' zinazotolewaga kama surprise! hivi mdada si anaruhusiwa kuikataa na kuomba muda wa kufikiria kwanza au ?? Lol saa ingine zile nazo zinaactigi kama viwamba sauti ati mtu mwingine anaona kabisa huyu bwana huyu hata, but akisapraiziwa anaishia kusahau mapungufu hah

Mi staki
 
MJ1 umesahau saa ngapi utatingisha vidole kuonyesha wenzio umepata bwana huyu mbu huyu kaamua kuchokoza watu leo humu!

Yaani Chauro we acha tu. Tena wa siku hizi wanashindana kuringishiana ya nani ina kito cha Tanzanite au almasi kubwa hahah ah!! Huyu Soulmate naona lipo analolitafuta kwetu huyu!.

Mi nafikiri mara nyingi wenye chance ya kujitathminisha kuwa huyu anafaa au hanifai katika kufanya maamuzi ya kuingia ndoani ni wanaume aisee. Wanawake ni wachache tena wale wanaojitambua na wenye uthubutu wa kupiga chini mahusiano.
 
Swali gumu kwakel kuna dada nilimpropose kama miezi 5 imepita mwanzon alileta kausumbufu kakike nataka sitaki nikawa nishachoka bembeleza mwanaume ghafla nilijiuliza huyu msichana anastahili kuwa my wife 1day nikapata jibu hapana kutoka moyoni.nilianza kupunguza kumtafuta matokeo yake yeye ndo ananitafuta nimempa ukwel kwa alivyonisumbua ilifika wakat nikawa nishapoteza kujiamin kumpenda.mtoto wawatu ananiita muhuni nacheza na hisia za wanawake ila ndo ivyo siwez tena kumpa moyo.wakati namtokea aliweka radhau,jeuri na ufahari wa kabila lake mbele na kuhuliza maswal ya kipumbav utazan anataka kuniajir UN. Mimefikiria umuhim wake kwangu nimeona hakuna
mmh kwani si alikuwa anauliza just for curiosity jaman
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
....hahaha...Scofield na Bajabiri mnasepa bure tu. Jana nilikuwa naangalia H-Baba akiulizwa alichompendea Irene Uwoya (miaka hiyo) akakosa jibu.

Kwanini kuna ugumu gani (uwe umeoa au la) kuelezea Ulimpendea mambo gani Ex-girlfriend/ex-boyfriend, au hata ex-spouse wako?
Let us be fair jamani...:D

Mbu ugumu unakuja kwa sababu in a way unakuwa kama unamwambia mpenzio/mumeo/mkeo kwamba mambo/hivyo (ulivyompendea) yakitoweka/vikitoweka hutakuwa naye tena!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
......hahahaha.....mwanajamiiOne na chauro mmeniacha hoi....ati? Akiwa surprised na engagement ring anasahau viwango na vigezo vyote! ....na vidole juu!? hahaha....

Nakuja kuendeleza mdahalo, nimebanwa huku leo,.....madagaa ya kigoma yamechelewa....BTW, mmekisikia kibao cha KIGOMA ALL STARS? ....acha tu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom