kutembea na mtu na kaka yake

Kwanza kabisa ni muhusika (huyu mdogo mtu) ndio atakuwa anasay, na anachuliaje hii issue,(sababu bila yeye kuafiki hakuna mahusiano), pili ni kaka mtu atakuwa anao uzito pia kwenye hii issue (ila uzito wake sio mkubwa sana as muhusika akikubali there is nothing he can do) ila bora na yeye akiafiki as sio vema ndugu kugombana sababu yako (as inaweza ikakutokea puani mbeleni) hao ndugu na jamaa they dont have to know kama nyie watatu mtafikia muafaka..

In short hapa kosa lilifanyika kuanzia mwanzo kwa binti kutokuwa wazi kutokea mwanzo, afanye haraka kumwambia huyo mdogo mtu kuhusu hii issue kabla mdogo mtu hajagundua mwenyewe as ikiwa hivyo kutakuwa hakuna trust.
 
sio lazima kila kitu kiandikwe ndo uamini sweet Smile....Kitu kikikubalika ndani ya jamii hukubalika hata mbinguni... ipo siku utakuja sema wapi imeandikwa mtu akitembea na baba yake au mama yake mzazi haikubaliki.... usifanye dhambi ya kukusudia kwa sababu mpenzi wako wa mwanzo akijua atakuwa anasononeka kila siku na hata huyo mpenzi wako wa sasa hatafurahia kuskia ulikuwa una mahusiano na ndugu yake na hukumwambia before... anaweza kufikiri kuwa ipo siku ukifahamiana na ndugu yao mwingine utafanya hayo hayo. (kwani hilo umewezaje)
past iz past remember
 
Kwanza kabisa ni muhusika (huyu mdogo mtu) ndio atakuwa anasay, na anachuliaje hii issue,(sababu bila yeye kuafiki hakuna mahusiano), pili ni kaka mtu atakuwa anao uzito pia kwenye hii issue (ila uzito wake sio mkubwa sana as muhusika akikubali there is nothing he can do) ila bora na yeye akiafiki as sio vema ndugu kugombana sababu yako (as inaweza ikakutokea puani mbeleni) hao ndugu na jamaa they dont have to know kama nyie watatu mtafikia muafaka..

In short hapa kosa lilifanyika kuanzia mwanzo kwa binti kutokuwa wazi kutokea mwanzo, afanye haraka kumwambia huyo mdogo mtu kuhusu hii issue kabla mdogo mtu hajagundua mwenyewe as ikiwa hivyo kutakuwa hakuna trust.
watatu na nani my dear..mtu keshaoa yupo na mkewe wapo busy kutafuta mtoto...mimi mambo yangu yanawahusu nini jamani?
 
Penzi kiti cha basi,akishuka mtu unakaa na maisha ni mbele kwa mbele hakuna kurudi nyuma.
 
Hapa hapakufai smile ..hii Picha haiji kabisa mtu na mdogo wake hata kama mmoja mmeshaachana
Bado wote ni damu moja please chukua hatua ya kumwambia ukweli na uhusiano ufike kikomo
 
watatu na nani my dear..mtu keshaoa yupo na mkewe wapo busy kutafuta mtoto...mimi mambo yangu yanawahusu nini jamani?
Brother has got a say in this issue, na sio wewe kumwambia bali mdogo mtu kumwambia unajua hapa undugu is at stake, sio vibaya na yeye akijua kuondoa awkardness, sio lazima akubali wala akatae lakini kufahamu sio vibaya..., anyway mdogo mtu ndio wa kuambiwa na yeye ataamua afanye nini.., aendelee na mahusiono, akuache..., au amwambie kaka yake
 
Mapenzi kitu cha ajabu na nayaheshimu saana baada ya experience tuliyokutana nayo kama familia, unaweza ukakutana na events huko mbeleni hadi ukachoka, au ukaleta chuki kwenye hao watu wawili ndugu, binafsi nilishuhudia rafiki kipenz wa dada yangu yaani primary had secondary plus neighbourhood walivyokuja kuwa maadui wa kutaka kuuana kisa bro alidate na yule dada na kuachana iliyoleta effect hadi kwa wale marafiki wawili waliopendana hadi basi! Mapenzi sio mchezo dada yangu I wish ungeshuhudia what happening to us, kwa ushauri kimbia fasta hapo fanya maamuzi kwa kutumia kichwa sio feelings as sometimes we have to use our heads to make tough decisions, moyo na feelings hazifai kwenye maamuzi magumu
 
Sioni kama kuna tatizo hapo so long as mko serious just go ahead with the marriage! kaka mtu atajibeba yeye si tayari ana familia yake? mbona yeye hakukuwazia mlivoachana? uchune chwiiii kama ulivyofanya toka awali!

One more tip:

X wako akiamua kumueleza ukweli mdogo wake (ambaye too bad kesha chelewa maana kama kumegana tayari siku nyiiiiingi) mruke futi mia mbili sema mlikutana zamani huko kwenye umiseta! hahhahaha life is too short to worry my dear kula raha!
 
inategemea na seriousness ya rship yenu...kama mlikua tu mna date mi nisingemaindi kama ndugu yangu akioa huyo ex..but kama mlikua mmeshibana mko serious and u were deeply in love with her...hapo nitamaindi sitakubali aisee... isitoshe si unajua mambo ya ex tena..iko siku mtaamua kukumbushiana utagombana na ndugu yako
 
mnaongelea tu hao ndugu...how about me?
Indirectly its about you.., ukiingilia katikati ya ndugu (kama no one has got your back mwisho wa siku yanaweza yakakutokea puani) sio vema kumpa mtu choice au kumshinikiza kufanya jambo linaloweza kuvunja uhusiano na ndugu zake...

That's why nimekushauri weka your cards on the table mueleze bwana mdogo ukweli na atakachoamua kufanya itakuwa ni uamuzi wake na sio shinikizo..., wewe umeshapenda regardless na yeye mpe chance ya kumwambia ukweli uone kama atakupenda regardless
 
Mwaka 2006 nilitokea kumpenda kaka mmoja,na mdogo wake ndo alikua
akinitongoza sana.
Ila baada ya mda niliye mpenda alianza kunitongoza pia,kwakua nilikua
sija mkubalia dogo (na nisinge mkubalia),nilimkubali jamaa.
Dogo hakujisikia vizuri,you can imagine tulikua majirani tu.
Kulikua na kuto kuelewana kidogo,lakini after a while mambo yalienda vyema.

Dogo ni shemeji + rafiki yangu,na jamaa nipo nae hadi leo miaka 6 sasa.
All is well.

Ila kama uliwahi sex na ndugu mtu mmmmh,sio vizuri.

Kituko kama hicho kimewahi kutokea kwa (kaka) binamu zangu ambao ni ndugu wa kuzaliwa tumbo moja...mdogo alikuwa na girlfriend wake kwa miaka mi2, lakini alikuwa mkorofi akimpiga piga huyo dada mara kwa mara, na kaka yake ndio alikuwa akiwasuluhisha..an likuwea akimjali yule shemejiye sana. Basi mdada akafall in love na shemejiye (kaka wa boyfriend wake), alipoachana na yule nayempiga piga...akanza mahusinano na kaka yake.

Sasa hivi wameoana mwaka wa 8 huu, wana watoto wawili...na anaheshimiana na ex-boyfriend wake kama shemeji. Japokuwa hata wazazi walikuwa wanajua, hakukuwa na matatizxo yeyote kweny familia wala uhasama kati ya makaka!
 
thax bro kwa vivid example ngoja na@Mr rocky aje
 
Kwanini untaka kupenda kwenye family ambayo ulisha penda, ikiwa utafanya hayo inaonyesha hujiheshimu wewe na humheshimu unaye mpenda...that is just wrong leave that family alone.
 
suppose una mpenzi wako but hajakutambulisha kwa ndugu yake yeyote then mkaachana..ameoa kabisa
miaka imepita umekutana na ndugu yake kabisa kabisa baba mmoja mama mmoja yupo serias kabisa anakupenda na ndio mwanaume at least anakufurahisha..... ndo anataka sasa akakutambulishe......utafanyeje?
yeye hajui kama x wako ni ndugu yake...
hata x wako hajui kama unamdate ndugu yake ....mliwekeana sheria marufuku kuongea kuhusu past .marufuku kuulizana mambo ya wapenzi wazamani ...oly kuangalia wakati uliopo na mbeleni
wewe tu ndo unajua na ulijua from the begining kabisa ..sema ukakausha penzi likakua na kukua na mwanaume kweli anakupenda kiukweli ilo lipo wazi sio mtapeli kama hao wazushi wengine to hell with them...

please usitukane hapa nimeokoka siku hizi

Hakuna zaidi ya kutabasamu.
 
Wanawake sa ingine watu wa ajabu sana,anajua unatembea na dadake ukimfinya kidogo na yeye anachanua,mwingine anatembea na kakako akipata mwanya tu shem njoo unisaidie kubadili bulb ukiingia tu chumbani khanga inadondoshwa chini,mi huwa nachoka kabisa.
 
Mwaka 2006 nilitokea kumpenda kaka mmoja,na mdogo wake ndo alikua
akinitongoza sana.
Ila baada ya mda niliye mpenda alianza kunitongoza pia,kwakua nilikua
sija mkubalia dogo (na nisinge mkubalia),nilimkubali jamaa.
Dogo hakujisikia vizuri,you can imagine tulikua majirani tu.
Kulikua na kuto kuelewana kidogo,lakini after a while mambo yalienda vyema.

Dogo ni shemeji + rafiki yangu,na jamaa nipo nae hadi leo miaka 6 sasa.
All is well.

Ila kama uliwahi sex na ndugu mtu mmmmh,sio vizuri.

albina hiyo avator ni picha yako,,,,dogo anawakati mgumu,,teh,teh
 
Back
Top Bottom