Kutekwa kwa gari hapa Nzega na polisi kudanganya kuwa hawana mafuta kumbe wako mgodini

Emmanuel Njile

Senior Member
Jul 31, 2013
130
7
Gari lililotekwa jana Nzega na maaskari wakitoa maneno eti hawana mafuta ktk Gari lao kumbe wako mgodi wa mwanshina
 
IGP Mpya kama bado hajaanza kazi vile maana sijaona mabadiliko ya haraka.
 
Wanauza shift kwa milion moja kwa saa huku wananchi wakiwaambia mgodi umufungwa waziri wamambo ya ndani nanyi PCCB
 
Waziri wa madini hebu tuma takukuru waje wajionee maajabu sisi wananchi tumeanza kuona nawewe kunachako pale mwanshina
 
Kama sio basi sikia kirio cha watu hawa maake hata kutekwa kwa magari maeneo haya niukosefu wa hera ktk maeneo haya
 
Maake watu wote kutoka mikowani kuja hapa mwanshina kusubiri mgodi naomba ULITATUE WAZIRI MAMBO YA NDANI WA MADINI
 
Hatufurahishwi na kuchafua jina la nchi yetu Tanzania bado tunahitaji haki kwa wote na Amani Tafazari mawaziri wetu.
 
Mwezi uliopita nilimwona naibu waziri wa nishati na madini ndg Masele akitoa tamko pale Nzega kuhusu huo mgodi ambao polisi wanachuku rushwa nakuruhusu watu wakachimbe, lakini sijaona juhudi ya serikali kushughulikia hilo tatizo,

Gari lililotekwa jana Nzega na maaskari wakitoa maneno eti hawana mafuta ktk Gari lao kumbe wako mgodi wa mwanshina
 
Back
Top Bottom