Kutana na mabingwa wa wivu.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Jamaa wanne walikua wanabishana kuhusu nani ana wivu kuliko wenzake,mabishano yao yalikua hvi.
Wa kwanza:yani me nina wivu hadi nimeamua kuwa naenda ofisini na mke wangu ili huku nyuma vidume visiniibie.
Wa pili:me nina wivu kwa mke wangu,hadi akizaa watoto wa kiume huwa namkataza asiwanyonyeshe,na namuwekea housegeli amsaidie kunyonyesha.
Wa tatu:yani,me nina wivu kwa mke wangu hadi nimeamua kufuga mbwa kumi nyumban kwangu na kumuajiri bodyguard ya kike ili wasaidiane kumlinda mke wangu.
Wa nne:nyie wote mbona cha mtoto,me nina wivu kwa mke wangu,hadi kivuli changu sikiamini,ndo maana wkt wa jua huwa sipendi kuongozana na mke wangu kwa kukihofia kivuli changu kisije kunichukulia my wife wangu.
 
Kwel ww n senator,wote wana wivu ila huyo ambaye htak watoto wake wa kiume wanyonye noma.
 
Back
Top Bottom