Kusua sua ujenzi uwanja wa ndege Mwanza ni vita ya Utalii, Siasa na Ubaguzi?

Toka awamu ya tatu ya Rais mstaafu, Mh. Benjamin William mkapa, serikali ya JMT imekuwa ikitoa ahadi ya upanuzi wa uwanja wa ndege Mwanza. Uwanja huu umekuwa na hali mbaya, unaweza ufananisha na shule ya kata, serikali ya awamu ya 4 chini ya Mh. Jakaya kikwete ulitoa ahadi ya kuendelea na upanuzi lakini kwa miaka yote kumi hali ya uwanja wa ndege imeendelea kuwa mbaya. Kwa umuhimu wa Kanda ya Ziwa kiuchumi katika taifa hili ingetakiwa uwe na uwanja wa kimataifa wenye hadhi

Kuna maneno kwa muda mrefu kwamba uwanja wa ndege mwanza haupanuliwi kwa makusudi na serikali kwa hofu ya kudhoofisha utalii kaskazini kwani Mwanza ipo karibu zaidi na Serengeti, na uwanja wa ndege wa kimataifa, tunaitaka serikali itoe ufafanuzi kwani mkoa wa Mwanza unachangia kwa kiasi kikubwa katika pato la taifa nyuma ya Dar es Salaam, kwanini unakosa uwanja wa ndege wenye hadhi ya kimataifa? Au kuna makusudi?

Hoi ni vita ta sisi kwa sisi; ndugu zetu wa Kaskazini wanaona Mwanza ni threat kwa biashara zao Arusha. Sumaye alimega hela za Songwe Airport akazipeleka Arusha Airport na huky KIA IPO pua na mdomo. Ni hawahawa wakasema CCM haijafanya kitu.

Juhudi za kupanua Mwanza Airport (ambayo ilipendekezwa iitwe SERENGETI AIRPORT iliwakera sana; Viongozi wa UKAWA kwa kupitia watu wao walio kwenye Civil Service wamekubaliana kufanya kila wawezalo kuzuia Mwanza isikue.
 
Mbona kila mtu anahofu na kanda ya kaskazini? Kwenye siasa Kanda ya kaskazini? masuala ya kiuchumi Kanda ya kaskazini? Vyuoni na Makazini Kanda ya kaskazini? Hii hofu ya hii kanda inatokana na nini? Mi sikuwahi kusikia kanda ya kaskazini ikilaumu kanda zingine, shida ni nini?

Ritz we ni kiongozi mkubwa wakati mwingine jiulize sana statement unazoandika ama kusema ndio chanzo kikubwa cha watu kujenga chuki dhidi yako na familia yenu, ni ushauri tu hutaki unaacha.
Kichakiro hii diyo hofu. Kumbuka Kaskazini wamekuwa na Waziri Mkuu mara 4 na Waziri wa Fedha karibu wote. Hii siyo hofu ni historia. Barbara nzuri ziko wapi uneme vijijini uko wapi hospitali nzuri ziko wapi. Ila bado wa Kaskazini ndiyo wanasema CCM haijafanya kitu.

Wale ambao kweli CCM haikufanya kitu kwa kina Majaliwa na Magufuli na Mwigulu na Jenista na Lusinde ndiyo wakaichagua CCM
 
Hii kiongozi ina maanisha nini? kwanza asilimia kubwa hapo si viongozi wanaotoka kanda ya ziwa kama unamaanisha kuwepa upendeleo wa kimaendeleo.

..sasa huko kaskazini unakosema wamependelewa mbona ndiyo hawaonekani kabisa ktk wizara hiyo?

..pia hujamuona Samuel Sitta, Alfed Tandau, Pius Ngw'andu,Andrew Chenge, John Magufuli, wanaotokea kanda ya ziwa?

..Dr.Magufuli ndiye aliyekaa muda mrefu kuliko mawaziri wote kuanzia akiwa naibu waziri. Sasa unataka kusema watu wa kaskazini ndiyo walimzuia kujenga uwanja wa ndege wa Mwanza?

..Hoja kwamba watu wa kaskazini wanapendelewa haina mashiko. Tena kwa taarifa yako mimi ninawajua watu waliokuwa wanatoka kaskazini na kwenda kanda ya ziwa au kusini ili wapate nafasi ya kupasi kwenda sekondari. Serikali ya Nyerere iliamua KUFELISHA[quota system] wanafunzi wa kanda ya kaskazini ili kuleta "usawa" ktk idadi ya wanafunzi waliokuwa wanafaulu kwenda sekondari.
 
I am sorry but this is nonsense, mnatumia mda mwingi kujadili chuki za ukanda. Yaani Mungu atusaidie kwa kweli.

Kwa hali zote kila mkoa unatakiwa kuwa na uwanja mzuri wa ndege period!!! Ndivyo maendeleo, lakini Mwanza, sijui Arusha, sijui wapi...who cares.....
 
Inawezekana haujui maana ya strategic planning, kuna sehemu zina umuhimu mkubwa ili kukuza pato la taifa na kuleta maendeleo ya haraka. Ujenzi wa uwanja wa ndege mwanza una multiplying effect. Sasa unaposema kila sehemu ndio lakini hauwezi jenga international airport lets say singida, italeta faida gani kwenye uchumi? Si ubaguzi ila ndio reality, hapa tunagomba kwamba priority za serikali hazipo sawa.
 
Manelezo, thank you for the response. Ki uhalisia naelewa strategic planning, lakini hiyo strategic planning mnayoiongelea ni for the sake of politics....nani asiyejua miji yetu inavivutio tofauti...lakini ni jukumu la serikari kudevelop huku kote na kuaminisha jamii kwamba sehemu mbali mbali nchini zaweza kuwa na thamani kama tukijiandaa. Shida yangu, hii discussion imekaa kisiasa na kikanda zaidi. Nani asiyejua umuhimu wa Mwanza kwa uchumi wetu.....lakini since mnataka kushindana wapi ni muhimu zaidi ya wapi basi mwaweza endelea......

kiongozi nimesema hili si kwa maana ya kushindanisha sehemu na sehemu, labda nikupe mfano, kipindi mwandosya ni waziri wa mawasiliano na uchukuzi hakuupa umuhimu uwanja wa ndege mwanza, instead akaenda kujenga uwanja wa ndege songwe , hapa sina maana ya kwamba mbeya haiitaji kujengwa uwanja wa ndege wa kimataifa ila nakuonyesha jinsi siasa zilivyo, kipindi sumaye ni waziri mkuu alitaka kujenga uwanja wa kimataifa arusha while kilimanjaro inter airport ilikuwa underutilised
 
Manelezo, thank you for the response. Ki uhalisia naelewa strategic planning, lakini hiyo strategic planning mnayoiongelea ni for the sake of politics....nani asiyejua miji yetu inavivutio tofauti...lakini ni jukumu la serikari kudevelop huku kote na kuaminisha jamii kwamba sehemu mbali mbali nchini zaweza kuwa na thamani kama tukijiandaa. Shida yangu, hii discussion imekaa kisiasa na kikanda zaidi. Nani asiyejua umuhimu wa Mwanza kwa uchumi wetu.....lakini since mnataka kushindana wapi ni muhimu zaidi ya wapi basi mwaweza endelea......
hata utawala wa JK akataka kujenga uwanja wa kimataifa bagamoyo i guess pia hakuona umuhimu wa uwanja wa kimataifa mwanza..hii ndio kasoro kiongozi..priority zipo kisiasa zaidi ila uwanja wa mwanza una umuhimu.mkubwa sana kiuchumi na sababu za kujenga ni nyingi na zinafaida kiuchumi.
 
Ni kweli ukiangalia jiografia ya jiji la Mwanza lipo karibu sana mbuga ya serengeti kama uwanja wa ndege unatengenezwa Mwanza itapokea watalii wengi sana wa nje na wa ndani.

Mkuu Rits ku entertain utalii ni zaidi ya uwanja wa ndege je kuna
Hoteli bora?
Barabara zipo vizuri
Usalama upo?
Hospitality etc
Hali ya hewa ina favour watu weupe?(watalii)
Binafsi nadhani swala la Northen regions zinafanya vizuri kwa sababu hizo pia kanda ya ziwa kuna usalama mdogo na mambo ya ushirikina yapo juu sana
 
Hoteli, barabara, usalama, na hospitality vyote hovyo vipo tena kwa kiwanjo cha juu tu..mwanza ni salama zaidi kuliko hata arusha.
 
Hoteli, barabara, usalama, na hospitality vyote hovyo vipo tena kwa kiwanjo cha juu tu..mwanza ni salama zaidi kuliko hata arusha.

Haupo serious !!arusha hawaui albino
arusha hakuna visa vya mabibi wenye macho mekundu kuuliwa
Arusha hawakati viungo vya albino
Arusha kuna hotel nzuri na standards kuliko mwanza!!
Hawarogi kama mwanza
Hali ya hewa nzuri kuliko mwanza
Experience matters pia
 
Una hasira kweli, haya per capita mnaongoza hapo vipi? so unafikili mkiongoza per capita ndio kutakuwa na balanced diet, where did the report position Tanzania in a global context? Hizi tafiti mara nyingi matokeo ya sampling, kwa kiasi kikubwa HDI kwa nchi za ulimwengu wa tatu kuna ugumu wa kupata data na mara nyingi social and economic indicators zinazotumika ku gauge they r very much unreliable. kwa kukushauri tu acha jazba, arusha ipo nyuma sana kwenye GDP na kama umesoma uchumi sehemu au nchi inayokuza GDP kwa kasi basi effect yake kwenye per capita in future ni kubwa, ndio maana Mwanza ni mji unaokuwa kwa kasi Tanzania ukitoa dar es salaam. mzunguko wa fedha na uwekezaji ni mkubwa zaidi. Effect yake kwenye per capita itakuwa kubwa sana in near future, arusha inakimbiwa na haivutii watu kukaa, na uwekezaji si mkubwa zaidi ya utalii.

Labda ulikimbia wewe mana Arusha ghali
 
Mkuu naona wewe ndio unajichanganya, labda kwa kukusaidia tu, kila mjadala unakuwa guided na major premise, major premise hapa ni ujenzi wa uwanja wa mwanza unaojengwa kwa kiwango cha kimataifa, yeye kasema ujengwe mugumu, in other words, the project of the same magnitude upelekwe mugumu na si mwanza cz mwanza hawajengi uwanja wa kawaida wa ndege, kama una ka IQ kadogo tu utaelewa, otherwise hata nikueleweshe vipi hautaelewa ila tu tambua kila mjadala una major premise inayo guide kila kitu.

mi si mfuasi wako lakini kwa hili umemjibu vyema huyo nyumbu wa Lumumba
 
Kweli aisee kanda ya ziwa tumetupwa sana wakati wasomi wengi wametoka huko nadhani kuliko mkoa wowote Bk ndo afadhari wamepanua uwaja kutoka ule wazama tunashukuru kwahlo lkn mwanza ndo centre inatakiwa international airport angalia meli tangu mkoron bado tunasota kweli hapa kuna tatizo au kila kanda ijitegemee kuendesha maendeleo yake kuliko huu upuuzi unachukuwa mapato makubwa arafu unafaidisha wengine hili nitatizo aisee tugawane kila kanda ijitegemee uone kama tuaendele kupiga magoti kuomba misaada Mara tujengewe chuo kikuu cha kanda ya ziwa ewa meli inazalisha kila siku lakin mnasindwa nunua meli nyingine utalii unachukuwa mapato uwanja mnashidwa kuhuboresha madini usiseme nakadharika hapa kuna tatizo mkuu pahangaliwe upya
 
Haupo serious !!arusha hawaui albino
arusha hakuna visa vya mabibi wenye macho mekundu kuuliwa
Arusha hawakati viungo vya albino
Arusha kuna hotel nzuri na standards kuliko mwanza!!
Hawarogi kama mwanza
Hali ya hewa nzuri kuliko mwanza
Experience matters pia
Je, si Arusha ile inayoongoza kwa vibaka wavuta kila namna toka mitaa mbalimbali ya hapo town!?
Si Arusha inayoongoza kwa kuwa na mauaji mengi kabisa ya kutumia silaha especially Bunduki na visu mpaka akina Joh makini wakaimba Arusha bila visu inawezekana!?
Si Arusha kwenye vita za magenge kama Junior knuckles mara watengwa na the likes!? (mambo yaliyokuwepo zamani Mwanza+Musoma)

Mkuu, uchawi huo unaousema na mauaji ya albinos unafanywa Shinyanga au wilaya za vijiji vya Mwanza.. Si pale mjini... So ukitaka kuleta mambo ya vijiji vya mkoa wa Mwanza usisahau na kuleta ya vijiji vya mkoa wa Arusha kama huko Monduli, Karatu n.k....
*usisahau na mapanga ya wameru wanapoleta zile fujo zao na kufyeka mashamba ya wawekezaji...mpaka wanaletwa pale hospitali USA River wamekatana mikono
 
Mkuu thanks for a profound remark, umemjibu vizuri, nilitaka kumjibu ila naishia hapa. :)
 
Kichakiro hii diyo hofu. Kumbuka Kaskazini wamekuwa na Waziri Mkuu mara 4 na Waziri wa Fedha karibu wote. Hii siyo hofu ni historia. Barbara nzuri ziko wapi uneme vijijini uko wapi hospitali nzuri ziko wapi. Ila bado wa Kaskazini ndiyo wanasema CCM haijafanya kitu.

Wale ambao kweli CCM haikufanya kitu kwa kina Majaliwa na Magufuli na Mwigulu na Jenista na Lusinde ndiyo wakaichagua CCM
Maendeleo ya kaskazini relative to other regions yametokana zaidi na viongozi wengi kipindi cha nyuma kutoka huko. It has nothing to do with aggressiveness. cz kama ni u aggressive basi pamba, kahawa, madini, samaki zimechangia sana kukuza pato la taifa hapo nyuma, in other words watu wa kanda hiyo wamekuwa wazalishaji zaidi.
 
Hoteli, barabara, usalama, na hospitality vyote hovyo vipo tena kwa kiwanjo cha juu tu..mwanza ni salama zaidi kuliko hata arusha.
Dah unaijua Arusha arifu? Unaweza kulinganisha hotel za Arusha na Mwanza? Hospitality Arusha imebahatika kuwepo sababu ya miaka yao mingi sana kama kitovu kikuu cha utalii ni aibu kujaribu kuwalinganisha na wakwe zangu wasukuma.
 
Mbuga ya ngorongoro, Ngorongoro kreita,mlima Kilimanjaro,manyara snake park,lake manyara na mapango ya amboni tanga napita tu
 
Dah unaijua Arusha arifu? Unaweza kulinganisha hotel za Arusha na Mwanza? Hospitality Arusha imebahatika kuwepo sababu ya miaka yao mingi sana kama kitovu kikuu cha utalii ni aibu kujaribu kuwalinganisha na wakwe zangu wasukuma.
Mi nimekaa arusha n sijaona hospitality unayoiongelea..moja ya tatizo kubwa arusha ni usalama..hali ya usalama ni mbovu sana. Labda kama.unaongelea hotel n so far hotel nyingi sana zinajengwa mwanza sio kama zamani.
 
Back
Top Bottom