Borat69
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,526
- 1,757
Chuki na ubinafsi vitawaua Awamu hii na ndio kwanza imeanza. Maana mmeanza kupanguliwa sehemu nyeti sasa mnatapatapa kuuza maparachichi nyamafu nyinyi.Population severe in Poverty naona kanda ya ziwa ni balaa tupu...
Mwanza ndio anawakimbiza kwa mbali wenzake wa kanda ya ziwa akiwa na 32.8%, wakati Kagera na Tabora wanachezea 41% mwingine 48%... Ukija kwenye HDI nako ndio wa mwisho... Yaani Mara, Mwanza, Shinyanga, Tabora na Kagera hii mikoa ina laana ndio maana kila aina ya uchafu, uuaji wa albino, unyanyasaji wa kijinsia na ukatili uliokosa utu hutokea huko