kalukamise JF-Expert Member May 4, 2011 683 189 Mar 16, 2012 #1 Wakuu naomba mwongozo: kuna tofauti gani kati ya kustaafu na kujiuzulu ? maana naona imekaa sivyo tukisema EL ni waziri mkuu mstaafu Nawasilisha
Wakuu naomba mwongozo: kuna tofauti gani kati ya kustaafu na kujiuzulu ? maana naona imekaa sivyo tukisema EL ni waziri mkuu mstaafu Nawasilisha