VM inalipa,namjua mkaka m1 hvi jiran yetu anachukua zaid ya mil 2.5 kwa mwez.
ameajiliwa au amejiajili mkuu?
Mfano halisi, producer HERMY B ni daktari wa mifugo,graduate wa SUA, jamaa kaamua kupiga zake vinanda,....
Ajira ya udaktar mifugo huwa ni serikalini 2 na sivngnevyo.
Jamani nisaidieni kwa hli ambalo linanitatza kdogo,eti wanaosomea udokta mifugo wanapata ajira za haraka na mishahara yao ni mikubwa?
Mfano halisi, producer HERMY B ni daktari wa mifugo,graduate wa SUA, jamaa kaamua kupiga zake vinanda,....
Mkuu acha kupotosha umma!Hermy B alisoma Animal Science wala si Veterynary Medicine!Hivi ni vitu viwili tofauti!
Kozi ngumu lakini Utaishia Kuchoma Nguruwe sindano na Kula nyama za Bure bhasi... hiyo kozi somea mbele hapo ndo utafaidi zaidiiHata mm nmechaguliwa BVM Lakini wazazi wangu wanadai haina soko la ajira na pia ni ngumu sana hapo SUA nifanye nini jamani
Ndugu yangu, pindi la BVM sio kitoto, So kikubwa kapambane sana maana nasikia hii course inaongoza kwa kula vichwa pale SokoineHata mm nmechaguliwa BVM Lakini wazazi wangu wanadai haina soko la ajira na pia ni ngumu sana hapo SUA nifanye nini jamani
[/QHii