ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,060
- 49,744
Kwa miaka Mingi tumekiwa tunatakiwa takwimu za Tanzania Kuongoza Kwa Wingi wa mifugo Afrika kuanzia Ng'ombe Hadi kuku.
Ila pamoja na Wingi huo wa mifugo, Nchi hainufaiki kiasi Cha kutosha na mchango wake ni mdogo sana kwenye Mapato ya Serikali badala yake mifugo inaongoza Kwa kuharibu mazingira,vyanzo vya maji na.kuzakisha migogoro ya wakulima na wafugaji.
Inashabgaza watu wa Serikali Kushindwa kufikiria vyanzo vipya vya Mapato wakati mifugo ipo na wafugaji hawalipii Kodi yeyote ya maana na Wala hawana leseni za ufugaji.
Sasa Ili kuongeza Mapato ya Serikali na kuongeza mchango wa sekta ya mifugo kwenye Pato la Nchi napendekeza Serikali ianzishe tozo au ushuru wa mifugo yaani kuweka kiasi Fulani ambacho Kila mfugajo kuanzia wa kuku atalipia kulingana na idadi ya mifugo yake Kila mwaka.
Kila Ng'ombe akilipiwa 1,000,mbuzi/kondoo ,nguruwe 500 na Wanyama wengine wadogo wakiwemo ndege mfano kuku walipiwe 200 Kila Moja.
Tukienda hivyo tutapata pesa za kuboresha ufugaji.Mapafo mengi yanapatea huko Kwa wafugaji badala yake watu wanwakaba machinga,hii sio sawa.