Kusoma open university na vyuo vikuu vingine

Open university elmu yao iko poa,nadhan baada ya udsm,sua hyo open ni ya 3,kina maticha wa ukwel zaid hata ya waloko mzumbe,udom,iaa,ifm na kwngneko.tatzo kinadharaulika coz wahitimu weng wa bongo wao wanajua elimu inapatkana kwenye convectional universities 2.
Hivi Nyie Hawa Maticha wa Ukweli Mnawapima Vipi???..Umejuaje kama Kinadharaulika??..wewe mwenyewe Nadhani ni Muumini wa Hizo Classical/Convetional Univ!!

Kiko fresh kwakuwa unajitafutia nondo mwenyewe na haujui mwl atakuja vip. Lazma uwe competent.

Hayo mengine ya kutafuta wenyewe nakubali maana watu wa ipen washawah kunambia,lakini la kubembeleza hilo......mmmm mimi siliafik sana hasa udsm,sijawah liona hilo mdau au kwa sababu ni mwanaume,,,,,,ila tu nime xperience stress
Nimesoma open na ukweli ni juhudi binafsi.sio swala dogo na kwa ubora usiliongelee kabisa,tunazungumzia udsm na sua kwamba ndio best bt sijui mnatumia kigezo gn!nachojua,aliyemaliza open na kama kuku wa kienyeji anaetafuta mwenyewe kwa juhudi zake,hvy kumaliza open ni juhudi zako na aliyesema eti mpaka miaka 20 unasoma tu,ni mwongo kwani degree wameitega kwenye claster na mwisho ni miaka 6 tu so hakuna cha miaka 20.

Ukifanya masters na hao walitoka udsm na sua pamoja hasa mkasoma corze moja km pale udsm,unawapita vibaya coz ww umezoea kutafuta mwenyewe wakati wao wamezoea kupewa kwa kuku wa kisasa.usipime kabisa degree ya open.ukipata GPA 3.6 au yoyote ni ya kwako na kuangaika kwako na si ya kupewa kama huko kwingine mpk ubembeleze kwa ma prof.acha bana,open ipo juu sn.

Kila mtu anavutia kwake. KUna Madam mmoja alikuwa Mwalimu katika Shule niliyosoma A level basi kila assignment za history nilikuwa namfanyia mimi na akafanikiwa kupata Shahada. Kwamba hakuna walimu bora hilo halina ubishi lakini sio kuzidi UDSM na SUA tusiwe biased kiasi hicho. Tatizo la kuvujisha mitihani ni kubwa sana pale OUT na misplacement za Assignment ni kawaida sana. Sometimes inafikia wakati wa graduation mtu anaambiwa hawezi ku graduate kwa kuwa kuna incomplete courses. Hata hivyo OUT ni Chuo Kizuri kama vilivyo vingine na mapungufu laiyopo yapo pia Udsm na kwingineko

Gerrad Assigment zimefutwa siku hizi kuna timed tests na Annual Exams.

Ntajiunga next yr

Hilo haliondoi ukweli kwamba nilikuwa namfanyia assignments Mwalimu enzi hizo hiyo ndio hoja yangu Mkuu. Kama wamefuta itakuwa bora zaidi. Ila wapunguze kuzamia lectures maeneo ya Theatre 1, 2 na Nkrumah pale UDSM

Walim weeeng wa ud wanafundisha vyuo mbalimbali hapa tz si open tu,tulikua na mwalim wetu pamoja na kwamba alijiriwa ud lakin alikua akifundisha UDOM,ST JOHN,TUMAIN,NA ARUSHA UNIV,,,,,,HAKUWA AKITULIA HATA......

Point yangu ni kwamba wanafunzi wa OUT wanazamia kwenye lecture za Ud na wengine hata hostel wanagongea Mabibo hiyo ndio concern yangu. Kuhusu kufundisha sio hapa TZ tu wengine kama Mukandala walikuwa wanapiga Part-Time hata nje ya nchi

hakuna lolote huko. watu wanafanyiwa course work zao udsm. sasa hiyo quality unayosema ikowapi?

wangapi wamefanyiwa? sababu hata mimi nawajua wanafunzi wa UD tena sheria waliofanyiwa research na jamaa wa open na wakatoka

Lakini hiyo haimanishi wanafunzi wote wa UD wanafanyiwa hivyo!kaulize UD kama wanafunzi waliotoka open wana perform vibaya ktk post graduate,wao wamezoea kusoma vitabu kwa sana wengine wamekalia kusoma slides za mwalimu tu.

Back
Top Bottom