Kusinzia Bungeni

Kifulambute

JF-Expert Member
May 8, 2011
2,539
755
wanajanvi naomba mnipe tafsiri ya hili suala la kusinzia bungeni kwa wabunge wa Chama cha Magamba...sijawahi kuona mbunge wa upinzani zaidi ya Mzee wtu mrema akisinzia inamaana wabunge wa upinzani wako active zaidi ya wale wa chama cha magamba? kwa nini tusiwape nchi kwa miezi hata miwili tuone matokeo yake?
 
wacha fix wewe,, Cheyo juzi kati tu hapa kapiga usingizi wa kufa mtu
 
wanajanvi naomba mnipe tafsiri ya hili suala la kusinzia bungeni kwa wabunge wa Chama cha Magamba...sijawahi kuona mbunge wa upinzani zaidi ya Mzee wtu mrema akisinzia inamaana wabunge wa upinzani wako active zaidi ya wale wa chama cha magamba? kwa nini tusiwape nchi kwa miezi hata miwili tuone matokeo yake?

Nadhani ni kwasababu namba ya wabunge wa upinzani ni ndogo ukilinganisha na ya chama cha magamba, kwahiyo ni rahisi kuona wabunge watatu kati ya 200 wamesinzia na ni ngumu kukuta wabunge 3 wamesinzia kati ya 50, ni mtazamo wangu tu huo!!
 
Wazee wa magamba hawajielewi wanaongoza kwa kulala then wanataka posho iongezwe.
 
wanajanvi naomba mnipe tafsiri ya hili suala la kusinzia bungeni kwa wabunge wa Chama cha Magamba...sijawahi kuona mbunge wa upinzani zaidi ya Mzee wtu mrema akisinzia inamaana wabunge wa upinzani wako active zaidi ya wale wa chama cha magamba? kwa nini tusiwape nchi kwa miezi hata miwili tuone matokeo yake?
<br><br>Nadhani ni kwasababu namba ya wabunge wa upinzani ni ndogo ukilinganisha na ya chama cha magamba, kwahiyo ni rahisi kuona wabunge watatu kati ya 200 wamesinzia na ni ngumu kukuta wabunge 3 wamesinzia kati ya 50, ni mtazamo wangu tu huo!!
 
Back
Top Bottom