Mu-Israeli
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,454
- 975
Romney is the weakest presidential candidate in american history, he is a looser that is why he use loser hilary clinton as his step up, hilary told him he is wasting his money, he complain that obama is to apologetic , why he asks obama to apologies to him on his add related to the campaign he works which lead to some lays offs. Tanzania for obama or cain who is no more.
Romney sio weak kama unavyodhani.
Angalia hapa...
Obama alijua kabisa kuwa safari hii amapata mpinzani mkali, ndio maana Obama akalazimika kufanya maamuzi ya 'ajabu-ajabu'.
- Obama aliamua kuunga mkono ushoga ili apate kura (Obama hakuunga mkono ushoga mwaka 2008 !!!)
- Obama aliamua kuunga mkono utoaji mimba ili apate kura (Obama hakuunga mkono utoaji mimba mwaka 2008 !!)
- Obama badala ya kunadi sera zake, aliishia kulaumu wingi wa matangazo ya TV ya kampeni za Romney !!
- Obama badala ya kunadi sera zake aliishia kushambulia kusikiliza na kushambulia hotuba za Romney !!
- Romney alilaani kitendo cha ugaidi Libya (Benghazi), Obama akaishia kuwaomba radhi magaidi na kulaumu filamu !!
Hivi ingekuwaje kama Obama asingeshabikia ushoga na utoaji mimba ?? Angepata kura asilimia ngapi ??
Obama pamoja na kuunga mkono ushoga na utoajimimba, kaishia kupata 51%, chupu-chupu ashindwe!!!
- Obama alijua kuwa safari hii uchaguzi ngoma nzito, ndio maana alitoa machozi kwenye kampeni (hakutoa machozi mwaka 2008 !!!)
- Obama hakuamini hata matokeo yalivyotoka, akatoa machozi wakati wa kuwashukuru wana-kamati wa kampeni zake (hakufanya hivyo mwaka 2008 !!!)
Romney anasimamia maadili mema na ukweli. Haungi mkono ushoga wala utoaji mimba.
Pamoja na msimamo mkali dhidi ya ushoga na utoaji mimba Romney kaungwa mkono na watu wengi sana.