Kwa mtazamo tu ni kwamba Mitt Romney kashindwa kwa kuwa wale vijana wengi wenye umri kati ya miaka 18 to 29 wengi wao ni Latino ambao hivi karibuni ndio walipatiwa makaratasi,wanawake wengi pia walichangia ushindi wa Obama hasa kwa ile issue ya healthCare,Afro American karibu robo 3 walimpa Obama na kati ya hawa wote niliojaribu kuwataja wengi wao hata hawaelewi nini maana ya uchaguzi au uchumi unashuka kutokana na nini wao ni kwa sababu Obama basi wakampigia kura.
Pia tukija kwenye sauala la ndoa za jinsia moja kama wengi mlibahatika kuangalia CNN vijana wengi walikuwa hawajui wampe nani kura na wengine hata waligoma lkn walienda kupiga kura baada ya kuambiwa mtapigwa faini pia kuna mshichana mmoja alikuwa hafahamu ampigie nani lkn baada ya siku ya mwisho alihojiwa na akasema mie nimempa Obama baada ya kuona kawapa haki rafiki zangu ambao ni Ma guy so thus why i vote for Obama,utoaji mimba pia ilikuwa ni kigezo cha Obama kupata kurudi white house.Pia tukumbuke 71%ya vijana wanye asili tofauti kama latino,Asia,Afro America nk walimpigia kura Obama.Mie niseme tu kuwa Obama na chama chake walifanya kama CCm yaani hawakujali nini hatima ya maisha ya Wamarekani kwa kuruhusu mambo ambayo yako kinyume kabisa ya Ushoga,Kutoa mimba hata kama mwanamke aliipata kwa boyfriend wake so tu ile hataki kuwa na mtoto basi aitoe,sote tunafahamu kutoa mimba kama hakuna kigezo chochote kama Dr kasema huyu mtu lazima mtoto atolewe kutokana na afya yake may ni mgonjwa wa akili au karepiwa lkn wao hawakujali hilo, hii ni chukizo kwa Mungu.
Obama na chama chake niliwafananisha na CCm kwa kuwa CCm nao hawajali maisha ya Watanzania kwani jinsi wanavyonunua kadi za wapiga kura,rushwa ya kilo za chumvi kwa kuwalaghai WAPUMBAVU,kuwapa T shirt,pombe,Pilau,kutumia vyombo vya dola kuwatisha wanachi nk.Kwa hapa chini kwa Marekani hawafanyi hivyo