Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,035
kuna wengine TENDO LA NDOA LINAANZIA KWENYE KUFULIANA CHUPI!...sasa utafanya gani hapo dokta remmy?Jamani hii ya haki sawa inavuka mpaka..... kusaidiana hadi kufualiana chupi? hii si sawasawa, dada unahitaji kujirekebisha not to that much!! huoni hata aibu kuleta hiyo thread yao hapa. khaaaaaa