Kurupitii ndani mgumu kama nyundo!

Losambo

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
2,612
864
Hodi hodi jamani, baada ya kuamua kuacha rasmi kuwa mtazamaji au guest jamani naomba mnipokee kwa mikono yote miwili ili nami nijisikie nipo nyumbani!
Kabla ya kujiunga itifaki imezingatiwa kwa maana ya sheria na kanuni nimezielewa vyema.
 
Kwa heshima ya jina langu burudikeni kidogo,
.
 
Last edited by a moderator:
Hodi hodi jamani, baada ya kuamua kuacha rasmi kuwa mtazamaji au guest jamani naomba mnipokee kwa mikono yote miwili ili nami nijisikie nipo nyumbani!
Kabla ya kujiunga itifaki imezingatiwa kwa maana ya sheria na kanuni nimezielewa vyema.
Hongera kwa uamuzi wa kuripiti.
 
Back
Top Bottom