Kurugenzi ya Fedha ya Acacia yasema haina kiasi cha dola milioni 300 za kuilipa Tanzania

Kwa hiyo serikali imeongea na yule prof wa Barrick na kumuomba ashirikiane nao kututapeli. Mimi ni nacho jua accacia lazima waweweseke maana wenye shea zao watataka kujua nani kawaingiza katika hii dhahama na anachukuliwa hatua gani? Ndipo sasa unasikia hatulipi or hatuna fedha lakini mwisho wa siku yale nakontena ya makanikia ya mewashikisha hawana jinsi. Huku kwetu ni rahisi tu maana hatuna kautamaduni kakuulizana nani katufikisha huko.

Mchina wajF.
Na washawasha!




Ndugu, sina hakika kama kuna mtu mtanzania awaye yeyote ambaye anakataa ama atazikataa fedha tutakazolipwa na ACACIA iwe Trillion 400, 500 ama 1,000 ama hata hizo USD300m....

Shida ni je, kweli kuna kitu kama hicho ama tunapigwa siasa za kijinga na kilaghai tu za Chama Chenu Cha Makinikia - CCM ??

Kwangu mimi tatizo liko hapo tu kwani kuna kila dalili kuwa mambo haya yako far beyond the reality....!!

Hayana uhalisia, ni siasa tu zinazopigwa na Magufuli na whether he likes it or not, kwa ujinga na mwenendo huu mambo yatamshinda tu ngosha na ninyi watetezi wake mtaanza kuishia mmoja baada ya mwingine...!!

Tumeibiwa kwenye mikataba ya kisheria na wazungu na wala hawakuvunja milango na kuingia kuiba hawa....!!
 
Serious? Sababu Lissu kasema? Unafikiri hao wazungu wanaangalia mambo kwa jicho dogo kama la siasa zetu za majitaka?
Wanajua kabisa wakishikana mikono na serikali watavuna kwa muda mrefu tena kwa upole bila kuleteana za kuleta.
Mabepari hawapo kispoti spoti. Wako kikazi. Wanajua wanachofanya.
Nimekumbuka methali inayosema dua la kuku halimpati mwewe
Ila jambo moja usilisahau kwamba hao mabepari wapo kupata super profit, vinginevyo wanakugeuza chapati.
 
Kweli nimeamini duniani tunapita kila tulichokikuta wajanja wasipotumia tutaviacha kama vilivyo.
Hata haya makinikia tutayaacha tu. Huoni trillion 400 tumeziacha.
Mzigo mzito mpe mnyamwezi, unafikiri alijuaje ni mzito Kama asinge jaribu kuubeba!!!??
Mnyamwezi kabeba kwa mbwembwe kuanzia kichwani alipanda mlima akashuka akaona shingo inauma akaweka mabegani, bila shaka mnyamwezi anawaza mzigo sio wakwake pekeake anawaza nani wa kummpa.
Nina swami jamani, ila naogopa kuambiwa mchochezi; Maranyingi ndoto zangu zinakuaga kweli sasa kwani kusimulia ndoto inaruhusiwa??
Kama hairuhusiwi niambie mapema.
 
Hawa Jamaa wamecheza vyema mind game,Jana nimesikia his a za hiyo kampuni zimepanda maradufu ,kwa hiyo ikulu ya tz imetumika kama bango .dadeki picha naiendelee(ikulumovie)
 
Sema ndoto yako ila usiifumbue. mshana jr na MziziMkavu tunawaruhusu. Watakacho tufumbulia sio kosa lako bali la aliyekuotesha.
 
Wangedengua China ingepewa makinikia yote. Wazungu bila Afrika ni vigumu kuendelea. Tukaze Uzi.
 
Mimi lilipokuja suala la kwamba mpaka hela iidhinishwe na Majority shareholders nikaona hii ishu ina walakini, sasa leo majority shareholders wamekataa kutoa mshiko sjui mkulu atasema yapi tena
Atasema diri imegoma tutamuelewa tu
 
Taarifa za hivi punde kutoka DW idhaa ya kiswahili, imesema mamlaka ya juu kabisa toka kwa kurugenzi ya fedha ya Barrick imesema haina pesa za kuilipa Tanzania 300$m kama ilivyokubaliwa katika mazungumzo baina ya Tanzania na Barrick hivi karibuni.

Ni habari ya hivi punde kutoka Radio DW ya Ujerumani Leo mchana, idhaa ya Kiswahili.

Hii tuseme ni janja ya makampuni ya kibeberu yanayotumia mbinu nyingi kuzinyonya inchi za kiafrica?.

Zitto Kabwe ahojiwa na kuilaumu Serikali ya Tanzania kuvujisha habari ambayo kimsingi haikuridhiwa na Acacia Jana.



=====

Acacia Mining says cannot pay $300 million to Tanzania upfront

Oct 20 (Reuters) - Gold miner Acacia Mining Plc does not have the ability to make a $300 million payment to the Tanzanian government to resolve a tax dispute, Chief Financial Officer Andrew Wray said on a call with analysts.

Acacia’s majority stakeholder, Barrick Gold, on Thursday reached an agreement with Tanzania that included a $300 million payment by Acacia and splitting of ‘economic benefits’ from operations with the Tanzanian government. (Reporting by Sanjeeban Sarkar in Bengaluru; Editing by Sunil Nair)


Source: Acacia Mining says cannot pay $300 mln to Tanzania upfront


cocochanel ulikuwa unasherekea ujinga kumbe jana

tulwamba mlichoahidiwa ni chenga hakuna kitu, basi watulipe hata nusu ya $300m, maana tumepayuka watuonee huruma
 
picha inaendelea. Hawa mabeberu wahuni wasumbua rais wetu. Get well soon hn Lisu.
 
Kwa hiyo serikali imeongea na yule prof wa Barrick na kumuomba ashirikiane nao kututapeli. Mimi ni nacho jua accacia lazima waweweseke maana wenye shea zao watataka kujua nani kawaingiza katika hii dhahama na anachukuliwa hatua gani? Ndipo sasa unasikia hatulipi or hatuna fedha lakini mwisho wa siku yale nakontena ya makanikia ya mewashikisha hawana jinsi. Huku kwetu ni rahisi tu maana hatuna kautamaduni kakuulizana nani katufikisha huko.

Mchina wajF.
Na washawasha!

Sijakuelewa...

Labda urudie kuandika tena kwa ufasaha zaidi, nikusome tena, labda nitakuelewa...
 
VIBARAKA mnahangaika kweli kweli! Kwani Acacia ni nani!! Wakati mumewe (Barick) ameshakubali na kusaini matakwa ya serikali.

Mwanaume (Barrick) anapotaka kulala na demu (hasa wa kiafrika), huweza kuahidi chochote hata kumnunulia mlima Kilimanjaro. Demu hukenyua meno lakini wenye akili huwa wanajua mwisho wa hadithi tangu mwanzo.
Hata wanasiasa wenu wamewahi kuwaambia kuwa yale yalikuwa maneno ya kampeni tu, lakini mlipewa kwa sababu mnataka kupewa ahadi.
 
Back
Top Bottom